Hodi Dar, Nani wa kunipokea usiku huu

Hodi Dar, Nani wa kunipokea usiku huu

vijana msituangushe aise 🥵
Screenshot_20250615-210141~2.jpg
 
Duuh...! Hii ndio inayonifanya niwaone hawa macute,malove kama wapo ki.........
 
Zingatia uwe na gari sio unaenda kumpokea na bodaboda
 
Si mkutane tu hapohapo sinza, hiyo safari ya kwenda mpaka magufuli na mabegi na kuhangaika nayo mbona inakua noma sana.
 
Mdada wa watu katoka njombe huko kapanda Upendo, na gunia moja ya maharage nyingine ya mahindi wewe unaenda na n Paso yako.

Si unajua kipindi cha mavuno hiki😂😂
Mbavu zangu mie, Woiiiih
😂😂😂😂😂
 
Mabazazi ya JF mnaitwaa hukuu, kuna mteja wenu ana jambo na nyie. Lol

Wee huogopiiii? 😂😂😂😂😂
😹😹😹 Mbuzi kafia kwa muuza supu..!!
Ngoja wajimix kwa wizo 🤣
 
HUU MTEGO KUNA KITU KINATAFUTWA HAPA, KUWENI MAKINI SEREKALI YENYEWE YA KIZIMKAZI HII
 
Sema unamtego mkali sana wewe kabinti...
 
Back
Top Bottom