Hivi udini wa Samia Suluhu uko wapi? Tuzungumze ukweli

Hivi udini wa Samia Suluhu uko wapi? Tuzungumze ukweli

HAYO MANENO WANAYAZUNGUMZA WATOTO WADOGO AMBAO HAWAJUI KUHUSU HII NCHI NA MIFUMO YAKE

NA UKIFATILIA HAWA NDO WALE HUWA NAWAITA MONGERS , WALAJI WA TAARIFA AMABAZO HAZINA CHAZO , UKIANGALIA WATU WALIOTEULIWA MPAKA SASA FROM THE ROOTS UTAKUTA WAKRISTO NI WENGI KUZIDI WAISLAMU

ILA KWAKUWA KIZAZI HIKI KINAONGEA MAMBO BILA KUELEWA WANASEMA UDINI.
 
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?

Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?

Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?

Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
Ulikuwa umefunga maskio wakati kawatuma masheikh kuisema TEC? Ulikuwa umeweka pamba wakati anasema kaandikiwa nyaraka kadhaa na TEC? Samia anatumia dini kuficha udhaifu wake, anawalambisha asali masheikh ili wamtetee, mpaka inafika tunaambiwa tutakatwa vichwa, na mtu hakamatwi Wala nini, usichoelewa ni kipi? Sehemu nyeti zote zenye pesa kaweka waislam, bila kujali competence. Na kiukweli waislam wengi Tanzania hawana competence yeyote. Tunajuana bana.
 
Kwenye uongozi wa rais mwenye jina la kikristo, umewahi kuona kuna kundi likimtetea rais kwa misingi ya dini?

Nyerere, Nkapa, Magufuli!

Nani alitetetwa na wakristo kwasababu yeye ni mkristo?

Nakumbuka Magufuli alipigwa spana na TEC, kina Mwamakula na wengine...

Tazama tawala ya Samia...

Kuna kikundi kiliahidi kukata watu vichwa na bado kiko uraiani...

Makanisa yamefungwa bila sababu za kueleweka...

Viongozi wa dini moja kuwindwa wauwawe, (Kitima case...)

Ile sumu yetu inauwa zaidi wakristo kuliko waislamu (Ndugai vs Bashiru) kwa uchache...

Bashiru angekua na jina tofauti tusingekua nae...
 
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?

Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?

Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?

Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
Kufikiria anakosolewa kwa KUUA watu kwasabaabu ya DINI yake.
 
Udini wake upo pale anapojaribu kujitetea tuhuma dhidi ya uongozi wake kuwa anachukiwa sababu ya dini yake.
Watu wanahoji matendo ya ukandamizwaji haki, utekaji na kuuwa watu hovyo 29/10 yeye hajibu hizo hoja analeta hoja ya dini yake.
Namheshimu Sana, na nimemtetea mwanawe kufanya biashara, nimekemea wanaomkosoa kwa kumtukana. Ila sitaacha kumkosoa kwa kutowadhibiti wabadhirifu wa mali za umma na wauwaji na watekaji. Pia nitamkosoa kwa uteuzi wake kwa baadhi ya watu inaonesha upendeleo(nepotism) kwa kujuana au undugu kuliko kuangalia sifa.
Kusini kuchele umeona jibu hapa. Mdini ni mtu anayewaza udini
 
Kwanza hongera kwa swali hili, pili jf ya sasa imebadilika sana, mtu unatoa hoja, badala ya watu kujibu hoja kwa hoja au kwa hoja mbadala, watu wanajibu hoja kwa viroja!.

Kwenye hizi hoja za Udini, Tanzania tuna tatizo la mazoea ya kitu kinachoitwa Mfumo Kristu, unaoshikiliwa na Kanisa Katoliki Tanzania kupitia TEC, ambapo it's is systematic rais wa Tanzania akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki!. Hii haijaandikwa popote ila ndio hivyo!. Juliasi ni Mkatoliki, Benyamin ni Mkatoliki, Yohana ni Mkatoliki, anayefuata ni Emanueli!.

