Hongera mmiliki wa Kebby's hotel, Mwenge

Aahahahahahahahaa jimmy uchokozi huo......

Si wajua Kasie na matango damdam. ..... napenda sana hiyo kitu sijui kwanini. Labda ndo maana naitwa Kasie Mahaba Matata.
Mmmh unapenda kucheza nayo au sio hongera zako
 
ZAMA HIZI, UKITAMKA CHOCHOTE KINACHOMHUSU BABA MKUBWA 100% UNAKULA BAN MOJA TAKATIFU! KABULA MCHEPUKO WAKE SI WA MCHEZO MCHEZO! UMENILAZIMISHA NISEME! WAKINIFATA NAKUTAJA
wala sijakupata Kabula ni nani?
 
Hotel nzuri, usalama upo, huduma safi, ipo location nzuuurii kabiisa yaani sina hakika kama mmiliki wake ni Mtanzania au mgeni ila kama ni mtanzania kwa kweli tumpe hongera yake, kafanya poa sana. Hiyo ndiyo Tanzania ya viwanda tuitakayo.

Nimepapenda, najiuliza tu huyo mmiliki hela ya kujengengea alipata wapi? Agh labda atakuwa ni mfanyabiashara maana nina hakika sio mfanyakazi wa umma especially wa serikali ya CCM ambayo miaka nenda miaka rudi imekuwa inapata viongozi waadilifu na wanaopenda wanyonge.

Hongera sana mmiliki, ila jina lako halisi ni Kebi au Alkebi?
Mbona hotel ya binti wa Kisukuma hiyo! Hujawahi kumsikia binti anaitwa Kabula Ilomo? Huyu tuliwahigi kumpa jumba wakati siyo mtumishi wa umma kama masharti yalivyokuwa yanatutaka tufanye! Hela nyingi alizipata kwa baba nanihii?
 
19f4da5b00d41e47a2331fb893862080.jpg
sijui ndo iyoo
 
wala sijakupata Kabula ni nani?
NAOMBA USIENDELEE KUNIELEWA HIVYO HIVYO ITAPENDEZA, MKUU HACHEZEWI KWENYE USINGIZI WAKE! UNAPOTEZWA! KABULA NI DEMU WA MAKUFURI TOKA ALIPOKUWA WAZIRI WA UJENZI
 
Mbona hotel ya binti wa Kisukuma hiyo! Hujawahi kumsikia binti anaitwa Kabula Ilomo? Huyu tuliwahigi kumpa jumba wakati siyo mtumishi wa umma kama masharti yalivyokuwa yanatutaka tufanye! Hela nyingi alizipata kwa baba nanihii?
Ka picha mkuu
 
Back
Top Bottom