Hivi udini wa Samia Suluhu uko wapi? Tuzungumze ukweli

Hivi udini wa Samia Suluhu uko wapi? Tuzungumze ukweli

Kuku hata umpige na kimfukuza asidokoe mchele,atarudi tu kuendelea kudokoa Ili umpige tena
Nimekwambia eamws haikujalisha madhehebu ya kiislam,unaleta story za Iraq na Iran shia na sunni kuuana,kama siyo *** u nani!?
Nimekuambia EAMWS ilikumbwa na tofauti za kidhehebu na kirangi wewe una kazania kuwa hazikuwepo. Kama hazikuwepo, EAMWS ingeendelea kushamiri Kenya na Uganda ambako Nyerere hakuwepo. Kilichotokea ni kwamba mshia alipoona alivyofanywa na waislamu wenzake alirudi nyuma na kuwekeza kwenye taasisi zake ambazo hazikuwahusisha waislamu wa madhehebu mengine. Ndio maana mpaka sasa hivi taasisi za Aga Khan ziko vizuri na zinazidi kupanua huduma zake.
Matusi hayapendezi kwa mtu anaejifanya kuwa ni mtetezi wa dini yake.

Amandla...
 
Ni kutokana na low IQ yake akijikuta anashika kiuno na kulopokalopoka kwa hisia ukweli ukajulikana.
Unajisikiaje Mtu mwenye low IQ anaongoza nchi yenye watu takribani Milioni 70, ukiwemo wewe mwenye high IQ. Maisha siyo moja jumlisha moja.
 
Awamu ya kwanza ya Samia, tatizo siyo wafuatiliaji,kuna askofu akadhihaki ushungi kuwa rais anakua kama muuza vitumbua,akapewa na jina bi ushungi
Weka ushahidi hapa acha porojo, samuya ni kilaza juzi tu hapa baada ya kufunuliwa uhovyo wake ndio akajaribu kujifichia kichaka cha dini yake!
Hata Prof Lipumba, muislam mwenzake tena msomi akamwambia ANAPWAYA PWAYA!
 
-Udini
-Nepotism
-Uzanzibari
Just cut the hypocrisy hilo liko katika kila nyanja na humu JF lilishajadiliwa kwa kina na mifano halisi, muhimu hapa kwanza ni kuuvunja huu muungano unaofaidisha upande mmoja yanayobaki tutayamaliza wenyewe kama Watanganyika. Mizanzibari imejazana kila sekta na katika mambo hata yasiyohusu muungano, inamiliki ardhi everywhere ukijaribu kwao hawawezi kukukubalia hivyo tuunvunje huu muungano wa kikanjanja Samia akatawale kwao huko tuone kama watamkubali.
Tukivunja muungano Zanzibar inatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo;

1. Kiti cha UN
2. Jeshi
3. Benki kuu
4. Mahakama kuu

Hivi vitu Zanzibar ikiwa navyo Tanganyika wasubiri kupewa misaada kutoka Zanzibar baada ya miaka 20 tu
 
Mtu mwenye hofu ya Mungu na mshika dini asingeruhusu watu wauliwe kinyama na baadhi miili yao kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki…

Hivi nyie Waislamu mnaomtetea kwa vigezo vya dini, ndio dini inavyosema hivi?

Uislamu unasemaje kuhusu kusitiri miili ya watu waliotangulia mbele ya haki?

Wanatakiwa kulundikwa kwenye stretchers kama digidigi?
Hivi netanyahu ni dini gani yule jamaa maana anavyofukia watoto kwenye vifusi utadhani hana dini
 
Hivi netanyahu ni dini gani yule jamaa maana anavyofukia watoto kwenye vifusi utadhani hana dini
You are making this silly and a low IQ argument.

So, you are trying to justify what Samuya did by saying that Netanyahu is also doing the same.?
 
Tukivunja muungano Zanzibar inatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo;

1. Kiti cha UN
2. Jeshi
3. Benki kuu
4. Mahakama kuu

Hivi vitu Zanzibar ikiwa navyo Tanganyika wasubiri kupewa misaada kutoka Zanzibar baada ya miaka 20 tu
Uchumi ungekua rahisi hvyo nchi kama South Africa ingekua inatoa msaada pia kwa Tanganyika

Kama hoja ni kisiwa basi Madagascar, comoro zingekua nchi tajiri Africa.
 
Nimekuambia EAMWS ilikumbwa na tofauti za kidhehebu na kirangi wewe una kazania kuwa hazikuwepo. Kama hazikuwepo, EAMWS ingeendelea kushamiri Kenya na Uganda ambako Nyerere hakuwepo. Kilichotokea ni kwamba mshia alipoona alivyofanywa na waislamu wenzake alirudi nyuma na kuwekeza kwenye taasisi zake ambazo hazikuwahusisha waislamu wa madhehebu mengine. Ndio maana mpaka sasa hivi taasisi za Aga Khan ziko vizuri na zinazidi kupanua huduma zake.
Matusi hayapendezi kwa mtu anaejifanya kuwa ni mtetezi wa dini yake.

Amandla...
Tatizo mmezowea uwongo, taasisi iliyoanzishwa kama multiracial,kwa ajili ya madhehebu yote,ife kisa ubaguzi wa rangi na madhehebu?..ukikusanya waislam wa kenya na Uganda hawafiki hata robo ya waislam tz, ndiyo maana ikahamia tz
Hao shia waliouawa hiyo 1960s ni wepi hadi agha Khan akaamua kujitoa?
 
Attachments

  • Screenshot_2025-12-22-14-33-50-269.jpg
    Screenshot_2025-12-22-14-33-50-269.jpg
    159.3 KB · Views: 9
Hivi netanyahu ni dini gani yule jamaa maana anavyofukia watoto kwenye vifusi utadhani hana dini
Mkuu unafikiri yeye anasema anachofanya Netanyahu ni sahihi?

Hili tatizo mnalo nyie zaidi, mnafurahia waliouliwa huku alafu mnasikitika wanaouliwa gaza
 
Kwanza hongera kwa swali hili, pili jf ya sasa imebadilika sana, mtu unatoa hoja, badala ya watu kujibu hoja kwa hoja au kwa hoja mbadala, watu wanajibu hoja kwa viroja!.

Kwenye hizi hoja za Udini, Tanzania tuna tatizo la mazoea ya kitu kinachoitwa Mfumo Kristu, unaoshikiliwa na Kanisa Katoliki Tanzania kupitia TEC, ambapo it's is systematic rais wa Tanzania akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki!. Hii haijaandikwa popote ila ndio hivyo!. Juliasi ni Mkatoliki, Benyamin ni Mkatoliki, Yohana ni Mkatoliki, anayefuata ni Emanueli!.

Hii imewafanya Wakatoliki kujisikia kuwa na an upper hand kwenye utawala wa nchi hii!.

Kwa sababu pia ni ukweli usiofichika, idadi ya wasomi Wakristo ni kubwa zaidi ya wasomi Waislamu, automatically kwenye teuzi nyingi lazima kutajaa Wakristo, hii ikapelekea Wakristo kujiona wao ni deserving kutawala idadi ya teuzi zote.

Tuhuma za Udini zikaanzia kwa Mwalimu Nyerere kuwa amejaza Wakatoliki kwenye serikali yake, Waislamu wakaanza kuita ni Mfumo Kristo, Father Sivalon ameandika kitabu kuhusu Kanisa Katoliki na Siasa za Tanzania.

Wakati wa Nyerere, kuwapata Waislamu wenye sifa za kuteuliwa ilikuwa ni wa kutafuta kwa tochi.

Mfano Benki Kuu ya Tanzania, ilihitaji kuwa na Naibu kutoka Zanzibar, sifa ni awe na Ph.D ya uchumi +10 years experience post Ph.D, mtu huyo hakuwapo, hivyo wa kwanza kupatikana ni enzi za JK.

Tanzania tuna ma CDF 8, kati ya hao mwenye jina la Kiislamu ni mmoja tuu, Abdullah Twalipo tena usikute ni jina tuu kama Jaji Mkuu Saidi au Jaji Ramadhani, majina ya Kiislamu, wenyewe Wakristo.

Samia akiteua CDF Muislamu sasa hivi utasikia kelele jeshini!, hii ndio mara ya kwanza Mnadhimu Mkuu ni kutoka Zanzibar!, kelele!.

Hakuna rais alukuwa na mkabila, mdini na nepotism kama JPM, kwa vile alikuwa Mkatoliki, hakuna kelele, sio tuu aliteua kabila lake tuu, ndugu zake, rafiki zake hadi something zake!, watu kimya.

Samia kateua tuu mtoto na mkwe, kelele!. Kiukweli Samia hana udini wowote, tatizo ni
1. Ni Mwanamke
2. Muislamu
3. Mzazibari mwenye nywele za singa

Enzi za Mwinyi hakukuwa na kelele hivi, hivyo huyu Mama wanamuonea tuu kwa uanamke wake!, dini yake na asili yake.

Tusiruhusu

P
Natamani ungeendelea kuandika mkuu hakika umeandika facts

Mfumo kristo masheikh walipigana sana kuupinga wakaambiwa magaidi na wengine kufungwa maisha hadi ulipotokea msamaha wa rais

Miaka ya nyuma hata usahihishaji wa mitihani ulipendelea majina ya kikiristo ndio maana wasomi wa kiislamu kwa namna moja walikuwa wachache
 
Mkuu unafikiri yeye anasema anachofanya Netanyahu ni sahihi?

Hili tatizo mnalo nyie zaidi, mnafurahia waliouliwa huku alafu mnasikitika wanaouliwa gaza
Gaza watu wanapambania nchi Yao, huku maharamia wanaharibu miundombinu na kupora mali za watu wakiwa na nia ya kuangusha serikali
 
You are making this silly and a low IQ argument.

So, you are trying to justify what Samuya did by saying that Netanyahu is also doing the same.?
Nimeuliza tu dini ya Netanyahu au hana dini?
 
Gaza watu wanapambania nchi Yao, huku maharamia wanaharibu miundombinu na kupora mali za watu wakiwa na nia ya kuangusha serikali
Hata huku pia wanapambia nchi yako dhidi ya watekaji na wauaji.

Hao wanaotaka kupora na kuangusha serikali ni kina nani? Sheikh sharifu alitaka kumpora nani? Alitaka kuangusha serikali ipi? Kwa nini alipigwa risasi na kuuliwa?

Mtangazaji master T alitaka kumpora nani? Alitaka kuangusha serikali ipi? Kwa Nini alipigwa risasi na kuuliwa?

Wle Watoto waliokua wanaangalia mpira walitaka kumpora nani? Walitaka kungudha serikali ipi? Kwa nini wote waliuliwa?
 
Uchumi ungekua rahisi hvyo nchi kama South Africa ingekua inatoa msaada pia kwa Tanganyika

Kama hoja ni kisiwa basi Madagascar, comoro zingekua nchi tajiri Africa.
Kwahiyo unaifananisha South Africa na Bongo yenu? Tena ndio wamepata Uhuru 1994 miaka 33 baada ya Uhuru wa Tanganyika
 
Unajisikiaje Mtu mwenye low IQ anaongoza nchi yenye watu takribani Milioni 70, ukiwemo wewe mwenye high IQ. Maisha siyo moja jumlisha moja.
Muovu huwa ana mbinu nyingi za kuongoza na kuendelea kuua. Unafikiri kwa nini mnachukia Netanyahu lakini bado anaendelea kuua? Kwa maelezo yako haya tafsiri yake ni kuwa Netanyahu ana akili kuliko nyie?
 
Kwahiyo unaifananisha South Africa na Bongo yenu? Tena ndio wamepata Uhuru 1994 miaka 33 baada ya Uhuru wa Tanganyika
Nimezungumzia kulingana na ulichoandika, ndio maana mfano wa south Africa ukaja. South pamoja na kuendelea kote lakini bado hawana msuli wa kutoa msaada kwa Tanzania au kwingine, hayo maajabu ya Zanzibar ndani ya miaka 10 ni sawa na story ya dhahabu kwenye pua ya nguruwe
 
Warioba hawezi kusema kitu kama hicho. Weka hata ushahidi wowote ule
(19) Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili | Page 2 | JamiiForums Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili

Mimi kila siku saa mbili hutazama habari,hununua gazeti,huperuzi mitandao, nimeona taarifa nyingi sana, lakini ukinidai hiyo taarifa huenda nisiweze kukuletea,siyo masijala mie
 
Mkuu unafikiri yeye anasema anachofanya Netanyahu ni sahihi?

Hili tatizo mnalo nyie zaidi, mnafurahia waliouliwa huku alafu mnasikitika wanaouliwa gaza
Sidhani kama Bakwata wametoa tamko la masikitiko ya October 29 mimi nimeona Tec hadi mavazi ya zambarau wamevaa ila kwa Bakwata sina uhakika
 
Back
Top Bottom