Hizi ndio ndege za Magufuli

Hizi ndio ndege za Magufuli

Kwanza napongeza kazi hii ya kuchagua technology ya Turboprop Aircrafts kwa ajili ya ATC.....LAKINI..... If i was Magufuli....Ningechagua ATR za ufaransa compared to the Bombardier 400 Series,the rwandese choice is very political maana hata wao wanazitumia,and it is very likely kwamba watataka kuziuza,so wanaweza wakatuuzia vitu used nyuma ya pazia.Kutokana na specs alizotoa darcity na hizi za kwangu ninazoweka hapa chini.
Sijaona kwa nini achague kampuni ya kimarekani,ambayo ndege zilizopo africa ni chache sana na kuacha ATR ambazo zimeonekana zikifanya kazi nzuri katika Africa na operating costs zake kuwa chini..

Angalieni hizi chambuzi zilizofanywa hapa,nimetoa mahali:
Economics


—ATR72 vs Q400 usage in a given operational day

The primary motivation for a scheduled operator, and more importantly a low cost carrier, to invest in an aircraft is the economics that it promises.

The biggest boon to regional turboprop aircraft operators in India is that their turbine fuel is under the declared goods category, attracting a sales tax of only 4% as compared to 28% for other aircraft weighing above 40,000kgs. Topping that is the exemption from landing charges for aircraft with less than 80 seats. Since both aircraft fall into these categories, the economics of a turboprop start making immediate sense.

The average sector distance in the regionally dense portion of India, the south, is 300NM. Considering that at high speed cruise the Q400 takes an average 1hr02min of flying time, and the ATR 72 takes 1hr15min, and that both aircraft start operations at 6:00am local, and wrap up by 11:30pm local, the Q400 can easily fit one extra flight in that 17.5 hour period.

Over and above this, the Q400 that Spicejet will receive will be configured with 78 seats. The ATR 72’s in Jet Airways are configured with 66 seats in some and 68 in the other. In Kingfisher, all the aircraft absorbed from erstwhile Deccan are configured with 72 seats while the rest are configured with 66 seats. As a result, the Q400 lands up with a capacity of 6 to 12 more passengers per flight.

Considering that both airplanes have the same hours in the air, that the Q400’s overpowered engines spend lesser time at a high power to reach cruising altitude, and that the Q400’s engines are not used on ground in the “Hotel” mode like in the ATR, the expected cost of maintenance of both airplanes may be considered similar, though the Q400 has strong reasons to be cheaper to maintain. Landing charges don’t apply to both airplanes, and both airplanes may need two sets of crew to operate the flights in that 17.5 hour period. However, the most significant operational cost, especially in India, is fuel: The Q400’s fuel consumption is nearly 30% more than that of the ATR72 under similar 300NM environmental conditions in high speed cruise.

Bombardier claims that in a European Environment, the 78 seat Q400’s direct operating


—Revenue Potential of the Q400 when compared to a 66 seat ATR 72 and a 72 seat ATR 72

costs (DOC) for a 300Nm sector is 8.8% more than that of a 68 seat ATR72-500. ATR on the other hand claims that in the same environment, the DOC for a 300Nm sector for a Q400 is 25% more than the ATR72-500. Considering that Bombardier and ATR are on the extreme ends of the estimating scale, an average of 16.9% reveals that over this 17.5hr period, the Q400 will cost 1.3 times more to operate than the ATR72-500. Considering ATR72 seating capacities of 66, 68 and 72 passengers, the Q400 has 1.31, 1.27, and 1.2 times the revenue generating potential of the ATR72-500 respectively, in the same day. If one were to go by these figures, the Q400 doesn’t do well against a 68 or 72 seat capacity ATR72. In fact, even if one were to consider Bombardier’s figures, and compare them with an ATR72 with 72 seats, the Q400 will only fare as well as the ATR72 (despite the extra flight on the Q400) as far as this conservative, non-operator specific economical comparison is considered.