Hii imewafanya Wakatoliki kujisikia kuwa na an upper hand kwenye utawala wa nchi hii!.

Kwa sababu pia ni ukweli usiofichika, idadi ya wasomi Wakristo ni kubwa zaidi ya wasomi Waislamu, automatically kwenye teuzi nyingi lazima kutajaa Wakristo, hii ikapelekea Wakristo kujiona wao ni deserving kutawala idadi ya teuzi zote.

Tuhuma za Udini zikaanzia kwa Mwalimu Nyerere kuwa amejaza Wakatoliki kwenye serikali yake, Waislamu wakaanza kuita ni Mfumo Kristo, Father Sivalon ameandika kitabu kuhusu Kanisa Katoliki na Siasa za Tanzania.

Wakati wa Nyerere, kuwapata Waislamu wenye sifa za kuteuliwa ilikuwa ni wa kutafuta kwa tochi.

Mfano Benki Kuu ya Tanzania, ilihitaji kuwa na Naibu kutoka Zanzibar, sifa ni awe na Ph.D ya uchumi +10 years experience post Ph.D, mtu huyo hakuwapo, hivyo wa kwanza kupatikana ni enzi za JK.

Tanzania tuna ma CDF 8, kati ya hao mwenye jina la Kiislamu ni mmoja tuu, Abdullah Twalipo tena usikute ni jina tuu kama Jaji Mkuu Saidi au Jaji Ramadhani, majina ya Kiislamu, wenyewe Wakristo.

Samia akiteua CDF Muislamu sasa hivi utasikia kelele jeshini!, hii ndio mara ya kwanza Mnadhimu Mkuu ni kutoka Zanzibar!, kelele!.

Hakuna rais alukuwa na mkabila, mdini na nepotism kama JPM, kwa vile alikuwa Mkatoliki, hakuna kelele, sio tuu aliteua kabila lake tuu, ndugu zake, rafiki zake hadi something zake!, watu kimya.

Samia kateua tuu mtoto na mkwe, kelele!. Kiukweli Samia hana udini wowote, tatizo ni
1. Ni Mwanamke
2. Muislamu
3. Mzazibari mwenye nywele za singa

Enzi za Mwinyi hakukuwa na kelele hivi, hivyo huyu Mama wanamuonea tuu kwa uanamke wake!, dini yake na asili yake.

Tusiruhusu

P
Mfumo Katoliki?
========
Umefanya research au unaandika tu kwa ubunifu wako (intuition)? Kua kulikua na wakristu au wakatoliki waliopewa kazi na kuachwa waislam au protestant wenye sifa?
Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Majina yao
Hata majina yao unasema labda yalikua majina tu labda walikua wakristu.

Anyway sikuelewi uandishi wako.

Kwa nini usione kuwa matatizo na mambo ya kuchanganya yametokea sana wakati wa JK, JPM, SAMIA? Nani hakukalipia JPM, wewe Pascal ulikua mtu wa mbele kumtetea JPM.

Ni kweli kuwa utekaji ulikua zaidi wakati wa JPM lakini ulianza wakati wa JK, kwa Samia ndiyo kabiasa hatari?

Madawa ya kulevya na Ufisadi vilikuwa halali kabisa wakati wa JK

Huoni ni relative na malalamiko?

Huoni kuwa suluhisho ya hayo yote ni katiba mpya na transparency kumpata kiongozi?
 
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?

Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?

Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?

Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
Hakuna mwananchi yeyote anayesema kuwa Samia ni mdini, bali ni mbinu ya wana ccm wenyewe waliotunga uzushi huo wa Udini kwa lengo la kutaka uungwaji mkono kutoka kwa baadhi ya waislam wasioweza kuchakaa mambo na pia kufunika uhalisia wa hoja za wananchi wengi wanaopinga uchaguzi uliofanyika Oktoba.
 
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?

Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?

Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?

Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
Kule kuamini kwamba Watanzania hawampendi kwasababu ya uislamu wake sio tu ni udini bali ni udini mbaya sana, kwasababu automatically anawachonganisha Watanzania kwa msingi wa kidini.
 
Kwani nani kasema samuya ni mdini?
Binafsi simkubali kwasabb hana uwezo wa kiuongozi...ni mjinga!
Lakini yeye sio mdini na kudhihirisha ujinga wake akajaribu kuficha mapungufu yake kwa kusingizia anapingwa kwasabb ya imani yake!.
 
Nakuambia mwaka jana wakati samia ni rais kuna kama mashekhe 3 wamepotezwa na hii nimeshuhudia live bila chenga,
Ndiyo maana ya haya maneno 👉 SAMIA NI MDINI ZAIDI YA UDINI ...maana yake ni mdini dhidi ya wakristo na Waislamu wa tanganyika..hapa Waislamu anawaweka juu ...pia ni mdini dhidi ya Waislamu wa tanganyika na waislamu wa Zanzibar hapa Waislamu wa Zanzibar kawaweka juu ..pia ni mdini dhidi wa Waislamu wabantu kwa waarabu hapa waarabu kawaweka juu ..pia ni mdini baina ya Waislamu waarabu wabara na waarabu wazanzibar hapa waarabu wa Zanzibar kawaweka juu...pia ni mdini dhidi ya Waislamu wabantu wa bara na wabantu wa zanzibar hapa wabantu wa Zanzibarkawaweka juu....hivyo ni mdini juu ya mdini
 
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?

Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?

Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?

Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.

Siamini kama ni mdini. Kama angekuwa mdini asingemwua Ali Kibao kikatili namna ile.

Hapa anautumia udini kutafuta watu wa kumlinda kwenye uovu wake. Hata wale mashekhe ubwabwa siamini kama ni wadini, wale ni wahuni wanaotumia dini kutimiza dhamira yao chafu ya kutetea uovu wa aliyewalipa. Wananchi tukiamini kuwa ni mdini, atakuwa amefanikiwa, maana ndicho anachokitaka. Sijaona upendeleo wa kidini, zaidi ya ukosefu mkubwa wa hekima ya uongozi. Kwa kiongozi mwenye hekima, kamwe hawezi kujaza wanafamilia wake ndani ya uongozi wa serikali.

Mwalimu Nyerere aliwahi kutamka kuwa mtu aliyefilisika kisiasa hujiegemeza kwenye udini au ukabila ili kuyaficha mapungufu yake.

Huyu siyo mdini bali anataka kutumia tofauti za dini kama kichaka cha kujificha baada ya kufanya uovu mkubwa ambao anaona hana namna ya kuikwepa hukumu yake.
 
Nyerere alikua mdini kwa matendo,na ndiye mfumaji mkuu wa udini tz
Rejea kuvunja eamws alivyoingia ground mwenyewe,kuhodhi wizara ya elimu wakristo bila kuteua waziri muislam wizara hiyo kwa robo Karne aliyotawala Ili asimike ukatoliki serikalini
East African Muslim Welfare Society ilianzishwa Mombasa na waismailia ( ambao baadhi ya wasunni wanapata shida kuwakubali kama waislam wenzao) ambapo lengo lake lilikuwa kuwaendeleza waislamu wa Afrika Mashariki kielimu, kijamii n.k. Mfadhili mkubwa wa EAMWS alikuwa Aga Khan ambae ndie kiongozi wa mashia. Kiongozi wa EAMWS Tanganyika alikuwa Chief Fundikira. Kitu kilichochangia kufa kwa EAMWS ni baadhi ya waislamu kukiona kama ni taasisi inayolinda zaidi maslahi ya waislamu weupe kuliko weusi.

Aidha, kuna wengine hawakufurahia kuongozwa kutoka nje ya nchi. Muislamu Karume pia hakuwa na imani na EAMWS. Kifo cha EAMWS kilisababishwa na waislamu wenyewe na sio mkatoliki yeyote. Mfano mwingine wa hii hali ya kuwa adui mkubwa wa waislamu ni waislamu wenzao ni ujenzi wa Chuo Kikuu cha Kiislamu. Bila Mkatoliki Mkapa kuwapa waislamu majengo ba eneo la chuo cha moja ya taasisi za umma, waislamu wasingekuwa na chuo kikuu chao.

