Hizi ndio ndege za Magufuli

Hizi ndio ndege za Magufuli

Wafanyakazi wengi wa ATCL kama sio wote hawana uzalendo, shirika halina hata kimoja cha kukumbukwa na kujivunia. Mshahara wanachukua kwa kazi ipi wamefanya? Yani wanachukua mshahara kugenerate loss na hata aibu hawana.
Inatakiwa pafanyike mabadiliko makubwa kwa shirika Zima juu mpaka chini kabla yakununua ndege na kufufua tena ATCL kuepo watu wapya na akili mpya tofauti na hao failure.

Ndege nzuri kuanza nazo nilitegemea wanunue zile za Urusi Irkut MC 21 au SS100 kwani walitangaza watanunua MC21 wamegeuka vipi tena!
Hizo ndege za Urusi bei ni nafuu na nzuri.

Vipi kuhusu safety record zao hao wa Russi lakini ?
 
Badala ya hizo mbili ndogo angenunua moja kubwa kuliko hivyo vitoroli
24f2a5420ec83b78c30ee9023a29f4fd.jpg
74ffbbd76ee1568c3c6b3a66ef7536cc.jpg
Mshanaa kwahali ya ATCL UWEZI ANZA NA NDEGE KUBWA N KUTAKIANA LAANA ZA UZEENI...

AMEKUJA BOSI MPYA WA FJET AMEWEKA WAZI KAMA MOJAYA MAKOSA WALIOFANYA WA NYUMA N KULETA AIRBUS WANAITAJI NDEGE NDOGO ZA KUANZIA NA WANAPOPATA WATU WENGI KUBWA IWE KWA AJILI YA KWENDA NJE YA NCHI ..

KWA ATCL INAITAJI KWANZA KUJIIMARISHA DOMESTIC NDIPO IANZE INTERN..UWEZI LETA AIRBUS A BOEING LIANZE KWENDAWANZA FRM NOWHR UTALAANIWA NA WATANZANIA....

WAANZE NA NDOGO NDIPO WAJE KUBWA....USHAURI BILASHURTI
 
Bodi ilioshindwa kuendesha shirika lenye ndege moja litaweza kuendesha shirika lenye ndege mbili? Sijasikia wakiongelea business plan au wanataka zikifika ndio wanze kujipanga? Viongozi wa hii nchi sio wa kuwaamini kwenye mambo ya biashara.
Umeongeaa laamaana Sana'a wanataka watawaze ndio wajisaidie shidaa
 
VIJANA KSFHA USIKU WA KUAMKIA LEO WAMEFUNGA BODA YA TANZANIA NA RWANDA NA KUIBA BAADHAYAVITU MAOFISIN MWA WATU NA MAJUMBANI MWAO NA KUTOKOMEA

WATAALAM WAMEANZA NA MIPAKA SRC

ITV
 
Na wafanyakazi watabaki walewale over 200 kwa ndege mbili au tatu?
 
Nafikiri wewe ni mfanyakazi au unahisa precision air kwahyo unaofia ajira yako au masirahi yako ndio maana unatoa ushauri negative usio na faida kwa taifa letu ni bora ukageuka nyuma na kuutafakari ushauri wako
 
Watz, wana uwezo mkubwa, na elimu tosha ktk nyanja nyingi, (kama sio zote), wana uwezo mkubwa kufanya na kuundesha jambo kwa ufanisi uliotukuka, Tatizo pengine - 'UZALENDO' au kukatishwa! tamaa, na mfumo.- (lakini, mimi sijui, napita njia tu!)
 
Mtaje basi aliekuwa anaua Reli ili afanye usafiri mbadala,mbona hutaji jina lake,unaogopa au siyo?hata serekali yako imeisha mwachia aendelee kuvuna tu,serekali inatumbua chunusi tu.

