42_007
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 1,561
- 824
Wewe ndo imekurupuka..soma vizuri kihiyo wewe.Soma vIzuri alichoandika sio unakurupuka.
Wewe ndo imekurupuka..soma vizuri kihiyo wewe.Soma vIzuri alichoandika sio unakurupuka.
Biashara ya ndege ngumu, ilitakiwa labda serikali iingize mtaji PrecisionAir na kuwaachia wakurugenzi na wafanyakazi kuenesha shirika la ''kitanzania '' kibiashara. PrecisionAir wameonesha wanaweza lakini hawa Air Tanzania kuna mashaka makubwa.
Lakini hili la kununua ndege na kuikabidhi Air Tanzania nina shaka kubwa kama mradi huu utafanikiwa maana watatokea viongozi ''wanalazimisha wapewe ofa ya usafiri wa bure'', kutoa amri ndege isiruke kwa ratiba stahiki iwasubiri wao ''viongoz'i maana walichelewa kuamka na bado wapo nyumbani n.k
Picha ya juu na ya chini hazina uhusiano. A320 ni single aisle narrow bodied.Badala ya hizo mbili ndogo angenunua moja kubwa kuliko hivyo vitoroli
![]()
![]()
Kuendesha ndege moja kubwa is less economically kuliko ndege ndogo...hilo dege kubwa utajaza abiria watatoka wapi...Badala ya hizo mbili ndogo angenunua moja kubwa kuliko hivyo vitoroli
![]()
![]()
SawaPicha ya juu na ya chini hazina uhusiano. A320 ni single aisle narrow bodied.
Hayo matatizo yalishakuwepo siku za nyuma.Biashara ya ndege ngumu, ilitakiwa labda serikali iingize mtaji PrecisionAir na kuwaachia wakurugenzi na wafanyakazi kuenesha shirika la ''kitanzania '' kibiashara. PrecisionAir wameonesha wanaweza lakini hawa Air Tanzania kuna mashaka makubwa.
Lakini hili la kununua ndege na kuikabidhi Air Tanzania nina shaka kubwa kama mradi huu utafanikiwa maana watatokea viongozi ''wanalazimisha wapewe ofa ya usafiri wa bure'', kutoa amri ndege isiruke kwa ratiba stahiki iwasubiri wao ''viongoz'i maana walichelewa kuamka na bado wapo nyumbani n.k
Hii Jet engines ingebaguwa viwanja.Ndege kabila hii wanazo Fastjet,matokeo yake inatuwa katika viwanja vitano tu Tanzania.Badala ya hizo mbili ndogo angenunua moja kubwa kuliko hivyo vitoroli
![]()
![]()
Asante kwa ufafanuzi wenye maarifaHii Jet engines ingebaguwa viwanja.Ndege kabila hii wanazo Fastjet,matokeo yake inatuwa katika viwanja vitano tu Tanzania.
Bombardier ina uwezo wa kutua Iringa,Kigoma,Tabora,Arusha,Songea,Mtwara,Mpanda,Nachingwea,Lindi na Dodoma.Hivyo kuongeza coverage ya utuwaji.Bombardier ndio haswaa mujarabu kwetu
kwa ushindani wa soko lip mkuu?Ivi watu wanawashauri kweli?? Kwa dunia ya leo ya ushindani wa airbus na boeing nyie mnaleta ivi helcopter vya watoto ivyo nani atapanda kwa shirika kama air tanzania lililokufa? Badala mlete ndege za maana kushindana na soko dahhh mnaleta mchezo, sasa uko ni kupoteza pesa tuuuuu
Fastjet wenyewe hzo airbus znawachosha had wanampango wa kuziuza ili wanunue ndege ndogo zenye operation cost ndogo.Kuwa na airbus sio shida, shida iko kwenye idadi ya viwanja ambavyo airbus itatua, kwa hapa nchini. Ni vichache sana, na ingi havina viwango. Airbus hazitui kwenye vile vya vumbi kama hizi bombadier amd ATR za Precision. Airbus ni kama hizi Fastjet, ambazo zinatua KIA, Songwe, Dar, Zanzibar na Mwanza tu. Labda zoezi la kuagiza ndege hizo liendane na upanuzi na uwekaji lami viwanja vyetu vilivyosalia, ili angalau kila Mtanzania atumie usafiri huu kufika kwake ama karibu na kwake. Ni hayo tu
