linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,732
- 4,393
Hahahaaaa ww kweli TabutupuMkurupuko AirlinesView attachment 362132
Hahahaaaa ww kweli TabutupuMkurupuko AirlinesView attachment 362132
Mkuu alisema Airbus hivi vindege vidogo ni matatizo tu...labda viwe vinafanya domestic route lakini kama ishu ni kwa ajili ya kusaidia kukusaidia kukuza utalii..hakuna watalii wanaopenda kupanda vindege vinavyopiga kelele angani..
Kama JMP anataka kufufua shirika la ndege basi agize ndege za kisasa hata kama ni mtumba lakini ziwe za kisasa..
Tatizo wengi humu watafutaji sifa tuHizi ndege bombardier Q400 zimekua proven Kama Ndege bora kwa mazingira magumu ya Afrika, ikiwemo kuwa Na uwezo wa kutua katika viwanja vyenye ubora wa chini.
Tanzania Ina viwanja vingapi vyenye ubora wa kimataifa?
Lengo la JPM Ni kuteka kwanza soko la ndani Na taratibu safari za ndani ya bara la Afrika kwanza,
Kwa lengo Hilo hakuna tatizo kuanza Na Q400.
Mnataka airbus, kwa idadi ipi ya watanzania wanaopanda Ndege kila siku ikiwa lengo Ni kuteka soko la ndani kwanza?
Usikurupuke kuandika kitu kabla ya kutafiti au kuuliza wanaojua[emoji1549]
Haya ni masuala ya kifundi. Kuna specification za namna mbili. ya kwanza ni operational specification. baada ya hapo ndipo inapokuwa developed Technical Specification. Pale wizarani zilikwisha tayarishwa kitambo kilichobakia ilikuwa ni uamuzi tu. Kama utakumbuka hata rais aliwahi kuzungumzia 'airbus' nazo pia zilikuwepo na hata hizo za bombardier zilikuwepo pia.JPM ametangaza kwamba soon ATCL itapata ndege mbili aina za Bombadier Q400 kwa ushauri aliopewa kutoka Rwanda.Hivi kweli wataalamu wetu walishindwa kumshauri Rais? Specification za ndege hizo ni kama ifuatavyo
Bombardier Q400
Price - Current Price $ 27 million U.S.*
The NextGen Passenger Turboprop the Bombardier Q400 NextGEN...
Manufactured from -
1983 - Present
Seating Chart /Seats -
78
Travel Range -
2,522.00 Kilometer
1,362 Nautical Miles
Country of Manufacture -
Canada
- Engine -
- 2 X Pratt and Whitney PW150A
- Power -
- 5,071.00 Horsepower
- Avionics -
- Rockwell Collins Pro Line Fusion
- Maximum Cruising Speed -
- 666.25 km per hr 414.00 mph
- Service Ceiling -
- 7,620.00 metres 25,000.00 feets
- Rate of Climb -
- 457.20 mpm 1,500.00 fpm
- Numbers Ordered/Sold -
- 250
- Cabin Height -
- 1.95 metres 6.40 feets
- Cabin Width -
- 2.51 metres 8.23 feets
- Cabin Length -
- 18.80 metres 61.68 feets
- Exterior Length -
- 32.84 metres 107.74 feets
- Wingspan / Rotor Diameter -
- 28.42 metres 93.24 feets
- Fuselage Diameter -
- 2.69 metres 8.83 feets
- Baggage Volume -
- 14.20 cubic metre 501.47 cubic feet
- Maximum Take Off Weight -
- 29,257.20 kgs 64,500.00 lbs
- Maximum Payload -
- 8,669.20 kgs 19,112.00 lbs
- Fuel Tank Capacity -
- 1,697.00 gallon 6,423.82 litres
- Fuel Economy -
- 0.34 km per litre 0.80 NM per gallon
- Minimum Take Off Distance -
- 1,402.08 metres 4,600.00 feets
- Minimum Landing Distance -
- 1,286.56 metres 4,221.00 feets
source:Bombardier Q400 Turboprop Aircraft - Seating, Price, Safety Record - NextGENView attachment 362099 View attachment 362100 View attachment 362101 View attachment 362099 View attachment 362100 View attachment 362101
Una akili saana jamaaaSidhani kama kwa serikali kuanza na short range aicrafts ni vibaya.Zamani ATCL ilikuwa inaruka viwanja vingi Tanzania na watu walikuwa wana safiri kwa ndege kama kawaida.Kwa kuanzia ku serve soko la ndani ni idea nzuri na ningependa kuona ATCL inaruka viwanja kama Songea,Katavi,Musoma,Shinyanga n.k na ningekuwa na sauti ningeunda shirika tanzu dogo ndani ya ATCL na ningeliita Air Tanzania Express.Ningelipatia ndege za kati ya watu 15 mpaka 40 na lingekuwa linaruka ruti ndogo kama za Tanga,Lindi,Iringa,Singida, kutoka Dar na umbali Mfupi kama Bukoba,Musoma,Shinyanga,Tabora na Kigoma kwa kutokea Mwanza au Dodoma.Baada ya hapo tunakwenda tukiongezeka na ningetafuta mid range aircrafts za abiria 100-120 na ku server nchi jirani ya Africa mashariki,zambia,zimbabwe,DRC,Malawi n.k na hapa ningeagiza ndege kama Bombadier CRJ 900, Embraer E2,Sukhoi superjet 100,na bombadier C100/130.Ukizidi kuexpand zaidi ambapo unafikiria kwenda uarabuni ,kusini mwa afriza,kaskazini na magharibi na hapo unakuta na airbus A320/321 ,B737-900ER ambao ndio watemi wa category ya 150-180 pax.Baada ya hapo tunakwenda ulaya na mashariki ya mbali na huko kunca choices za kisasa kama B787 , A330 ,B777 NA A350.
ILA SISI KWENYE AVIATION MANAGEMENT BADO HIVYO TUKODI MANAGEMENT KWA MIAKA ANGALAU MITANO WAKATI TUNAFUNDISHA VIJANA WETU NA KUCHUKUA UJUZI WA WAZUNGU THEN TUENDE WENYEWE.HIIYO NDIYO ILIKUWA APPROACH YA ETHIOPEAN AIRLINES, NA RWANDAIR WAMEIGA SASA.
KUWA NA MANDEGE MENGI SI ISHU KWANI PALIKUWA NA MASHIRIKA MAKUBWA KAMA TWA,SABENA ,SWISSAIR NA YAKAFA
kwa hali ya biashara ya dunia ilivyo hasa huku kwetu afrika serikali haitakiwi ku own 100 percent ya shirika la ndege maana wanasiasa wana nguvu kuliko watalaam ndio maana hata mim nashauri serikali iwe na 49 percent na muwekezaji 51 ili kusiwe na matamko ya wanasiasa yatakayoweza kuathiri uwendeshaji wa shirikaNadhani serikali ina haja ya kuanza ''kuflash'' vichwa vya wabongo kwanza kabla ya kujikita kwenye maendeleo. Wengi wamejazwa ujinga na ujuaji mwingi usio na mashiko. Good day facebook products!!
Ni rahisi sana kusema hivyo ila ufahamu kuwa aviation industry ni ngumu sana kwani inaweza athiriwa na vitu vidogo sana.Mkuu alisema Airbus hivi vindege vidogo ni matatizo tu...labda viwe vinafanya domestic route lakini kama ishu ni kwa ajili ya kusaidia kukusaidia kukuza utalii..hakuna watalii wanaopenda kupanda vindege vinavyopiga kelele angani..
Kama JMP anataka kufufua shirika la ndege basi agize ndege za kisasa hata kama ni mtumba lakini ziwe za kisasa..
Kuwa na airbus sio shida, shida iko kwenye idadi ya viwanja ambavyo airbus itatua, kwa hapa nchini. Ni vichache sana, na ingi havina viwango. Airbus hazitui kwenye vile vya vumbi kama hizi bombadier amd ATR za Precision. Airbus ni kama hizi Fastjet, ambazo zinatua KIA, Songwe, Dar, Zanzibar na Mwanza tu. Labda zoezi la kuagiza ndege hizo liendane na upanuzi na uwekaji lami viwanja vyetu vilivyosalia, ili angalau kila Mtanzania atumie usafiri huu kufika kwake ama karibu na kwake. Ni hayo tuMkuu alisema Airbus hivi vindege vidogo ni matatizo tu...labda viwe vinafanya domestic route lakini kama ishu ni kwa ajili ya kusaidia kukusaidia kukuza utalii..hakuna watalii wanaopenda kupanda vindege vinavyopiga kelele angani..
Kama JMP anataka kufufua shirika la ndege basi agize ndege za kisasa hata kama ni mtumba lakini ziwe za kisasa..
akili yako watalii tu, hauna mawazo mbadala,Mkuu alisema Airbus hivi vindege vidogo ni matatizo tu...labda viwe vinafanya domestic route lakini kama ishu ni kwa ajili ya kusaidia kukusaidia kukuza utalii..hakuna watalii wanaopenda kupanda vindege vinavyopiga kelele angani..
Kama JMP anataka kufufua shirika la ndege basi agize ndege za kisasa hata kama ni mtumba lakini ziwe za kisasa..
hilo jamaa lina akili ya kima utasumbuka bure kuelimisha,Kuwa na airbus sio shida, shida iko kwenye idadi ya viwanja ambavyo airbus itatua, kwa hapa nchini. Ni vichache sana, na ingi havina viwango. Airbus hazitui kwenye vile vya vumbi kama hizi bombadier amd ATR za Precision. Airbus ni kama hizi Fastjet, ambazo zinatua KIA, Songwe, Dar, Zanzibar na Mwanza tu. Labda zoezi la kuagiza ndege hizo liendane na upanuzi na uwekaji lami viwanja vyetu vilivyosalia, ili angalau kila Mtanzania atumie usafiri huu kufika kwake ama karibu na kwake. Ni hayo tu
Wataelimika mdogo mdogo tu ndg, ngoja tuendelee kushusha nondo mdogo mdogo.hilo jamaa lina akili ya kima utasumbuka bure kuelimisha,
Economic factor: utawajaza saa ngapi! wa kwenda wp!?Nimekuelewa sana boss. Badala ya hizo mbili angenunua kubwa kama hiyo uliyoweka hapo juu
JPM ametangaza kwamba soon ATCL itapata ndege mbili aina za Bombadier Q400 kwa ushauri aliopewa kutoka Rwanda.Hivi kweli wataalamu wetu walishindwa kumshauri Rais? Specification za ndege hizo ni kama ifuatavyo
Bombardier Q400
Price - Current Price $ 27 million U.S.*
The NextGen Passenger Turboprop the Bombardier Q400 NextGEN...
Manufactured from -
1983 - Present
Seating Chart /Seats -
78
Travel Range -
2,522.00 Kilometer
1,362 Nautical Miles
Country of Manufacture -
Canada
- Engine -
- 2 X Pratt and Whitney PW150A
- Power -
- 5,071.00 Horsepower
- Avionics -
- Rockwell Collins Pro Line Fusion
- Maximum Cruising Speed -
- 666.25 km per hr 414.00 mph
- Service Ceiling -
- 7,620.00 metres 25,000.00 feets
- Rate of Climb -
- 457.20 mpm 1,500.00 fpm
- Numbers Ordered/Sold -
- 250
- Cabin Height -
- 1.95 metres 6.40 feets
- Cabin Width -
- 2.51 metres 8.23 feets
- Cabin Length -
- 18.80 metres 61.68 feets
- Exterior Length -
- 32.84 metres 107.74 feets
- Wingspan / Rotor Diameter -
- 28.42 metres 93.24 feets
- Fuselage Diameter -
- 2.69 metres 8.83 feets
- Baggage Volume -
- 14.20 cubic metre 501.47 cubic feet
- Maximum Take Off Weight -
- 29,257.20 kgs 64,500.00 lbs
- Maximum Payload -
- 8,669.20 kgs 19,112.00 lbs
- Fuel Tank Capacity -
- 1,697.00 gallon 6,423.82 litres
- Fuel Economy -
- 0.34 km per litre 0.80 NM per gallon
- Minimum Take Off Distance -
- 1,402.08 metres 4,600.00 feets
- Minimum Landing Distance -
- 1,286.56 metres 4,221.00 feets
source:Bombardier Q400 Turboprop Aircraft - Seating, Price, Safety Record - NextGENView attachment 362099 View attachment 362100 View attachment 362101 View attachment 362099 View attachment 362100 View attachment 362101
kama air tanzania inaendeshwa na serikali ya tanzania basi usahau. itaendeshwa kama muimbili abiria watakaa chini na vyakula vitakuwa shilingi 50,000
Mkuu heshima yako,umegonga utosini,majitu yalienda kusoma ili kukariri na kushinda mitihani,unakuta mtu ana shahada gunia zima lakini taaluma au ujuzi ni bure kabisa.Basi hizi ndege za Magufuli wacha zije na zigeuke SAMAKI WA MAGUFULI.