Uchaguzi 2020 Hoja binafsi: Dkt. Magufuli anastahili kupewa miaka mingine 5

Itendee haki nafsi yako kesho ni siku maalumu ya kulipiza kisasi kwa mabaya yote uliyotendewa na Utawala huu dhalimu.Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
 
Kesho Watanzania tunaenda kumsulubu msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
 
Kesho Watanzania tunaenda kumsulubu msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
Mwisho wa udhalimu na mateso ya watz kesho,Mungu ametuletea mkombozi mchague mtanzania mwenzetu asiye na shaka juu ya vyeti vyake vya kuzaliwa, mtetezi wa wanyonge na sio mnyongaji wa wanyonge
 
Watanzania hawawezi kupigia kura msaliti wa Nchi, usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa

Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Mwisho wa udhalimu na mateso ya watz kesho,Mungu ametuletea mkombozi mchague mtanzania mwenzetu asiye na shaka juu ya vyeti vyake vya kuzaliwa, mtetezi wa wanyonge na sio mnyongaji wa wanyonge
 
Sijui ni mahaba au kitu gani, Ila naona aibu Mimi mtu Kama mzee mwanakijiji kuamua kujitoa ufahamu na akili zake nyingi ili kusapoti ushenzi na uuaji. Never trust a hungry man!!!
Mwanakijiji ana njaa isiyo na kifani
 



Naamini kuwa Rais Magufuli anastahili kupewa nafasi nyingine ya kuliongoza Taifa letu kwa miaka mingine mitano. Hoja zinazotolewa bado hazijatosha kuwafanya Watanzania wengi kutokumuunga mkono. Ushindi wake utakaribia asilimia 80...

Lissu atapigiwa kura na watu wengi vilevile lakini ana kazi kubwa zaidi ya kuuelekeza upinzani kuelekea 2025. Hadi hivi sasa hajajaribiwa kama kiongozi mkuu wa upinzani, anaenda kujaribiwa sasa

Amefanya nini KIPYA na cha KIPEKEE cha kustahili 5 mingine?


Kuvunja katiba?
Ubaguzi kwa misingi ya kiitikadi?
Ubinafsi na kupenda sifa?
Nepotism?
Vulgarism?

Ndiyo vinambeba?

Lissu anao uwezo wa kufanya yote aliyoyafanya, and more in fact.....let alone falsafa yake ya kutenda HAKI kwa wote ambayo mtu wenu amepwaya mnoo.
 
Siku hizi vishairi shairi, kukesha milimani ukijifanya mlokole, stori za shigongo na viforum uchwara umeachana navyo. Ni mwendo wa Magu magu magu huku ukiyumbua mali zilizojaa damu za watu na dhulma.

Kweli Njàaaaaaaaaa, acha iitwe Njaaaaaaaaa
Kila anaye unga mkono mlengo wa kulia mnasema njaaa njaa , haya nyie vijana makini wenye pesa zenu

Mbona hamkusapoti chama chenu mkaacha kitembeze bakuli za michango muda ambao ilitakiwa utumike kunadi sera???
 
