Hongera mmiliki wa Kebby's hotel, Mwenge

Hotel nzuri, usalama upo, huduma safi, ipo location nzuuurii kabiisa yaani sina hakika kama mmiliki wake ni Mtanzania au mgeni ila kama ni mtanzania kwa kweli tumpe hongera yake, kafanya poa sana. Hiyo ndiyo Tanzania ya viwanda tuitakayo.

Nimepapenda, najiuliza tu huyo mmiliki hela ya kujengengea alipata wapi? Agh labda atakuwa ni mfanyabiashara maana nina hakika sio mfanyakazi wa umma especially wa serikali ya CCM ambayo miaka nenda miaka rudi imekuwa inapata viongozi waadilifu na wanaopenda wanyonge.

Hongera sana mmiliki, ila jina lako halisi ni Kebi au Alkebi?
Jina lake kamili anaitwa kabula, kabila lake n msukuma pia n mwanamke
 
Trip za Madale kuona kitoto kichanga cha nchi au kwenda Kigamboni kupumzika na zitaendelea kuwepo until further notice.
Niko kwa ajili ya wanyonge ...nikiandika hivi naomba munierewe tena muniombee

[emoji12]
 
Jamani ipo mwenge wapi na ni kipi kilichokufurahisha utushirikishe na wengine, pia weka na picha itapendeza zaidi
 
Hotel nzuri, usalama upo, huduma safi, ipo location nzuuurii kabiisa yaani sina hakika kama mmiliki wake ni Mtanzania au mgeni ila kama ni mtanzania kwa kweli tumpe hongera yake, kafanya poa sana. Hiyo ndiyo Tanzania ya viwanda tuitakayo.

Nimepapenda, najiuliza tu huyo mmiliki hela ya kujengengea alipata wapi? Agh labda atakuwa ni mfanyabiashara maana nina hakika sio mfanyakazi wa umma especially wa serikali ya CCM ambayo miaka nenda miaka rudi imekuwa inapata viongozi waadilifu na wanaopenda wanyonge.

Hongera sana mmiliki, ila jina lako halisi ni Kebi au Alkebi?
Hotel yetu Hiyo aisee, mamdogo Ndio tumemkabadhi kitega uchumi cha kulelea watoto Hapo!
 
Pole naona hujawah kutembea. Hiyo ni sawa na guest house.
 
Trip za Madale kuona kitoto kichanga cha nchi au kwenda Kigamboni kupumzika na zitaendelea kuwepo until further notice.
Niko kwa ajili ya wanyonge ...nikiandika hivi naomba munierewe tena muniombee

[emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ... umenichekesha jmn....
 
Back
Top Bottom