Nyerere angetaka kusimika ukristu asingetaifisha shule za wa misheni. Kwa kuzitaifisha na kufanya elimu iwe bure ndio kulijenga msingi wa kuwa na wasomi wengi wa kiislamu wenye uwezo wa kusimamia kwa weledi mkubwa taasisi wanazoongoza. Wako ambao hawafanyi vizuri kama ambavyo pia wako wamisheni wabovu.

Hamtutendei haki mnapo jaribu kuandika upya historia kwa miwani ya udibi. Aidha, kuwapima viongozi kwa kuangalia idadi ya wateule wa dini yake hakuna afya katika jamii bila kujali dini ya anayefanya hivyo.

Kuna msemo wa kuwa haijalishi rangi ya paka ili mradi anakamata panya. Ingekuwa dini ndio kipimo basi wamisheni wangewapenda sana mapolisi maana kiongozi wao ni mmisheni mwenzao!

Amandla...
 
East African Muslim Welfare Society ilianzishwa Mombasa na waismailia ( ambao baadhi ya wasunni wanapata shida kuwakubali kama waislam wenzao) ambapo lengo lake lilikuwa kuwaendeleza kielimu, kijamii n.k. Mfadhili mkubwa wa EAMWS alikuwa Aga Khan ambae ndie kiongozi wa mashia. Kiongozi wa EAMWS Tanganyika alikuwa Chief Fundikira. Kitu kilichochangia kufa kwa EAMWS ni baadhi ya waislamu kukiona kama ni taasisi inayolinda zaidi maslahi ya waislamu weupe kuliko weusi.

Aidha, kuna wengine hawakufurahia kuongozwa kutoka nje ya nchi. Muislamu Karume pia hakuwa na imani na EAMWS. Kifo cha EAMWS kilisababishwa na waislamu wenyewe na sio mkatoliki yeyote. Mfano mwingine wa hii hali ya kuwa adui mkubwa wa waislamu ni waislamu wenzao ni ujenzi wa Chuo Kikuu cha Kiislamu. Bila Mkatoliki Mkapa kuwapa waislamu majengo ba eneo la chuo cha moja ya taasisi za umma, waislamu wasingekuwa na chuo kikuu chao.

Nyerere angetaka kusimika ukristu asingetaifisha shule za wa misheni. Kwa kuzitaifisha na kufanya elimu iwe bure ndio kulijenga msingi wa kuwa na wasomi wengi wa kiislamu wenye uwezo wa kusimamia kwa weledi mkubwa taasisi wanazoongoza. Wako ambao hawafanyi vizuri kama ambavyo pia wako wamisheni wabovu.

Hamtutendei haki mnapo jaribu kuandika upya historia kwa miwani ya udibi. Aidha, kuwapima viongozi kwa kuangalia idadi ya wateule wa dini yake hakuna afya katika jamii bila kujali dini ya anayefanya hivyo.

Kuna msemo wa kuwa haijalishi rangi ya paka ili mradi anakamata panya. Ingekuwa dini ndio kipimo basi wamisheni wangewapenda sana mapolisi maana kiongozi wao ni mmisheni mwenzao!

Amandla...
Unamdanganya nani kuhusu kifo cha EAMWS!?
NYERERE aliingia field kuiua hiyo taasisi hadi jaji Musa kwikima alipoonesha flaws za kisheria kwenye matendo ya nyerere,ndipo akarudi nyuma kurekebisha mambo kisha kuiulia mbali
Hizo propaganda za uismailia alizianzisha nyerere,akaulizwa inamhusu nini!?..akatulia kihoja
Waislam waliikubali hiyo taasisi kenya Uganda na tz bila kujali tofauti zao, kiongozi wa hiyo taasisi tz alikua sheikh Hassan bin amir,si shia
Halafu kiongozi wa nchi kuhangaika kuifuta taasisi ya dini isiyo yako inashangaza,ni wazi una agenda za siri
 
Mfumo Katoliki?
========
Umefanya research au unaandika tu kwa ubunifu wako (intuition)?
Anyway sikuelewi uandishi wako.

