Hongera mmiliki wa Kebby's hotel, Mwenge

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,013
Hotel nzuri, usalama upo, huduma safi, ipo location nzuuurii kabiisa yaani sina hakika kama mmiliki wake ni Mtanzania au mgeni ila kama ni mtanzania kwa kweli tumpe hongera yake, kafanya poa sana. Hiyo ndiyo Tanzania ya viwanda tuitakayo.

Nimepapenda, najiuliza tu huyo mmiliki hela ya kujengengea alipata wapi? Agh labda atakuwa ni mfanyabiashara maana nina hakika sio mfanyakazi wa umma especially wa serikali ya CCM ambayo miaka nenda miaka rudi imekuwa inapata viongozi waadilifu na wanaopenda wanyonge.

Hongera sana mmiliki, ila jina lako halisi ni Kebi au Alkebi?
 
Acha ufukunyuku wewe!. Umepata huduma nzuri karibu tena na waambie na wengine mambo kutaka kujua mmiliki haikuhusu kama ni lazima sana kumjua nenda brela kali searching fee ndio ndiyo utajua kama ni kebbys plc.
 
Hotel nzuri, usalama upo, huduma safi, ipo location nzuuurii kabiisa yaani sina hakika kama mmiliki wake ni Mtanzania au mgeni ila kama ni mtanzania kwa kweli tumpe hongera yake, kafanya poa sana. Hiyo ndiyo Tanzania ya viwanda tuitakayo.

Nimepapenda, najiuliza tu huyo mmiliki hela ya kujengengea alipata wapi? Agh labda atakuwa ni mfanyabiashara maana nina hakika sio mfanyakazi wa umma especially wa serikali ya CCM ambayo miaka nenda miaka rudi imekuwa inapata viongozi waadilifu na wanaopenda wanyonge.

Hongera sana mmiliki, ila jina lako halisi ni Kebi au Alkebi?
Hahaha kijana hala hala mti na macho!!!

Unachokitafuta utakipata
 
Hotel nzuri, usalama upo, huduma safi, ipo location nzuuurii kabiisa yaani sina hakika kama mmiliki wake ni Mtanzania au mgeni ila kama ni mtanzania kwa kweli tumpe hongera yake, kafanya poa sana. Hiyo ndiyo Tanzania ya viwanda tuitakayo.

Nimepapenda, najiuliza tu huyo mmiliki hela ya kujengengea alipata wapi? Agh labda atakuwa ni mfanyabiashara maana nina hakika sio mfanyakazi wa umma especially wa serikali ya CCM ambayo miaka nenda miaka rudi imekuwa inapata viongozi waadilifu na wanaopenda wanyonge.

Hongera sana mmiliki, ila jina lako halisi ni Kebi au Alkebi?
Mkuu bei ya chumba inaanzia shilingi ngapi? Ili tuweze kuona kama tutamudu tukashuhudie hayo usemayo.
 
Back
Top Bottom