Umejieleza vizuri. Na kwa kweli sidhani kama kuna mtu ambae alitegemea utasema tofauti na ulichosema. Kwa hilo ni lazima upongezwe kwa kusimamia principles zako. Ila sidhani kama uko neutral au non partisan katika suala hili kama ambavyo pengine unaamini. Kuwa partisan sio dhambi. Bila kupoteza wakati turudi kwenye hoja ulizoleta.
1. Ingawa umetuambia kuwa umemsoma sana Mwalimu kwenye suala la "people centred development" nadhani haujamtendea haki. Aliposema maendeleo ya watu, alimaanisha kuwa maendeleo ni lazima yalenge katika kuboresha maisha ya raia wengi iwezekanavyo. Ndio maana hakuna aibu kuwa nchi yake haina televisheni bali alijivunia uwekezaji wake katika elimu ambao ulipelekea Tanzania kuwa moja ya nchi Afrika ambayo wananchi wengi walikuwa na elimu ya msingi ( basic education ya kujua kusoma na kuandika) Afrika. Literacy rate ilipaa si kwa kujenga vyuo vikuu bali kuanzisha mfumo wa elimu ya ngumbalo ambayo ilitolewa sehemu yeyote iliyowezekana na kufanya elimu ya shule ya msingi bora iwe accessible kwa watoto wengi iwezekanavyo. Aliwekeza ujenzi wa vituo vya afya ambavyo huduma yake ilikuwa nayo accessible kwa wananchi wengi iwezekanavyo. Mpango wake wa vijiji vya ujamaa ulilenga katika kurahisisha kuwapelekea wananchi wake hizi huduma muhimu. Hivi ndivyo maendeleo ya kudumu yanavyopatikana. Tofauti na unavyotaka kutuaminisha, nchi kama Singapore hazikuwekeza kwenye ununuzi wa ndege n.k. ndio wakapata maendeleo. Waliwekeza kwenye elimu ya wananchi wake, na baada ya kupata mafanikio ndio wakawekeza kwenye Singapore Airlines. Nchi kama Saudi Arabia iliwekeza sana kwenye vitu lakini mpaka sasa katika takwimu za maendeleo ya watu hawako sehemu ambayo ungetegemea kutokana na utajiri wao.
2. Vyama vya upinzani havipingi uwekezaji katika vitu bali namna uwekezaji huo ulivyofanyika na vitu gani vimepewa priority. Kwa mfano sijawasikia wakipinga mradi wa SGR. Wako wanaounga mkono mradi wa Stigler, ingawa the jury is still out on that one. Hawapingi ufufuaji wa ATC bali namna ufufuaji huo ulivyofanyika kwa kuwekeza kwenye ununuzi wa ndege kwa pesa taslimu kabla ya hata kuwa na business plan! Na hasa katika wakati ambao mashirika .engi ya ndege ya kitaifa yako ICU.
3. Umemshauri Freeman Mbowe ampishe Tundu Lissu kwenye uongozi wa chama chake. This is disingenuous. Freeman Mbowe ( akisaidiwa na wakina Halima Mdee)ndie kakijenga chama hiki kufikia hapa kilipo. Amafanya yote katika mazingira magumu sana. Ni mizizi iliyowekwa na Chadema, Bawacha na Bavicha ndio inayomuwezesha Lissu kupata mapokezi anayoyapata. Kuamini kuwa hali itabadilika baada ya uchaguzi ni kujidanganya maana sijasikia mahali Chama Tawala kikiahidi kuwa vyama vyote vitaruhusiwa kuendesha shughuli zake za kisiasa bila kuzuiwa baada ya uchaguzi. Na kama kweli mgombea wa CCM atapata zaidi ya 80% ya kura zote na chama chake kusomba nafasi za ubunge karibu zote basi hata uwezo wa kifedha wa vyama vya upinzani utaathirika sana. Katika mazingira hayo, Chadema kitahitaji kiongozi mwenye uwezo wa kumaximise utility ya resources za chama chake. Kwa Chadema kiongozi huyo ni Mbowe. Lissu kama Makamu Mwenyekiti ataendelea kuhamasisha watu wakipende chama chake na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa ahadi zao na majukumu yao.
4. Hiyo ya kusema kuwa uko tayari kutoa ushauri kwa Chadema haingii kichwani. Ni kama vile Sumaye alivyosema kuwa yuko tayari kutoa ushauri na kutumika na chama chochote lakini leo yuko jukwaani akinadi chama chake cha awali. Ushauri wangu ni kuwa ujikite kwenye kutoa ushauri kwa chama ambacho unachokipenda ili ifikapo 2025 wasipate ushindani wanaoupata safari hii.

Amandla...
 
Kila anaye unga mkono mlengo wa kulia mnasema njaaa njaa , haya nyie vijana makini wenye pesa zenu

Mbona hamkusapoti chama chenu mkaacha kitembeze bakuli za michango muda ambao ilitakiwa utumike kunadi sera???
Tatizo siyo kuunga mkono, shida ni mtu kujifanya mcha Mungu, mpenda haki wakati kinachomfanya alivyo kinajulikana.

Mtu kama Mwanakijiji, Polepole, Kitila Mkumbo, Julius Mtatiro n.k ni watu ambao wanafanya wasichokitaka Kwasababu ya Njaa.

Ukitaka kujua hilo check kwasasa Kikwete anatukanwa na mpaka kina Ally Hapi Kwasababu hana tena cha kuwapa.

Siku Rais akikosa madaraka ya kuteua 98% ya watumishi nchi hii ndio utajua maana halisi ya binadamu. Na hawa takataka wanaomwabudu Magu atawajua vizuri siku akirudi Chato.
 
Back
Top Bottom