While available revenue seats, as used in the comparison above, is only indicative of potential, one may appreciate that load factors, which are dependent on seasons, play a big role in profits. The ATR72s in India may break even with a passenger load of around 20-25 passengers. As per Bombardier, considering a low cost carrier’s cost and fare structure, the Q400 in the US and European 300Nm environment breaks even at 45 seats. This means that the Q400 operator must sell significantly more seats per flight just to break even.

Finally, the acquisition price of both aircraft: The Q400 is listed at approximately US$30M, which is US$7M pricier than the US$23 million list price of the ATR 72-600. While these are list prices, usually, the market price is at a discount from the list price which varies based on the aircraft quantity and individual airline negotiation and deals.
|Source:Proud to fly a Turboprop: Q400 vs ATR72
performance.jpg

single-engine.jpg

Ndege Hizi zinafanana sana,ukipata muda wa kuisoma hiyo link utagundua ATR inafaa zaidi kwenye mazingira yetu kuliko hiyo Bombardier ambayo ni ghali zaidi for Nothing.
Ni Mawazo tu..
Za mbayuwayu.......!!!
 
Tatizo ni kuwa ndege zinanunuliwa kwa maagizo ya wanasiasa na si wataalm. Tukiendesha biashara kwa kauli za wanasiasa uwezekano wa kufa kwa biashara hiyo ni mkubwa kama ilivyo ATCL leo. Muda utasema. Wawaulize wenzao walioendesha biashara kisiasa....wako wapi leo Scandinavia?

Mkulima wa kuku mbona SAS (Scandinavia airline)bado wapo Ni shirika la nane Kwa ukubwa Ulaya mapato yake 2014/12 €36 billion
Sasa Sijui wako wapi Leo kivipi?

Source Wikipedia
 
Uttoh2002,
Kuonesha ''shaka'' kwa mifano hai kuwa Air Tanzania haitaweza kufanya vizuri katika biashara ya usafiri wa anga siyo inferiority complex. Tujijengee utamaduni wa ''kusikiliza'' maoni tofauti na kisha kutoa maoni yako kwa hoja mbadala ambao pengine unaweza kushawishi kukubalika au kukataliwa.

Nimekupa mfano PrecisionAir wameweza kujiendesha (tangu mwaka 1991) wakiwa na ndege za Twin Otter na kujitanua mpaka kuwa na ndege kubwa pamoja na kuvutia wawekezaji-wabia na changamoto zote zinazowakabili lakini bado wapo wanarusha ndege kwa uhakika.

Ungeleta angalau mifano wa jinsi Air Tanzania inavyoweza kujiendesha kibiashara kuondoa mashaka wa ''mradi huu wa dola million 27 x2 = US$ 54 Millioni sawa na billion za kitanzania Tshs. 100 Bn.
mkuu...tumeshajifunza kutokana na makosa...nakuhakikishia air Tanzania itajiendesha vizuri sana sasa hivi
 
JPM ametangaza kwamba soon ATCL itapata ndege mbili aina za Bombadier Q400 kwa ushauri aliopewa kutoka Rwanda.Hivi kweli wataalamu wetu walishindwa kumshauri Rais? Specification za ndege hizo ni kama ifuatavyo


Bombardier Q400
Price - Current Price $ 27 million U.S.*
The NextGen Passenger Turboprop the Bombardier Q400 NextGEN...
Manufactured from -
1983 - Present
Seating Chart /Seats -
78

Travel Range -
2,522.00 Kilometer
1,362 Nautical Miles

Country of Manufacture -
Canada
  • Engine -
  • 2 X Pratt and Whitney PW150A
  • Power -
  • 5,071.00 Horsepower
  • Avionics -
  • Rockwell Collins Pro Line Fusion
  • Maximum Cruising Speed -
  • 666.25 km per hr 414.00 mph
  • Service Ceiling -
  • 7,620.00 metres 25,000.00 feets
  • Rate of Climb -
  • 457.20 mpm 1,500.00 fpm
  • Numbers Ordered/Sold -
  • 250
  • Cabin Height -
  • 1.95 metres 6.40 feets
  • Cabin Width -
  • 2.51 metres 8.23 feets
  • Cabin Length -
  • 18.80 metres 61.68 feets
  • Exterior Length -
  • 32.84 metres 107.74 feets
  • Wingspan / Rotor Diameter -
  • 28.42 metres 93.24 feets
  • Fuselage Diameter -
  • 2.69 metres 8.83 feets
  • Baggage Volume -
  • 14.20 cubic metre 501.47 cubic feet
  • Maximum Take Off Weight -
  • 29,257.20 kgs 64,500.00 lbs
  • Maximum Payload -
  • 8,669.20 kgs 19,112.00 lbs
  • Fuel Tank Capacity -
  • 1,697.00 gallon 6,423.82 litres
  • Fuel Economy -
  • 0.34 km per litre 0.80 NM per gallon
  • Minimum Take Off Distance -
  • 1,402.08 metres 4,600.00 feets
  • Minimum Landing Distance -
  • 1,286.56 metres 4,221.00 feets

