Ndio Davos mkuu.Davos??😀😀
Ndio Davos mkuu.Davos??😀😀
Mi mwenyewe mgeni hata sielewi.?????
😀😀😀Mi mwenyewe mgeni hata sielewi.
Ilijitype tu mkuu [emoji2]😀😀😀
au ulikuwa unatoa shout-out tu?
hapana kwa kweliMoja tu.
Sawa?????
rais wa wanyongemmiliki nani mtaje mkuu
nilidhani rais wa Manzese ..asante kwa taarifa mkuurais wa wanyonge
NiniMmh
Ulikua unamjua sana nani mmiliki mkuu nani asiyejua kuhusu kabula na kebbys
Kuhusu niniNini
Hahaha! Ulipita kuila roho yako mkuu!Kusema ukweli mmiliki simfahamu mkuu. Mimi huwa naenda kupaka grisi rohoni mwangu na kuendelea na mengineyo yatakayojiri katika harakati za ulainishaji. Karibu sana mkuu.
Dada Kabula hoyweeeeeHotel nzuri, usalama upo, huduma safi, ipo location nzuuurii kabiisa yaani sina hakika kama mmiliki wake ni Mtanzania au mgeni ila kama ni mtanzania kwa kweli tumpe hongera yake, kafanya poa sana. Hiyo ndiyo Tanzania ya viwanda tuitakayo.
Nimepapenda, najiuliza tu huyo mmiliki hela ya kujengengea alipata wapi? Agh labda atakuwa ni mfanyabiashara maana nina hakika sio mfanyakazi wa umma especially wa serikali ya CCM ambayo miaka nenda miaka rudi imekuwa inapata viongozi waadilifu na wanaopenda wanyonge.
Hongera sana mmiliki, ila jina lako halisi ni Kebi au Alkebi?