Hodi Dar, Nani wa kunipokea usiku huu

Hodi Dar, Nani wa kunipokea usiku huu

unataka akupokee akupeleke wapi?

umekuja daslam huna ndugu wa kuja kukupokea? yaani mtu achome mafuta kuja kukupokea bure bure? si ntego huo
Mtu aliyekuwa anakuja kunipokea sim yake haipatikani tangu mchana so sioni pa kufikia
 
Back
Top Bottom