Karanja wala usijefikiri walioyaua mashirika ya umma ni menejiment za mashirika hayo.Enzi hizo mashirika yakinawiri huku chama tawala kikishika hatamu mambo yaliendeshwa kisiasa sana na kiongozi wa juu wa chama angeweza kuagiza hela zichukuliwe shirika fulani kufanikisha mikutano ya chama na hazirudishwi.Niliwahi kuona ndege ya shirika ikicheleweshwa kuwasubiri wajumbe wa mkutano mkuu,kamati kuu kuwapeleka Dar.Niliwahi kuelezwa kuna rubani wa ndege alilazimishwa kurusha ndege wakati masaa yake ya kuruka yakiwa yameisha.Pia nilielezwa kuna rubani alishalazimishwa kurusha ndege wakati alishatoa taarifa tairi zibadilishwe.Wakuu wa mashirika wasipoheshimu amri za viongozi wa chama wataitwa na kuwajibishwa na chama. Hali hiyo ilikuwa katika mashirika yote ya umma kuchukuliwa hela kwa matumizi ya chama tawala na zisirejeshwe.Mameneja kupewa amri za kisiasa jinsi ya kuendesha mashirika hayo na utaalam wao kudharaulika.Meneja angeweza kuitwa na mhudumu wake wa ofisi kwenye kikao cha wafanyakazi tawi ambapo mhudumu huyo ndie m/kiti wa kikao na wanaweza kumjadili meneja na hata kupendekeza kwenye bodi au mamlaka yake ya ajira hatua za kumchukulia meneja.Haya yalikuwepo.Kufanikiwa kwa uongozi huu tuombe Mungu raisi Magufuli akabidhiwe hiyo kofia ya kuongoza chama tawala kitaifa na akataze mashirika kuendeshwa kwa amri za kisiasa badala ya utaalamu.Nakubali kwa kuanzia tuanze na hizo bambadier mbili ili tuanze na soko la ndani kwanza.Kwanza tumeshaambiwa zina matumizi kidogo zaidi ya mafuta na zinahitaji uwanja mfupi zaidi kuweza kuruka n.k.Shirika likipata wataalamu wazuri wenye weledi wa sector hiyo na wawe wazalendo pia wasipoingiliwa na wanasiasa ndani ya mwaka mmoja watanunua airbus moja kwenda nchi za nje.Zikipungua kidogo serikali itaongezea mradi ione wanajiendesha kwa faida.
 
Mbona ziko poa tu kwa kuanzia......maana hatuwezi weka bajeti yote kwenye biashara ya ndege......
 
Vipi kuhusu safety record zao hao wa Russi lakini ?

DETAILS
Country of Origin
Russia

Type
Regional jet airliner

History
The Superjet 100 design was launched in 2000, with the aim being to produce a modern regional airliner for the traditional Eastern European/CIS markets. It is also intended to be attractive to Western customers due to lower purchase and operating costs than competing Western designs, but with the required safety and performance features that were often perceived as lacking in older designs from the Soviet era, preventing sales to that market. Sukhoi worked with new partners, notably including Boeing, as they developed the aircraft for the post-Cold War airline environment. The aircraft that emerged is modern and targeted to compete with close competitors such as the Embraer ERJ-190/195 and Bombardier designs, as well as the smaller Airbus and Boeing designs such as the A318 and 737-600. Development was more protracted than expected, but successful, with the first of four prototypes flying on 19 May 2008. Certification was reasonably straightforward, with a few problems requiring attention, particularly with the new engines. Customer deliveries began in 2011 when Armenian airline Armavia took delivery of the first production aircraft, with Aeroflot taking its first aircraft later the same year.

Powerplants
SSJ 100-95 - Two 69kN/15,400lb (NTO) PowerJet SaM146 turbofans (78kN/17,500lb APR).

Performance
SSJ 100-95 - Max cruising speed 870km/h (470kt), typical cruising speed 828km/h (448kt). Range with typical payload 3048km.

Weights
SSJ 100-95 - Empty 25,100kg (55,000lb), max takeoff 45,880kg (101,100lb).

Dimensions
SSJ 100-95 - Wing span 27.80m (91ft 2in), length 29.94m (98ft 3in). Wing area 84m2 (900sq ft).

Capacity
Flightcrew of two. SSJ 100-95 - 86 to 103 passengers depending on configuration.

