Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

Una akili ndogo sana.
Kwa akili zako unadhani wakristo wote wanaamini kuwa yesu ni Mungu?
Typical christian unakimbilia kumu attack mtu kwa maneno ya kejeli , jifunze kwanza kuheshimu kila mtu .

Tukirudi kwenye swali lako jibu ni ndiyo ushahidi?

1. Kasome kuhusu "CHALCEDONIAN BOX".

2. Soma kuhusu Dyophysite belief system na ujue maana yake kiundani .

3. Sijajua kama unamjua saint Athanasius of Alexandria Soma aliamini nini na kwanini ni mtu muhimu sana kweny imani ya utatu.

Ukishamaliza hayo njoo sasa tujadiliane kuhusiana na IMANI YAKO YA KIKRISTO.
 
Flp 2:11
na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.

Rum 14:11
Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu.

YESU NI BWANA
Upo sahihi kiimani yako but to me YESU KRISTO SI BWANA .

NA PIA MUNGU HAKUZALIWA WALA KUWA NA MTOTO .

MFANO WA YESU NI SAWA NA MFANO WA ADAMU.
 
Typical christian unakimbilia kumu attack mtu kwa maneno ya kejeli , jifunze kwanza kuheshimu kila mtu .

Tukirudi kwenye swali lako jibu ni ndiyo ushahidi?

1. Kasome kuhusu "CHALCEDONIAN BOX".

2. Soma kuhusu Dyophysite belief system na ujue maana yake kiundani .

3. Sijajua kama unamjua saint Athanasius of Alexandria Soma aliamini nini na kwanini ni mtu muhimu sana kweny imani ya utatu.

Ukishamaliza hayo njoo sasa tujadiliane kuhusiana na IMANI YAKO YA KIKRISTO
.
 
mimi kuna siku alikua live hapo kawe nikawa naangalia tu kipi kinaendela akawa na maombi kuna rafiki yangu alinyanyua tu glass ya maji kule kweye tv waliambiwa wayanyanyue yale maji akanywa bas alilegea mnoo yan kama anaskia kichef chef tukabadili channel lakini hatukua na hio iman kwamba kipo kitu halaf tulikua tunafanya just for fun
Ni tapeli yule jamaa
 
Ameshapona huyo; nakumbuka nikiwa shule ya msingi kuna mabinti wawili mmoja aziza, mwingine khadija; yalikuwa yakimpanda, wanapigana na ukuta, mwingine anajikata kata na chupa.
 
Upo sahihi kiimani yako but to me YESU KRISTO SI BWANA .

NA PIA MUNGU HAKUZALIWA WALA KUWA NA MTOTO .

MFANO WA YESU NI SAWA NA MFANO WA ADAMU.
Yesu hafanani na Adam. Hajaumbwa kwa udongo na kupuliziwa pumzi. Aliingia na roho yake na ndio sababu hawakuweza kuiua. Alijifufua mwenyewe kwa vile alipata mwili kwa UPE NDO wake mwenyewe Ili kuwakomboa wanadamu.
 
Back
Top Bottom