Hivi udini wa Samia Suluhu uko wapi? Tuzungumze ukweli

Hivi udini wa Samia Suluhu uko wapi? Tuzungumze ukweli

Hata huku pia wanapambia nchi yako dhidi ya watekaji na wauaji.

Hao wanaotaka kupora na kuangusha serikali ni kina nani? Sheikh sharifu alitaka kumpora nani? Alitaka kuangusha serikali ipi? Kwa nini alipigwa risasi na kuuliwa?

Mtangazaji master T alitaka kumpora nani? Alitaka kuangusha serikali ipi? Kwa Nini alipigwa risasi na kuuliwa?

Wle Watoto waliokua wanaangalia mpira walitaka kumpora nani? Walitaka kungudha serikali ipi? Kwa nini wote waliuliwa?
Siyo kweli
 
Nimezungumzia kulingana na ulichoandika, ndio maana mfano wa south Africa ukaja. South pamoja na kuendelea kote lakini bado hawana msuli wa kutoa msaada kwa Tanzania au kwingine, hayo maajabu ya Zanzibar ndani ya miaka 10 ni sawa na story ya dhahabu kwenye pua ya nguruwe
Zanzibar sio South Africa ukiipa Zanzibar mamlaka kamili inakuwa kama umoja wa kiarabu ambao leo ndio wafadhili wakubwa wa tz
 
(19) Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili | Page 2 | JamiiForums Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili

Mimi kila siku saa mbili hutazama habari,hununua gazeti,huperuzi mitandao, nimeona taarifa nyingi sana, lakini ukinidai hiyo taarifa huenda nisiweze kukuletea,siyo masijala mie
Ushahidi ni thread ya big show? Ni sawa pia na mimi niseme warioba alisema hivyo alafu nilete comment yako.
 
Kiburi kivipi?..kuna rais viburi kuzidi mkapa na magu?..kitowasikiliza wananchi kwenye nini?..rais baada ya kuchaguliwa anatakiwa asikilize wananchi?
Magu alipendwa zaidi na Waislamu kuliko hata Wakristo ! aliwasikiliza wananchi naye akawasikiliza .. aliwapenda wananchi naye akawapenda, siyo huyu Kahaba kipenzi cha majizi..
 
Magu alipendwa zaidi na Waislamu kuliko hata Wakristo ! aliwasikiliza wananchi naye akawasikiliza .. aliwapenda wananchi naye akawapenda, siyo huyu Kahaba kipenzi cha majizi..
Una kipimo cha mapenzi mwenzetu,hebu tukione
 
Sidhani kama Bakwata wametoa tamko la masikitiko ya October 29 mimi nimeona Tec hadi mavazi ya zambarau wamevaa ila kwa Bakwata sina uhakika
Ulichojibu mbona hakiendani na nilichoandika? Umechanganya comments?

Ngoja nikukumbushe: umetoa mfano wa Netanyahu kuua, Mimi ndio nikakujibu kwani unafikiri huyo mtu anamaanisha anachofanya Netanyahu ni sahihi? Nikasema nyie ndio mnaofurahia mauaji ya huku na kuchukia mauaji ya gaza
 
Magu alipendwa zaidi na Waislamu kuliko hata Wakristo ! aliwasikiliza wananchi naye akawasikiliza .. aliwapenda wananchi naye akawapenda, siyo huyu Kahaba kipenzi cha majizi..
Ni kweli watu walimpenda miongoni mwa waliompenda magu ni Ben saanane, Azory gwanda, Akwilin Akwilin na wengine wengi waliouliwa na Samia kwenye sandarusi na kutupwa baharini kipindi kile hakika magu alikuwa mtu wa watu
 
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?

Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?

Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?

Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
Suala la udini Kila awamu linalalamikiwa na wale ambao wamekosa hoja za msingi.Serikali yetu haijawahi kupata raisi mdini.Raisi anaweza kuwa mshikaji.Atawaweka washikaji zake ila sio viongozi wake wa kidini.Na ushikaji hauna dini mzee.Mimi ni mkristo,washikaji zangu wa kitaa zaidi ya 70% ni waislam.Sasa huwezi kuniita mdini nikiwaweka washikaji zangu kwenye uongozi.Kila mtu na washikaji zake bna.Mshikaji atakulinda,ila mtu wa dini yako ambaye sio mshikaji hawezi kukulinda ukikosea.Yeye atakuhukumu kwa mujibu wa sheria za dini yake.Ukiwaangalia vzr raisi Samia,Kikwete na Jpm wana dini zao lakini hawazijui dini zao.Ijumaa au jumapili ataenda kuswali ili wananchi tusimuone Hana dini.Lakini kwenye uongozi ataongoza kishikaji.Ukiangalia waislam wamekuwa wakidai mahakama ya kadhi tangu JK wa I hadi Leo lkn hawajaipata.Wamekuwa wakilalamika Kila awamu mara wanaonewa,tunalipa Kodi inaenda Vatican wakiwa na maana kirefu cha VAT-VATCAN(hii ni ukosefu wa elimu tu),n.k.Lkn huyu ni muislamu wa tatu kuongoza nchi!Wao wanataka raisi akiwa muislam basi awafanye waislam kuwa first born.Hata wakristo pia wamekuwa wakilalamika ktk Kila awamu(TEC).Walimsumbua sana jiwe.Walipoona jiwe ni mkatoliki wakataka kufanywa first born.Nli wakati sasa watu wa dini wajue,kuwa ni kiongozi mkuu wa dini yako sio atafuata dini yako kuongoza nchi,NO!
 
