Hizi ndio ndege za Magufuli

Hizi ndio ndege za Magufuli

Watu wapo kwenye Jet sie tunarejea kwenye mapangaboi kama precision air
 
Unaonekana mgeni kidog na hili shirika.
Kama uniform tu mpaka aletwe designer kutoka china..bado haujapewa gharama za mashono wewe inadhani kuna faida kweli hapo.
Ndege mbili wafanyakazi mia mbili faida utapata lini?

Don't live in past
 
Asante mkuu ! Sikujua suckoi wana passangers airplane ! Ni kweli huwa nina wa admire sana hawa Suckoi , naamini zitakuwa ndege nzuri

Tunafanana kwa hilo pia nawapenda Sukhoi linapokuja tech za aircraft design na manufacture.
Ukweli ni kuwa kwa aircraft engineering na hata field nyingine za engineering Urusi wako vizuri sio kidogo ni saana.
Tena kwa upande wa anga wao ni kama traditional vile.
Huu msingi ni ule wa Soviet na ilipovunjika hii Urusi ya sasa wamerithi kila kitu.

Walikuwa wamesitisha kutengeneza civilian na commercial planes kupisha ile military modernization kwa muda ndio mana unaziona tu bombers, fighters, mig chopper nk pia kuvunjika kwa USSR kuliwavuruga hivyo strategic plan ya kujipanga upya inahitaji akili nyingi, nguvu, bajeti kubwa nk.hatimaye tunaona a coming back of Russians.

Sasa soko la commercial plane linarudi na ushindani kama Egypt waliagiza hizo SSJ100 kadhaa na order kutoka nchi nyingine zipo na bei ikapanda.
Nikapendekeza serikali isisite kununua hizo jet ni nafuu na nzuri.
 
Nasubiria kupata somo kutoka kwa wataalam wa biashara ya anga
 
Umewahi panda airbus A380?
Zamani nilikuwa naamini ndege zote zina kelele hasa ukipanda Boeing 737 - 200 (sina uhakika ila zile za ATCL), zilikuwa zinapiga kelele wakati wa kuruka na kutua mpaka basi, but nilipokuja kupanda Boeing 737 - 800 enzi za Community Airlines nikaona kitu kinaruka kelele za kawaida tu
 
Sidhani kama kwa serikali kuanza na short range aicrafts ni vibaya.Zamani ATCL ilikuwa inaruka viwanja vingi Tanzania na watu walikuwa wana safiri kwa ndege kama kawaida.Kwa kuanzia ku serve soko la ndani ni idea nzuri na ningependa kuona ATCL inaruka viwanja kama Songea,Katavi,Musoma,Shinyanga n.k na ningekuwa na sauti ningeunda shirika tanzu dogo ndani ya ATCL na ningeliita Air Tanzania Express.Ningelipatia ndege za kati ya watu 15 mpaka 40 na lingekuwa linaruka ruti ndogo kama za Tanga,Lindi,Iringa,Singida, kutoka Dar na umbali Mfupi kama Bukoba,Musoma,Shinyanga,Tabora na Kigoma kwa kutokea Mwanza au Dodoma.Baada ya hapo tunakwenda tukiongezeka na ningetafuta mid range aircrafts za abiria 100-120 na ku server nchi jirani ya Africa mashariki,zambia,zimbabwe,DRC,Malawi n.k na hapa ningeagiza ndege kama Bombadier CRJ 900, Embraer E2,Sukhoi superjet 100,na bombadier C100/130.Ukizidi kuexpand zaidi ambapo unafikiria kwenda uarabuni ,kusini mwa afriza,kaskazini na magharibi na hapo unakuta na airbus A320/321 ,B737-900ER ambao ndio watemi wa category ya 150-180 pax.Baada ya hapo tunakwenda ulaya na mashariki ya mbali na huko kunca choices za kisasa kama B787 , A330 ,B777 NA A350.

ILA SISI KWENYE AVIATION MANAGEMENT BADO HIVYO TUKODI MANAGEMENT KWA MIAKA ANGALAU MITANO WAKATI TUNAFUNDISHA VIJANA WETU NA KUCHUKUA UJUZI WA WAZUNGU THEN TUENDE WENYEWE.HIIYO NDIYO ILIKUWA APPROACH YA ETHIOPEAN AIRLINES, NA RWANDAIR WAMEIGA SASA.

KUWA NA MANDEGE MENGI SI ISHU KWANI PALIKUWA NA MASHIRIKA MAKUBWA KAMA TWA,SABENA ,SWISSAIR NA YAKAFA
 
Hii comment yako is a real definition ya mtu negative and inferior..... Kwani precision air yaendeshwa na malaika? I can assure you even precision air is not successfully......... Air Tanzania yaweza ku run kwa faid kabisa.
Hahaaaaaaa mpwawafanyakazi haowanatafuta huruma ujui inakufa prec
 
NDEGE ZA ATCL ZIKIWA ZINAPAKWA RANGI CANADA KWAJILIYAKULETWA WIKIJAYO
 
Attachments

  • 4495e.jpg
    4495e.jpg
    7.4 KB · Views: 64
  • 4495c.jpg
    4495c.jpg
    7.9 KB · Views: 69
Badala ya hizo mbili ndogo angenunua moja kubwa kuliko hivyo vitoroli
24f2a5420ec83b78c30ee9023a29f4fd.jpg
74ffbbd76ee1568c3c6b3a66ef7536cc.jpg
Mkuu Salute
Niliwaza Kama Wewe Tungepata Moja Ya Kisasa Lakini
InakuwA Kama Wakati Tunakwenda Kuzima Mitambo Ya Analogy Watu Walikataa Tv Za Chogo!!
Yaani Sijui Nini Kinaweka Kiguguzi Kwenye Uchaguzi Wa Namna Hiyo
 
Pamoja na sisi kuona kenya airways inafanya vizuri lakini ndo shirika kenya linaendeshwa kwa hasara kubwa kila mwaka
 
Hii comment yako is a real definition ya mtu negative and inferior..... Kwani precision air yaendeshwa na malaika? I can assure you even precision air is not successfully......... Air Tanzania yaweza ku run kwa faid kabisa.
 
Sidhani kama kwa serikali kuanza na short range aicrafts ni vibaya.Zamani ATCL ilikuwa inaruka viwanja vingi Tanzania na watu walikuwa wana safiri kwa ndege kama kawaida.Kwa kuanzia ku serve soko la ndani ni idea nzuri na ningependa kuona ATCL inaruka viwanja kama Songea,Katavi,Musoma,Shinyanga n.k na ningekuwa na sauti ningeunda shirika tanzu dogo ndani ya ATCL na ningeliita Air Tanzania Express.Ningelipatia ndege za kati ya watu 15 mpaka 40 na lingekuwa linaruka ruti ndogo kama za Tanga,Lindi,Iringa,Singida, kutoka Dar na umbali Mfupi kama Bukoba,Musoma,Shinyanga,Tabora na Kigoma kwa kutokea Mwanza au Dodoma.Baada ya hapo tunakwenda tukiongezeka na ningetafuta mid range aircrafts za abiria 100-120 na ku server nchi jirani ya Africa mashariki,zambia,zimbabwe,DRC,Malawi n.k na hapa ningeagiza ndege kama Bombadier CRJ 900, Embraer E2,Sukhoi superjet 100,na bombadier C100/130.Ukizidi kuexpand zaidi ambapo unafikiria kwenda uarabuni ,kusini mwa afriza,kaskazini na magharibi na hapo unakuta na airbus A320/321 ,B737-900ER ambao ndio watemi wa category ya 150-180 pax.Baada ya hapo tunakwenda ulaya na mashariki ya mbali na huko kunca choices za kisasa kama B787 , A330 ,B777 NA A350.

ILA SISI KWENYE AVIATION MANAGEMENT BADO HIVYO TUKODI MANAGEMENT KWA MIAKA ANGALAU MITANO WAKATI TUNAFUNDISHA VIJANA WETU NA KUCHUKUA UJUZI WA WAZUNGU THEN TUENDE WENYEWE.HIIYO NDIYO ILIKUWA APPROACH YA ETHIOPEAN AIRLINES, NA RWANDAIR WAMEIGA SASA.

KUWA NA MANDEGE MENGI SI ISHU KWANI PALIKUWA NA MASHIRIKA MAKUBWA KAMA TWA,SABENA ,SWISSAIR NA YAKAFA
 
N

Nimesoma vizuri and I still have the same comment! Viongozi kuomba kupanda Ndege Ni issue ya policies tu!!! Hakuna point hapo....

We ni mmoja wa viongozi waomba lift nini mbona unatokwa povu kama umemeza omo?
 
Tanzania bhana! Hela zote za kifisadi walizoiba tungenunua boing ngapi!

Iran kama sikosei walichukua boing karibia 100 juzi! Sisi miaka 50 ya uhuru ndiyo kwanzaa tunanunua ndege 2
 
Back
Top Bottom