Kimpyempye
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 722
- 1,147
Hata mimi nimem mind kinoma Mvula. Nimgekua na cha kumchangia mwana ningempa hata hela ya bisibisi tu. Ila shemeji yetu naye anazingua mwambie amwacheHuyo mvula jamaaa ana screenshots zake zote na by then jamaa alihack namba za mkewe jamaa huwezi jua kama hio ishu anayo kichwani, anaendelea na maisha yake anasema anasubiria muda sahihi na sehemu sahihi
Ni chapter yake ya mapito tunamuombea aendelee na maishaHata mimi nimem mind kinoma Mvula. Nimgekua na cha kumchangia mwana ningempa hata hela ya bisibisi tu. Ila shemeji yetu naye anazingua mwambie amwache
Sasa hapo mwenye kosa ni nani kati ya huyo jamaa anayetoka na huyo mwanamke au huyo mwanamke wa jamaa yako. Kama unampenda sana rafiki yako mwambie aachae na huyo mke wake kwa sababu atakuwa hampendi jamaa yako. Ukiona mke au rafiki yako wa kike anatembea na mwanaume mwingine mpaka wewe umejua na yeye amejua na umeshamkanya na bado anaendelea kutembea naye wewe jua kabisa hakupendi kwa hiyo kula kona vinginevyo jela itakua inakuita kama sio kitanzi kabisa. Ila wanaume wengine wana moyo sana mpaka unampigia simu mtu anayemlamba mkeo aka "mume mwenza" daa unaongea nini sasa na yeye.Huyo aliesign barua kwa niaba ya katibu mkuu ndio anatoka na mke wa mshikaji na ashapigiwa simu na mshikaji ila bado anaendelea
Jamaa ni mafia ngoja tumuache tu tuone yajayo ntawajuza next episodesSasa hapo mwenye kosa ni nani kati ya huyo jamaa anayetoka na huyo mwanamke au huyo mwanamke wa jamaa yako. Kama unampenda sana rafiki yako mwambie aachae na huyo mke wake kwa sababu atakuwa hampendi jamaa yako. Ukiona mke au rafiki yako wa kike anatembea na mwanaume mwingine mpaka wewe umejua na yeye amejua na umeshamkanya na bado anaendelea kutembea naye wewe jua kabisa hakupendi kwa hiyo kula kona vinginevyo jela itakua inakuita kama sio kitanzi kabisa. Ila wanaume wengine wana moyo sana mpaka unampigia simu mtu anayemlamba mkeo aka "mume mwenza" daa unaongea nini sasa na yeye.
Mwambie jamaa yako "black and white" kuwa mke wake hampendi kabisa kwa sababu kwa tabia za wanawake zilivyo akipenda amependa kweli kwa hiyo hapa penzi limeshahamia kwa huyo jamaa wa wizarani ndio maana pamoja na mumewe kujua na kumkanya bado anaendelea na huyo jamaa wa wizarani. Pamoja na umafia wake yeye aachane nao kwani mara nyingine huwa unafeli anaweza jikuta yupo nyuma ja nondo au kaburini kabisa halafu kawaacha watuhumiwa wake wazima huku wanaendelea na starehe zao yeye mnampeleka tu stori siku za "visitor" akiwa lupango.Jamaa ni mafia ngoja tumuache tu tuone yajayo ntawajuza next episodes
Duh, wapi huko?Sisi tumelipa 135,000/-
Darasa la nne
Wenye kuona mbali wamegundua mbinu hizo zina madhara makubwa zaidi kwa mtoto hapo baadae kuliko faida ya ufaulu mitihani ya kitaifa. "Fatigue kills faster than pride/ego!"
Wanapumzika jumapiliNi sahihi ila Walioweka likizo sio Wajinga, watoto wanahitaji mapumziko ujue. Kuna extra curricular activities. Sasa kuwashindilia tu masomo mwanzo mwisho ni kuwakaririsha, which is not health at all
Wakianza kulima tena mtauliza.Shule ilikua sehemu nzuri sana ya socialization na skill building na sio kukaririshwa.
Tulikua na nyakati za kucheza, kufurahi, kusali na kusoma!
Elimu ya Tanzania inajenga kaburi kubwa sana kwa future ya Watoto wetu
Inaua creativity, kwa mfano, kwanini shule zinunue mboga za majani wakati wangeweza kuwa na bustani za mchicha, tembele etc? Huyu mtoto hajui hata spinach kama inapandwa au inachimbwa.
What a shame?
Hahahaha shenzi SanaWadau huyu Mathias I Mvula anamawasiliano ya kimapenzi na mke wa rafiki yangu tunamtafuta kwa yeyote aliepo Dodoma tafadhari mpaka alishawahi pigiwa simu kuonywa na bado akaendelea yakihitajika na mengine tutayafikisha kwawaziri husika huyu mwanamke yupo morogoro shule za manispaa, aliwahi kumfundisha Ilonga chuo cha walimu kilosa. Popote ulipo Mathias I Mvula ujipange haswaa kwa hilo.
Wala, nakerwaga tu na wazazi wasiosimamia nafasi zao ipasavyo.Hahahaha umeandika kwa hasira sana sana
Mweeh!!Wadau huyu Mathias I Mvula anamawasiliano ya kimapenzi na mke wa rafiki yangu tunamtafuta kwa yeyote aliepo Dodoma tafadhari mpaka alishawahi pigiwa simu kuonywa na bado akaendelea yakihitajika na mengine tutayafikisha kwawaziri husika huyu mwanamke yupo morogoro shule za manispaa, aliwahi kumfundisha Ilonga chuo cha walimu kilosa. Popote ulipo Mathias I Mvula ujipange haswaa kwa hilo.