Chumba sh ngapi
Eb watajeSio mmoja. Wapo kadhaa
Siku ngapi?69,000/=
Siku ngapi?
Umeshampata mtu wa kulala nae?[emoji16] [emoji16]Chumba sh ngapi
hahaaa daahh mods hawatki masihara aisee lkini mbona aliongea kwa codesHaha kashapata alichokuwa anakitafuta!
Nasikia mwenye hiyo ni yule nanihii sijui.Hotel nzuri, usalama upo, huduma safi, ipo location nzuuurii kabiisa yaani sina hakika kama mmiliki wake ni Mtanzania au mgeni ila kama ni mtanzania kwa kweli tumpe hongera yake, kafanya poa sana. Hiyo ndiyo Tanzania ya viwanda tuitakayo.
Nimepapenda, najiuliza tu huyo mmiliki hela ya kujengengea alipata wapi? Agh labda atakuwa ni mfanyabiashara maana nina hakika sio mfanyakazi wa umma especially wa serikali ya CCM ambayo miaka nenda miaka rudi imekuwa inapata viongozi waadilifu na wanaopenda wanyonge.
Hongera sana mmiliki, ila jina lako halisi ni Kebi au Alkebi?
Hahahahahahahaa umenifanya nipate taswira tango litavokuwa linapigwa mateke na mapaja wakati wa kutembea ndani ya suruali isiyo na boksa hahahahahahahahaa. Hapo uwe mita kadhaa unakuja Walaah macho yangu hayatabanduka kwenye maeneo hayo ya tango na nyanya chungu mbili hehehehehehehehee.
Yaani napata taswira inaenda kulia inarudi kushoto inaruka katikati kwenye zipu halafu kulia tena halafu kushoto aahahahahhahahahahahahahaaa
Aiseeh muwe mnasahau kuvaa boksa nipate raha ya kitizama inavodunda.
Soma thread nzima, utawaona wametajwa sana. Wewe upo Bongo ipi hawajui au ndiyo wale wale?Eb wataje
Alafu muulize anatakwimu,maana sisi kwenye uchochezi huu tutakuwa wapenzi watazamaji.Mleta mada unataka kutufungisha bure wenzio coz unakauli za uchokozi inasemekana hiyo hotel niya baba wa wanyoge.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uzi bila picha sawa na suruali bila boxer
Hotel nzuri, usalama upo, huduma safi, ipo location nzuuurii kabiisa yaani sina hakika kama mmiliki wake ni Mtanzania au mgeni ila kama ni mtanzania kwa kweli tumpe hongera yake, kafanya poa sana. Hiyo ndiyo Tanzania ya viwanda tuitakayo.
Nimepapenda, najiuliza tu huyo mmiliki hela ya kujengengea alipata wapi? Agh labda atakuwa ni mfanyabiashara maana nina hakika sio mfanyakazi wa umma especially wa serikali ya CCM ambayo miaka nenda miaka rudi imekuwa inapata viongozi waadilifu na wanaopenda wanyonge.
Hongera sana mmiliki, ila jina lako halisi ni Kebi au Alkebi?
"Jini" Kabula au?hehehehehe,sasa dada kabula na yeye si wa pande za geita au?
Davos??😀😀Karibu mbeya mjini. Ukifika nijulishe nikupeleke Hotel Desderia mkuu. Huduma zake na mandhari hakika utajiskia kama uko Davos, Uswizi. Toriiiiiiiiii ndiiiiiiii. ZE NDINDINDI
Davos??😀😀Karibu mbeya mjini. Ukifika nijulishe nikupeleke Hotel Desderia mkuu. Huduma zake na mandhari hakika utajiskia kama uko Davos, Uswizi. Toriiiiiiiiii ndiiiiiiii. ZE NDINDINDI
Dada Kabulaaa.
?????Hotel ya mzee wa Chato hiyo