marwa job35
Member
- Feb 21, 2016
- 35
- 15
Ziko mbomba
Hizo hizo. Karne hii anatuletea vindege ambavyo hata vikikatiza juu ya mto vinapata msukosuko?Unamaanisha ni kama zile toroli za wabeba mizigo wa Ubungo?
Biashara ya ndege ngumu, ilitakiwa labda serikali iingize mtaji PrecisionAir na kuwaachia wakurugenzi na wafanyakazi kuenesha shirika la ''kitanzania '' kibiashara. PrecisionAir wameonesha wanaweza lakini hawa Air Tanzania kuna mashaka makubwa.
Lakini hili la kununua ndege na kuikabidhi Air Tanzania nina shaka kubwa kama mradi huu utafanikiwa maana watatokea viongozi ''wanalazimisha wapewe ofa ya usafiri wa bure'', kutoa amri ndege isiruke kwa ratiba stahiki iwasubiri wao ''viongoz'i maana walichelewa kuamka na bado wapo nyumbani n.k
Mbona wewe hujaketa sababu n8 kwa vipi serikali haiwezi kuendesha shirika?Uttoh2002,
Kuonesha ''shaka'' kwa mifano hai kuwa Air Tanzania haitaweza kufanya vizuri katika biashara ya usafiri wa anga siyo inferiority complex. Tujijengee utamaduni wa ''kusikiliza'' maoni tofauti na kisha kutoa maoni yako kwa hoja mbadala ambao pengine unaweza kushawishi kukubalika au kukataliwa.
Nimekupa mfano PrecisionAir wameweza kujiendesha (tangu mwaka 1991) wakiwa na ndege za Twin Otter na kujitanua mpaka kuwa na ndege kubwa pamoja na kuvutia wawekezaji-wabia na changamoto zote zinazowakabili lakini bado wapo wanarusha ndege kwa uhakika.
Ungeleta angalau mifano wa jinsi Air Tanzania inavyoweza kujiendesha kibiashara kuondoa mashaka wa ''mradi huu wa dola million 27 x2 = US$ 54 Millioni sawa na billion za kitanzania Tshs. 100 Bn.
Mbona una coment utumbo sana?Serekali yetu haina uwezo wa kuendesha hata biashara ya boda boda,inachoweza ni kugawa kanga,kofia,pombe ya kienyeji,supu ya makongoro na ngoma ya bugobogobo kwa wananchi waimbe,wacheze ngoma halafu waende wakasambaze ukimwi na kuzaa watoto nje ya ndoa wasio wajua baba zao baaasi.
Hii coment yako inahusiana na nini kwenye mada hiiMkuu,wakati niko shule mpaka chuo,nilikuwa nayaogopa majina yafuatayo darasani kiakili;Mzava,Kimario,Mshana,Lyatuu,Shoo, etc,etc bila kubagua wenzetu wa kule Kagera,Mbeya,Iringa,Ukerewe,Ujita,Shirati.
Mbona mnakimbilia kuponda msichokijua? Tanzania imebaki jina tuJmn nn hiki serikali inafanya kwanza ndege hiyo ni chakavu 1983? Hlf kingine inabeba abiria wachache sana 73 ndio nn sasa? Mbona nilisikia kwanza ndege moja itacost 500 billion ni hizi kweli?
Hivi Mh Magufuli unamsikia/Unamfahamu? Hao viongozi wasijejiabisha wenyewe kwakuataka vya bure!Biashara ya ndege ngumu, ilitakiwa labda serikali iingize mtaji PrecisionAir na kuwaachia wakurugenzi na wafanyakazi kuenesha shirika la ''kitanzania '' kibiashara. PrecisionAir wameonesha wanaweza lakini hawa Air Tanzania kuna mashaka makubwa.
Lakini hili la kununua ndege na kuikabidhi Air Tanzania nina shaka kubwa kama mradi huu utafanikiwa maana watatokea viongozi ''wanalazimisha wapewe ofa ya usafiri wa bure'', kutoa amri ndege isiruke kwa ratiba stahiki iwasubiri wao ''viongoz'i maana walichelewa kuamka na bado wapo nyumbani n.k
NhcWala sio ujuaji niambie serikali imefanikiwa wapi kuendesha shirika la kibiashara?
HahahahahaMbona mnakimbilia kuponda msichokijua? Tanzania imebaki jina tu
Biashara ya ndege ngumu, ilitakiwa labda serikali iingize mtaji PrecisionAir na kuwaachia wakurugenzi na wafanyakazi kuenesha shirika la ''kitanzania '' kibiashara. PrecisionAir wameonesha wanaweza lakini hawa Air Tanzania kuna mashaka makubwa.
Lakini hili la kununua ndege na kuikabidhi Air Tanzania nina shaka kubwa kama mradi huu utafanikiwa maana watatokea viongozi ''wanalazimisha wapewe ofa ya usafiri wa bure'', kutoa amri ndege isiruke kwa ratiba stahiki iwasubiri wao ''viongoz'i maana walichelewa kuamka na bado wapo nyumbani n.k
Kwa hivyo videge vidogo ni hasara kuwekeza 100billion! Payback period yaweza kuwa infinite number of years! Hiyo pesa Magufuli angenunua Airbus moja tu ingekuwa bora kuliko hivyo vitoroli visivyokuwa na economies of scale. By the way tangu lini Kagame akawa mshauri wa masuala ya usafiri wa anga?
Sio kuwa ndege hiyo ni ya 1983 mkuu, bali uzalishaji wa toleo hilo ulianza mwaka huoDah umri wa ndege umenizidi!
Mkuu alisema Airbus hivi vindege vidogo ni matatizo tu...labda viwe vinafanya domestic route lakini kama ishu ni kwa ajili ya kusaidia kukusaidia kukuza utalii..hakuna watalii wanaopenda kupanda vindege vinavyopiga kelele angani..
Kama JMP anataka kufufua shirika la ndege basi agize ndege za kisasa hata kama ni mtumba lakini ziwe za kisasa..