Kwa nini usione kuwa matatizo na mambo ya kuchanganya yametokea sana wakati wa JPM? Nani hakukalipia JPM, wewe Pascal ulikua mtu wa mbele kumtetea JPM.
Kwa vile hakuna research humu za data za nani alikemea nini wakati wa JPM na nani hakukemea.

Mimi najihesabu ni mmoja wa wana jf tulioongoza kumkemea, JPM, tatizo langu ni kuwa mkweli daima, akifanya mabaya nakemea, akifanya mazuri napongeza.

Watu wenye muono wa uni directional wanaona upande mmoja tuu wa pongezi, critics hawazioni!.

Hesabu hizi baadhi ya critics zangu, kwa JPM.
  1. Thread 'Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'!' Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'!
  2. Thread 'Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli' Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli
  3. Thread 'Kwanini Pasco haipendi serikali ya Magufuli?' Kwanini Pasco haipendi serikali ya Magufuli?
  4. Thread 'Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote' Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote
  5. Thread 'If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!' GE2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
  6. Thread 'Mnatambua kuwa baadhi ya Maamuzi ya Magufuli yanaligharimu Taifa kiuchumi?' Mnatambua kuwa baadhi ya Maamuzi ya Magufuli yanaligharimu Taifa kiuchumi?
  7. Thread 'Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.' Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.
  8. Thread 'Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".' Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".
  9. Thread 'Je, aachwe aseme tu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or Atumie Busara?' Je, aachwe aseme tu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or Atumie Busara?
  10. Thread 'Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?' Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?
Mabandiko kama haya humu jf yako zaidi ya 100!.

P
 
Ndio palikuwa na kelele. Kelele hizo zilichangiwa na baadhi ya watu kutamba kuwa ni wakati wa waislamu.
Nani alitamba kuwa ni wakati wa waislam kipindi cha mwinyi,zaidi ya mwinyi kusakamwa na TEC mpaka alipowachoka na kuwauliza mbona nilikukamateni na nyara za serikali na nikawaacha?!
Kwako wewe wizara ya mambo ya ndani sio wizara? Na huyo mkatoliki Nyerere ndie aliyetaifisha shule za taasisi za kidini ambazo nyingi mno zilikuwa za kikristu. Shule za kiismailia zikitaifishwa lakini waliachiwa hosteli zao.
Ni wizara lakini siyo kama ya elimu ambayo kipindi hicho ilikua ikijenga msingi wa ajira serikalini
Kutaifisha shule ilikua janja ya kudhibiti waislam wasisome, maana elimu ingekua huria waislam kupitia EAMWS walikua na hela na wasingeshindwa kujenga shule za sekondari ikiwa 1960s walitaka jenga chuo kikuu
Shule zilitaifishwa, serikali haikujenga shule za sekondari Ili kupanua udahili wa watoto maana waislam nao watasoma halafu utashindwa kuwabagua kwenye ajira,ila aliweza kujenga makambi ya wapigania uhuru pwani,Moro,Lindi, Dodoma
Sema anashutumiwa, sio alishutumiwa. Wakati wake hakuna aliona hayo ya Vatican. Hakuna mkristu alikuwa na tatizo nae kwa sababu ni mkatoliki. Hata Kambona hakuwahi kuzungumzia hilo la Vatican. Ni nyie ndio mnalizusha.

Amandla...
Wakati wake ulisemwa udini,ndipo alipojitetea kwa kutaja idadi ndogo ya wakatoliki Baraza la mawaziri, wakati tunajua serikali si Baraza la mawaziri
Kwa nini alishambulia malecela,muanglikana kipindi cha uchaguzi 1995 na kumbeba mkapa aliyekua na cv ndogo?
 