source:Bombardier Q400 Turboprop Aircraft - Seating, Price, Safety Record - NextGENView attachment 362099 View attachment 362100 View attachment 362101 View attachment 362099 View attachment 362100 View attachment 362101
Kwa kuanza na hizo sio mbaya kaka
 
Kwani Kenya wameweza vipi? Vipi Rwanda na Ethiopia!! Kila zama na kitabu chake. Kila jambo lina starting point. Tabia ya kutumia kila kitu kama kete ya kisiasa italigharimu taifa. Baada ya uchaguzi kuisha sasa imebaki kupiga vita kila jambo linaloibuliwa na serikali hata kama ni jema. Kweli punda haendi ila kwa mijeledi!

Kwa muda mrefu imekuwa hoja ya jamii forum kuitaka serikali ilifufue shirika la umma la ndege. Unajua kwa nini? Kwa sababu kipindi hicho serikali haikuwa na mikakati ya dhati kulifufua na hivyo kuruhusu itumike kama turufu ya kisiasa ya wapingaji (waite wapinzani ukipenda). Leo serikali imeonyesha dhamirea ya dhati kabisa ikiwamo kuchukua hatua za makusudi kulifufua shirika hili, tayari wapingaji mmeswitch side! Hoja imepoteza mashiko kwa sababu haina tena political advantage.

Huwa nacheka sana pale jeshi letu linapoonyesha uwezo wake kivita, halafu wapuuzi fulani humu jf wanakimbilia haraka mitandaoni kutafuta picha za vifaa vya kivita vya majeshi ya nchi zilizoendelea kama Marekani na Russia na kuja kulichamba JWTZ na kisha kujiita great thinkers!! Basi mimi hubaki kuwaza ni kwa jinsi gani tumegeuka taifa la wajinga kiasi hiki!!?
Wacha kuandika kama uko chooni unaharisha,mara siasa,mara punda,maramikakati ya dhati,mara jeshi letu linapoonesha mikakati ya kivita.Sasa ngoja nianze na jeshi lako unalolisifia,hilo jeshi lako halina mikakati wala mbuzikati kati,kazi yake ni kunyanyasa raia mitaani na kuwagaragaza kwenye matope,turudi kwenye suala kako la ndege,serekali yako haitaweza kuendesha kitu chochote daima sembuse shirika la ndege,serekali yako imeshindwa kutatua swala la sukari tu mpaka inaweweseka shauri ya kukurupuka,hakuna nchi hapa duniani inahangaika kuhusu sukari isipokuwa Tanzania,kwa sababu ya LAANA ya wizi na udhulumati,pia watu kuja kujifunza kuendesha nchi wakiisha ingia ikulu.
 
Mimi weredi nitaupima kwenye mabasi ya mwendo kasi Kama yatadumu miaka mitatu tu

Ndio Nita comment kwa sasa ni mtazamaji
 
Hii comment yako is a real definition ya mtu negative and inferior..... Kwani precision air yaendeshwa na malaika? I can assure you even precision air is not successfully......... Air Tanzania yaweza ku run kwa faid kabisa.
Jamaa hajafuatilia huko Precision Air na kujua nini kinaendelea au wamepitia mazingira gani magum na jinsi wanavyo struggle.
Tatizo tumekariri,yaani mtu amekariri kwamba ATC imefeli,so akili ya miaka ya 90 mtu anaiweka kwenye miaka 2010+
 
