Torch
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,205
- 1,139
Jamani wadau wenzangu wapenzi wa nyimbo za watunzi hawa wakongwe kama Fr. D. Ntapambata, B. Byabato, F. Kashumba, B. Msike, J. Nkomago, Fr. S. Mutajwaha, J. Mgandu wasilianeni na mimi kwa namba +255752220649 tuwekeane utaratibu wa kurushiana nyimbo hizi ila mtachangia gharama kidogo maana mimi nimezinunua nairobi ghali sana na zina copyright ya Daughters of St. Pauline.
long live mzee Pascal Mwarabu Baba Heri umeandika jambo la maana nitakupm email.
Last edited by a moderator: