Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

Poleni sana.

mawardat nakusihi sana, kwa kuwa amepata uponyaji kupitia njia hiyo basi aende katika njia hiyo kiimani.

Malaika wachafu watolewapo na kukimbizwa basi huenda na kujipanga. Na safari nyingine hurudi katika mafungu Saba. Kama watakuta uwazi, basi wataharibu mara Saba zaidi ya awali.

Mwenyenzi Mungu awape nguvu katika kukubaliana na Hilo.
Amen,
 
Ni kweli kama huyu,mwaka 2021 tareh 14 mwezi wa pili,alipotea na mida ya jioni alikuwepo nyumbani na mida hiyo ndiyo muokotaji alisema kamuokota akiwa kazimia ni mbali sana na nyumbani,
Inaumiza sana ila mwisho wa hayo yote umefika u karibu kikubwa ni kuzidi kujiweka karibu na Mungu, atampigania dhidi ya watesi wake.
Binadamu ni kiumbe katili na cha ajabu kuwahi kutokea, yani mtu anaweza kuwa anakupiga vita for no reason, hujamkosea chochote basi tu kaamua.
 
Mkuu mawardat nakushauri ,badala ya kuharibu na kuchoma Moto hivyo hiyo irizi, mngeipeleka kanisani. Maana mlianza na kanisa malizeni na kanisa.

Ukienda na Hilo li' hirizi watajua jinsi ya kumaliza tatizo moja kwa moja happy kanisani mlipoenda.
Kiukeeli tunafuatilia kwenye tv tu na maji na mafuta tulisafiri kuvifuata mkoani, kwa kanisani tutaenda jirani
 
Back
Top Bottom