hata haujui unachoandika!...unajua kweli classification ya airplane services!!
Kajifunze lugha za watu kabla ya kuja humu kutaka kutuonyesha na wewe nae unaijua lugha hiyo,ukimaliza kujua lugha za watu,nenda kajifunze kufua chupi yako maana unanuka fungus,sibishani na kenge bluuuuu.Tena unabana pua kama unabikiriwa kwa kusema"UNAJUA KWELI CLASSIFICATION YA AIRPLANE SERVICES"tena hujui hata matumizi ya alama ya kuuliza wala alama ya kushangaa,huna elimu,unashinda na njaa siku nzima,kazi huna yote imesababishwa na wewe mwenyewe.Jitu zima linaandika uharo etioooh CLASSIFICATION,ili mradi umeandika neni la kizungu shwaaaain.
 
Mkuu shirika likianza halifi, waliokuwa wanaliua wanajulikana na sababu zao binafsi za kuliua zinajulikana. Pia na reli itarudi kny mfumo wake coz wahujumu wanajulikana na sababu zao, wahujumu hao wajiandae kufilisika maana ndo waliokua wanatengeneza usafiri mbadala baada ya kuuwa miradi ya serikali.
Mtaje basi aliekuwa anaua Reli ili afanye usafiri mbadala,mbona hutaji jina lake,unaogopa au siyo?hata serekali yako imeisha mwachia aendelee kuvuna tu,serekali inatumbua chunusi tu.
 
Biashara ya ndege ngumu, ilitakiwa labda serikali iingize mtaji PrecisionAir na kuwaachia wakurugenzi na wafanyakazi kuenesha shirika la ''kitanzania '' kibiashara. PrecisionAir wameonesha wanaweza lakini hawa Air Tanzania kuna mashaka makubwa.

Lakini hili la kununua ndege na kuikabidhi Air Tanzania nina shaka kubwa kama mradi huu utafanikiwa maana watatokea viongozi ''wanalazimisha wapewe ofa ya usafiri wa bure'', kutoa amri ndege isiruke kwa ratiba stahiki iwasubiri wao ''viongoz'i maana walichelewa kuamka na bado wapo nyumbani n.k
Hahahaha
Upo sahihi sana mkuu.
 
Hii comment yako is a real definition ya mtu negative and inferior..... Kwani precision air yaendeshwa na malaika? I can assure you even precision air is not successfully......... Air Tanzania yaweza ku run kwa faid kabisa.
Soma vizur mkuu unakurupuka
 
Mkuu huwa nakusoma sana ila leo siamini kama hii ni comment yako. Imeandikwa ndege hizo zimeanza kutengenezwa 1983~ to date, haina maana watanunua ya 1983 wananunua mpya.
Haiwezekani ndege za Magufuli ziwe mpya by Sept 2016. Ninvyojua ndege mpya hutengenezwa kwa oda na huchukua not less than 3 yrs for delivery.
 
We all know that light travels faster than sound. That's why certain people appear TIMAMU until you hear them speak.
Hako ka kiji msitari umekakopi wapi? naona umehangaika kweli na wewe uonekane eti unaandika KIMOMBO,haya tumekusikia sasa kakojoe ulale.
 
Siwezi washangaa hawa wanaopingana na huduma hii adhim maana natambua sii wao bali wanatekeleza vyema kile walichoagizwa na mabwana zao kwamba wahakiki wanazunguka mitandaoni kuhakikisha wanapingana na kila jambo zuri litalotekelezwa na serikali awamu ya tano.

Maksudi mazima ni scoring of political points.Hapa mungu atachagua pumba na mchele.
 
Badala ya hizo mbili ndogo angenunua moja kubwa kuliko hivyo vitoroli
24f2a5420ec83b78c30ee9023a29f4fd.jpg
74ffbbd76ee1568c3c6b3a66ef7536cc.jpg
Mkuu umejua kabisa. Vitoroli vitasaidia safari za ndani kwa kuanzia. Hilo Airbus lije kwa safari za nje. Iwe Dar kwenda moja ya nchi za Ulaya.
 
Back
Top Bottom