Production
The first production Superjet 100 was handed over to launch customer Armavia on 19 April 2011.

Price-$35 million

Related Links
Sukhoi Superjet 100

SSJ100.jpg

cabin_main.jpg

cockpit_SITE_eng_small1.jpg

Cheki na hapa Aviation Safety Network > ASN Aviation Safety Database > Aircraft type index > Sukhoi Superjet 100 > Sukhoi Superjet 100 Statistics

Irkut Mc-21

Table-1_.png

the-jet-will-debut-with-the-mc-21-300-which-can-carry-up-to-211-passengers.jpg

theres-a-seat-back-entertainment-system-to-keep-passengers-occupied.jpg

mood-lighting-is-present-as-well.jpg

2273812.jpg
 
A

Asante mkuu ! Sikujua suckoi wana passangers airplane ! Ni kweli huwa nina wa admire sana hawa Suckoi , naamini zitakuwa ndege nzuri
 
Tatizo la wataalamu wetu ni kufanya kazi kwa mazoea na kusubiri wapewe rushwa!
 
Karanja wala usijefikiri walioyaua mashirika ya umma ni menejiment za mashirika hayo.Enzi hizo mashirika yakinawiri huku chama tawala kikishika hatamu mambo yaliendeshwa kisiasa sana na kiongozi wa juu wa chama angeweza kuagiza hela zichukuliwe shirika fulani kufanikisha mikutano ya chama na hazirudishwi.Niliwahi kuona ndege ya shirika ikicheleweshwa kuwasubiri wajumbe wa mkutano mkuu,kamati kuu kuwapeleka Dar.Niliwahi kuelezwa kuna rubani wa ndege alilazimishwa kurusha ndege wakati masaa yake ya kuruka yakiwa yameisha.Pia nilielezwa kuna rubani alishalazimishwa kurusha ndege wakati alishatoa taarifa tairi zibadilishwe.Wakuu wa mashirika wasipoheshimu amri za viongozi wa chama wataitwa na kuwajibishwa na chama. Hali hiyo ilikuwa katika mashirika yote ya umma kuchukuliwa hela kwa matumizi ya chama tawala na zisirejeshwe.Mameneja kupewa amri za kisiasa jinsi ya kuendesha mashirika hayo na utaalam wao kudharaulika.Meneja angeweza kuitwa na mhudumu wake wa ofisi kwenye kikao cha wafanyakazi tawi ambapo mhudumu huyo ndie m/kiti wa kikao na wanaweza kumjadili meneja na hata kupendekeza kwenye bodi au mamlaka yake ya ajira hatua za kumchukulia meneja.Haya yalikuwepo.Kufanikiwa kwa uongozi huu tuombe Mungu raisi Magufuli akabidhiwe hiyo kofia ya kuongoza chama tawala kitaifa na akataze mashirika kuendeshwa kwa amri za kisiasa badala ya utaalamu.Nakubali kwa kuanzia tuanze na hizo bambadier mbili ili tuanze na soko la ndani kwanza.Kwanza tumeshaambiwa zina matumizi kidogo zaidi ya mafuta na zinahitaji uwanja mfupi zaidi kuweza kuruka n.k.Shirika likipata wataalamu wazuri wenye weledi wa sector hiyo na wawe wazalendo pia wasipoingiliwa na wanasiasa ndani ya mwaka mmoja watanunua airbus moja kwenda nchi za nje.Zikipungua kidogo serikali itaongezea mradi ione wanajiendesha kwa faida.
Mkuu umeandika ukweli mtupu,KIDUMU CHAMA CHA MANGUVUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU.
 
Hii comment yako is a real definition ya mtu negative and inferior..... Kwani precision air yaendeshwa na malaika? I can assure you even precision air is not successfully......... Air Tanzania yaweza ku run kwa faid kabisa.
Unaonekana mgeni kidog na hili shirika.
Kama uniform tu mpaka aletwe designer kutoka china..bado haujapewa gharama za mashono wewe inadhani kuna faida kweli hapo.
Ndege mbili wafanyakazi mia mbili faida utapata lini?
 
Back
Top Bottom