Unamdanganya nani kuhusu kifo cha EAMWS!?
NYERERE aliingia field kuiua hiyo taasisi hadi jaji Musa kwikima alipoonesha flaws za kisheria kwenye matendo ya nyerere,ndipo akarudi nyuma kurekebisha mambo kisha kuiulia mbali
Hizo propaganda za uismailia alizianzisha nyerere,akaulizwa inamhusu nini!?..akatulia kihoja
Waislam waliikubali hiyo taasisi kenya Uganda na tz bila kujali tofauti zao, kiongozi wa hiyo taasisi tz alikua sheikh Hassan bin amir,si shia
Halafu kiongozi wa nchi kuhangaika kuifuta taasisi ya dini isiyo yako inashangaza,ni wazi una agenda za siri
Hakuna haja ya kubishana na fanatic. Unabisha kuwa EAMWS haikuanzishwa 1945 na waismailia
Mombasa chini ya uongozi wa Aga Khan?
Hebu zitaje hizo flaws zilizoonyeshwa na Jaji Musa ( ambae kuwepo kwake kama mteule wa Nyerere na kusikilizwa na Nyerere kunaonyesha kuwa Nyerere hakuwa mdini) ambazo zilimfanya Nyerere arudi nyuma.

Lengo la EAMWS lilikuwa kuwaunganisha waislamu wa Afrika Mashariki na mfadhili wake mkuu alikuwa Aga Khan. Kama lengo lilikuwa kuwaunganisha waislamu si ajabu baadhi ya sehemu za uongozi zilishikwa na wasuni kama wakina Fundikira.

Kiongozi wa nchi ana wajibu wa kuhakikisha usalama wa nchi bila kujali dini yake. Mvutano wa waislamu ndani ya EAMWS ulitishia amani ndio maana baadhi ya waislamu wakaona heri kifutwe ili waanzishe Bakwata.

Ni wazi kuwa wako ambao hawakupendezwa na hatua hiyo lakini uamuzi haukuwa wa Nyerere peke yake. Nyerere alihusika kama kiongozi wa nchi.

Amandla..
 
Maalim seif nawenzie waliwekwa ndani muda mrefu kwa kosa la uhaini
Kuwekwa ndani kuko kwa aina nyingi ..kidini ...kisiasa ..kiuchumi ..nk maalim seff akuwekwa ndani kidini ...tunapo sema udini ni lazima utazame viashiria vya double standards...kwa sasa tuna udini , usiasa , uarabu(urangi) ,uzanzibari ...uomani ...ufisadi nk mambo ni mengi yenye kuunda matabaka ya kibaguzi dhidi ya HAKI ...
 
Watu wengi wanashindwa kutofautisha kati ya uongozi mbovu na udini.

Mambo yasipokwenda sawa wanakimbilia kusema ni udini, huku wanasahau kama uongozi mbovu huleta impacts kwa wote bila kujali wewe ni dini gani.
 
Hakuna haja ya kubishana na fanatic. Unabisha kuwa EAMWS haikuanzishwa 1945 na waismailia
Mombasa chini ya uongozi wa Aga
Khan?
Hebu zitaje hizo flaws zilizoonyeshwa na Jaji Musa ( ambae kuwepo kwake kama mteule wa Nyerere na kusikilizwa na Nyerere kunaonyesha kuwa Nyerere hakuwa mdini) ambazo zilimfanya Nyerere arudi nyumabb
Uwe unasoma, kuelewa na kuzingatia,ilianzishwa lini na nani,wapi,siyo issue, nimekwambia hoja ya agha Khan kuwa shia Ismailia aliileta nyerere wakati wa zogo,akaulizwa inamhusu nini!?
Shia Ismailia,sunni,bohora wote wanaamini Muhammad mtume wa Mungu na Quran ni maneno ya Allah sw,wote huswali kuelekea Makkah,hufunga ramadhani
 
Back
Top Bottom