Hongera mzee Paschal Florian Mwarabu kutimiza miaka 70

Hongera mzee Paschal Florian Mwarabu kutimiza miaka 70

Heh, hiyo sikuisikia
Inawezekana nlikuwa nshatoka Mza

Hii album yenye nyimbo hizi ilikuwa nzuri sana. Lol enzi hizo niko darasa la nne Agnes wa ghana kotazi alitokewa na bikira maria, tulikuwa tuaendaje kusali pale na kunywa maji ya baraka sehemu aliyokanyaga bikira maria lol
 
Siku ile ya pentekoste ilipofika mitume nao waamini walikusanyika pamoja katika nyumba walimokuwa wamekaa
inakuwaje tunasikia maneno, wanayosema, kwa lugha yetu wenyewe....
Tunasikia mambo haya ya mungu, wanayosema, kwa llugha yetu wenyewe....
Wao ni wagalilaya, nasi ni wa makabila, ya kutoka nchi mbali mbali... (duniani)...
Ina maana gani? Linashangaza jambo hilo......


Enzi hizo rev. Sr.......
 
P. F. Mwarabu (KOCHA).... Kiungo katika tungo adimu na muziki wa asili wa kanisa...
Kwa vijana wanaopenda mapambio, ameweza kukidhi haja yenu..
Kwa sisi wakereketwa wa ku-meditate na nyimbo tulivu amekidhi haja yetu..
Kwa nyimbo za B. Maria, he is the best of ALL..
.......
......
Mzee ana identity yake ya pekee katika nyimbo zote...
Anatumia 'landscape' akichora muziki wake.. mwandiko mkuuuubwa..
....
HBD P.F.M [KOCHA]..
Mungu akupe maisha marefu zaidi.
 
Mzee ni wa kipekee walimu wengine wakijulikana wanahamia mjini ila yeye kabaki ifakara
p. F. Mwarabu (kocha).... Kiungo katika tungo adimu na muziki wa asili wa kanisa...
Kwa vijana wanaopenda mapambio, ameweza kukidhi haja yenu..
Kwa sisi wakereketwa wa ku-meditate na nyimbo tulivu amekidhi haja yetu..
Kwa nyimbo za b. Maria, he is the best of all..
.......
......
Mzee ana identity yake ya pekee katika nyimbo zote...
Anatumia 'landscape' akichora muziki wake.. Mandiko mkuuuubwa..
....
Hbd p.f.m [kocha]..
Mungu akupe maisha marefu zaidi.
 
Umsihi mwanao yesu maria asamehe makosa yangu anitoe mashaka yote maria yaliyomo moyoni mwngu, maria maria unisaidie mimi mwanao mwenye dhambi

Kwenye red: Maria alishafariki siku nyingi, atawezaje sasa kukuombea kwa mwanae Yesu?

Kwenye green: Maria ambaye alikuwa mwanadamu kama wewe atakusaidiaje dhambi zako sasa?

YESU KRISTO ALIKUFA MSALABANI KWA AJILI YA DHAMBI ZANGU MIMI, WEWE NA WATU WOTE. NI JUKUMU LA KILA MWENYE PUMZI KUTUBU NA KUIAMINI INJILI...KUMKIRI YESU KUWA NI BWANA NA MWOKOZI.

YESU KRISTO YU HAIIIIIIII!!!!!!
 
Na huu ni moja ya nyimbo zake zilizovuma sana.
plugin-Tunakushukuru_Mama_Maria-P.F_.Mw_-001.jpg
 
Hii ni kwa mujibu wa imani yako sio kwa mujibu wa mafundisho ya kanisa katoliki
kwenye red: Maria alishafariki siku nyingi, atawezaje sasa kukuombea kwa mwanae yesu?

Kwenye green: Maria ambaye alikuwa mwanadamu kama wewe atakusaidiaje dhambi zako sasa?

yesu kristo alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu mimi, wewe na watu wote. Ni jukumu la kila mwenye pumzi kutubu na kuiamini injili...kumkiri yesu kuwa ni bwana na mwokozi.

Yesu kristo yu haiiiiiiii!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom