Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,223
Sio kuwa ndege hiyo ni ya 1983 mkuu, bali uzalishaji wa toleo hilo ulianza mwaka huo
Mimi sikutaka kusema mengi lakini kampuni hiyo inanatatizo kibiashara kwa upande wa uzalishaji waTurboprop plane aina ya Bombadier Q400 nisijue upande wa jetplane.
Bombardier imepata ushindani mkubwa wa kibiashara kutoka kwa Ndege zinazo hudwa Ufaransa ikishirikiana na Italy ndege yenyewe ni ATR zinazo tumiwa sana na Precision Air nayo ni turboprop kama Bombadier Q400 makampuni mengine Duniani hasa hasa upande wa Asia na Mashariki ya mbali wanazitumia sana.
Ushindani huo.mkubwa imeifanya kampuni ifikirie kuondoa production line ya ndege hizo i.e kuhacha kuzihunda au kuhamishia baadhi ya uhundaji wa sekisheni za ndege hizo nchini China na Mexico, kwa hiyo hatima ya uhundaji wa ndege hizo hipo mashakani kusema kweli.