Hongera mmiliki wa Kebby's hotel, Mwenge

Hongera mmiliki wa Kebby's hotel, Mwenge

Mleta Uzi utatupeleka jela muda si mrefu. KEBBY'S HOTEL belongs to the BIG BEIBE kabula!
 
Hotel nzuri, usalama upo, huduma safi, ipo location nzuuurii kabiisa yaani sina hakika kama mmiliki wake ni Mtanzania au mgeni ila kama ni mtanzania kwa kweli tumpe hongera yake, kafanya poa sana. Hiyo ndiyo Tanzania ya viwanda tuitakayo.

Nimepapenda, najiuliza tu huyo mmiliki hela ya kujengengea alipata wapi? Agh labda atakuwa ni mfanyabiashara maana nina hakika sio mfanyakazi wa umma especially wa serikali ya CCM ambayo miaka nenda miaka rudi imekuwa inapata viongozi waadilifu na wanaopenda wanyonge.

Hongera sana mmiliki, ila jina lako halisi ni Kebi au Alkebi?
Wewe una lako jambo unajifanya kuzunguka wakati lengo lako ni kutaka kuleta udaku tu wa kutaka uhakika wa mmiliki wa Kebbys kama ni mtanzanaia au la na ni uhakika kuwa unamjua mmiliki ili kwa sababu zako mwenyewe unataka umchome au upige baragumu la kumuweka wazi.
 
Karibu mbeya mjini. Ukifika nijulishe nikupeleke Hotel Desderia mkuu. Huduma zake na mandhari hakika utajiskia kama uko Davos, Uswizi. Toriiiiiiiiii ndiiiiiiii. ZE NDINDINDI
Je hiyo Desderia hotel naruhusiwa nikiwa hapo kufanya mkutano wa CCM kwenye ukumbi wao nina mkakati wa kugombea ubunge jimbo la Mbeya, nataka nikifanya mkutano nipeperusha bendera za kijani eneo lote la hotel
 
Hotel nzuri, usalama upo, huduma safi, ipo location nzuuurii kabiisa yaani sina hakika kama mmiliki wake ni Mtanzania au mgeni ila kama ni mtanzania kwa kweli tumpe hongera yake, kafanya poa sana. Hiyo ndiyo Tanzania ya viwanda tuitakayo.

Nimepapenda, najiuliza tu huyo mmiliki hela ya kujengengea alipata wapi? Agh labda atakuwa ni mfanyabiashara maana nina hakika sio mfanyakazi wa umma especially wa serikali ya CCM ambayo miaka nenda miaka rudi imekuwa inapata viongozi waadilifu na wanaopenda wanyonge.

Hongera sana mmiliki, ila jina lako halisi ni Kebi au Alkebi?
Kuna jamaa alienda katika kijiji fulani na mwenzake kufanya tafiti zake. Wakakuta wanakijiji ndio kwanza wametoka shambani wamejipumzisha chini ya mti wenye kivuli tuliiivuu wakiburudika na pombe yao ya kienyeji.
Watafiti wakaanza kuwasema wanakijiji kwa kiingereza chao cha kuungaunga.
Miongoni mwa wanakijiji kulikuwa na retired Professor na watoto wake ambao walokuwa likizo from SUA na UDSM.
Kilichobaki utamalizia mwenyewe.
 
Back
Top Bottom