Hodi Dar, Nani wa kunipokea usiku huu

Hodi Dar, Nani wa kunipokea usiku huu

Watu wa hivi kuna kimoja labda walishakanyaga magonjwa hawana cha kupoteza, au ni janaume au ni binti lakini ana agenda na ana jopo la watu lipo nyuma yake kwa utapeli

Mtu mwenye shida aanze kusema
mwanaume mwenye gari! kweli? Aah
Kabisa kabisa..angeomba msaada wa pesa angepata fasta na kwenda kupumzika lodge au guest house.
Lakini hii ya kutaka kupokelewa na mwenye gari linaleta ukakasi!
Pengine ni mzaha tu.
 
Kwa Dar hakuna mwanaume wa kukupokea bibie Fanya mpango upate mahali pa kulala tu. Ungekuwa mkoani zingekuja mpaka fuso
 
Back
Top Bottom