Safari Ndefu Sana Hii Kuelekea Nchi Ya Asali Na Maziwa
Mkuu kwa serikal hii, hyo nafasi hakuna, watu watalipa hakuna mkopo, na kumbuka ktk awam hii hainaga kibosile...Kuwateua tu mapilot waliobobea na wazoefu kuziendea hizo ndege uchakachuaji ulitokea hapo hapo bila kujali ambayo yangeweza kutokea.Nani mwenye uchungu na hii nchi na wananchi wake?Niliwahi kushuhudia ndege ikicheleweshwa uwanjani kumsubiri kibosile wa chama aliechelewa.Rubani kulazimishwa kurusha ndege ilhali masaa yake ya kuruka yakiwa yameisha na wakati mwingine matairi yakitakiwa kubadilishwa rubani analazimishwa kuwapeleka wajumbe wa chama Dodoma au Dar.Serikali kuchelewesha au kutolipa madeni ya kuwasafirisha maofisa wao waliosafirishwa kwa mikopo.Shirika kulazimishwa kuchangia masuala yasiyo na faida kwa shirika kama mwenge na wakati mwingine kukopwa bila mikopo hiyo tena isiyo rasmi kurejeshwa.Kwa ujumla sioni shirika lolote la serikali ya hii nchi lililopiga hatua zaidi ya kufa na kuuzwa kwa hela ya kununulia simu tatu za maana.
Usafiri wa ndege ni muhim sn ktk maendeleo ya Nchi kaka .Lets wait and see ila uwezekano ni mkubwa sana kodi zetu zitapotea bure kwenye hili pia. Siamini kwamba tatizo la ATCL ni ukosefu wa ndege.
Kwa makusudi au kwa kutokuelewa wanasiasa wanadhani usafiri wa anga ni huduma kama zilivyo huduma za kijamii kama afya, elimu na nyinginezo kwamba ni wajibu wa serikali. Hilo ni kosa kubwa sana, Precision air wanapumulia mashine kwa sasa na sababu kubwa ni ushindani wa fast jet. Kenya airways walikuwa na kila aina ya ndege kabla hawajaanza kuziuza. Wameuza mpaka eneo lao Heathrow airport.
State haipaswi kufanya biashara ya usafiri wa anga bali ilipaswa kuwezesha private sector ili iweze kuwekeza zaidi kwenye hilo eneo. Model nzuri wa uwekezaji kwetu ilipaswa kuwa Ethiopin Airlines model na si Rwanda. Wengine yetu macho ila tunaomba shirika likiendeshwa kwa ruzuku (kodi zetu) tupewe taarifa.
Biashara ya ndege ngumu, ilitakiwa labda serikali iingize mtaji PrecisionAir na kuwaachia wakurugenzi na wafanyakazi kuenesha shirika la ''kitanzania '' kibiashara. PrecisionAir wameonesha wanaweza lakini hawa Air Tanzania kuna mashaka makubwa.
Lakini hili la kununua ndege na kuikabidhi Air Tanzania nina shaka kubwa kama mradi huu utafanikiwa maana watatokea viongozi ''wanalazimisha wapewe ofa ya usafiri wa bure'', kutoa amri ndege isiruke kwa ratiba stahiki iwasubiri wao ''viongoz'i maana walichelewa kuamka na bado wapo nyumbani n.k
Vizuri umesimamia kile unachoamini, wanasahau hata hiyo staff ya Precision air ni zao la staff kutoka ATC, watz wanaweza ila tumejiweka katika pozi la hatuwezi maana haingii akilini, Mtz huyo huyo akiwa serikalini anakuwa chini ya performance alafu huyo huyo akienda sehemu nyingine anafanya (kinachotakiwa n watu wafanye kazi kwa mujibu wa taratibu na kusimamia maadili ya kazi)N
Nimesoma vizuri and I still have the same comment! Viongozi kuomba kupanda Ndege Ni issue ya policies tu!!! Hakuna point hapo....