Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,654
- 18,801
Kebby kwani 5 star? sas hvi wameipanua kimtindo upande wa ukumbi wa mikutanoPole naona hujawah kutembea. Hiyo ni sawa na guest house.
Kebby kwani 5 star? sas hvi wameipanua kimtindo upande wa ukumbi wa mikutanoPole naona hujawah kutembea. Hiyo ni sawa na guest house.
Hahahahahahhahaaa chungulia ina raha yake....
Mubashara ntaona aibu, raha ni pale ninapoiangalia kwa kuibia huku muda hautoshi heheheheh.
Say my name..Dada Kabulaaa.
21 to 38 bullets at day light.Hahaha kijana hala hala mti na macho!!!
Unachokitafuta utakipata
Wale wale ndio nani?Soma thread nzima, utawaona wametajwa sana. Wewe upo Bongo ipi hawajui au ndiyo wale wale?
Kigamboni[emoji33] [emoji33] [emoji33]Trip za Madale kuona kitoto kichanga cha nchi au kwenda Kigamboni kupumzika na zitaendelea kuwepo until further notice.
Niko kwa ajili ya wanyonge ...nikiandika hivi naomba munierewe tena muniombee
[emoji12]
Hapa vyumba vinaanzia 70,000. Kuna kipindi ofisi ilitulipia hapo wakakosa chumba cha 70 hivyo wakanipa chà laki. Niliishi hapo kama mfalme. Pia inaonyesha watu 'wazito' wanapapenda sana.Chumba sh ngapi
Utatumia pombe aibu ikutoke[emoji7]
Usingechangia hapo ningezima simu nikalala
Mkuu naomba ufute ulichokileta hapa,maana naona uzi unakoelekea kuna kitu nahofia kisije kukupata.Kuna tahadhari umeshapewa mkuu kama kweli kuna kitu unakitafuta!Hotel nzuri, usalama upo, huduma safi, ipo location nzuuurii kabiisa yaani sina hakika kama mmiliki wake ni Mtanzania au mgeni ila kama ni mtanzania kwa kweli tumpe hongera yake, kafanya poa sana. Hiyo ndiyo Tanzania ya viwanda tuitakayo.
Nimepapenda, najiuliza tu huyo mmiliki hela ya kujengengea alipata wapi? Agh labda atakuwa ni mfanyabiashara maana nina hakika sio mfanyakazi wa umma especially wa serikali ya CCM ambayo miaka nenda miaka rudi imekuwa inapata viongozi waadilifu na wanaopenda wanyonge.
Hongera sana mmiliki, ila jina lako halisi ni Kebi au Alkebi?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ati muda hautoshi na mwenye tango lake ana haraka za kupita njia nansafari zake
Kasie hii ni grisi tosha kulainisha vyuma vyangu usiku huu.
ZAMA HIZI, UKITAMKA CHOCHOTE KINACHOMHUSU BABA MKUBWA 100% UNAKULA BAN MOJA TAKATIFU! KABULA MCHEPUKO WAKE SI WA MCHEZO MCHEZO! UMENILAZIMISHA NISEME! WAKINIFATA NAKUTAJAKosa lake ni lipi?