Ulichojibu mbona hakiendani na nilichoandika? Umechanganya comments?

Ngoja nikukumbushe: umetoa mfano wa Netanyahu kuua, Mimi ndio nikakujibu kwani unafikiri huyo mtu anamaanisha anachofanya Netanyahu ni sahihi? Nikasema nyie ndio mnaofurahia mauaji ya huku na kuchukia mauaji ya gaza
Mimi swali langu ni kuwa netanyahu ni dini gani au hana dini? Nijibu kama una jibu la swali langu
 
Zanzibar sio South Africa ukiipa Zanzibar mamlaka kamili inakuwa kama umoja wa kiarabu ambao leo ndio wafadhili wakubwa wa tz
Bado mna mawazo ya kuendelea kwa kusaidiwa? Hata huyu mnayemshangilia hamjamuelewa kuwa hakuna cha bure dunia hii??

Huo umoja umeshindwa vipi kuifanya Sudan iwe tajiri? Comoro? Somalia?

Yaani South Africa ishindwe, nchi za kiarabu za North Africa zishindwe, ila maajabu ya maendeleo yaje kutokea Zanzibar? Au maajabu ya kuruka makachu?
 
Maana yake hiyo habari ilikuwepo, ndiyo maana ilijadiliwa,tumia common sense,usitake tu kubishana
Hii thread tunavyozungumza hapa inahusu udini wa Samia, kwa maana yako wewe unamaanisha ni kweli Samia ni mdini?

Kuwepo kwa thread hakumaanishii hilo Jambo lipo, zipo thread mamia za kila aina kila mtu anaandika anachotaka. Zipo thread zinahusu mabaya ya mtume Mohamed, kwa hiyo ni kweli kuba mabaya ya mtume Muhammad kisa tu Kuna thread jf zinazungumzia Hilo?

Ungeweka video au kutoka media rasmi, maana chochote Sasa hivi mtu anachozungumza kinakua on record
 
Bado mna mawazo ya kuendelea kwa kusaidiwa? Hata huyu mnayemshangilia hamjamuelewa kuwa hakuna cha bure dunia hii??

Huo umoja umeshindwa vipi kuifanya Sudan iwe tajiri? Comoro? Somalia?

Yaani South Africa ishindwe, nchi za kiarabu za North Africa zishindwe, ila maajabu ya maendeleo yaje kutokea Zanzibar? Au maajabu ya kuruka makachu?
Uelewa wako ni mdogo au umejaa chuki hasa ukisikia falme za kiarabu

Ninachokisema ni kuwa Zanzibar ukiipa mamlaka kamili baada ya miaka 20 inatoa misaada kwa Tanganyika sio kutegemea kupewa misaada na falme za kiarabu ila yenyewe itatoa misaada

Kivipi nikakuambia kama unavyoona falme za kiarabu sasa zikitoa misaada na kufadhili miundo mbinu mbalimbali za Tz ndivyo Zenji itafanya ukiipa mamlaka kamili

Au kama unavyoiona China ikitoa misaada hivyo hivyo hata Zenji itatoa

Tatizo la Tz hasa Tanganyika ni ufisadi na ubadhilifu wa mali za umma kitu ambacho hata ukiwapa miaka buku tz itakuwa ileile miaka yote sio kwa Zenji nakwambia wale watu wamestaarabika
 
Nimekuuliza Kama issue ni mamlaka kamili mbona Sudan, Madagascar, comoro, Somalia n.k zimeshindwa kuwa na hayo maendeleo? Ni maajabu gani unasubiri kwa Zanzibar?

Unasema Zanzibar ikiwa na mammlaka kamili itapata misaada ya miundombinu Kama anbavyo kwa Sasa Tanzania inapata? Ndio nakuuliza, Kuna kipi cha bure? Unasubiri uwe na mamlaka kamili ili uje upewe misaada ya miundombinu?

Tatizo la Tanganyika ni ufisadi, hiyo ni kweli. Lakini hili tatizo kwa Zanzibar pia ni kubwa sana. Au unafikiri Zanzibar hakuna ufisadi?

Unasema watu wa Zanzibar wamestaarabika? Wamestaarabika kwenye nini? Nani kakuongopea kuwa wamestaarabika?? Nipe mifano ya huo ustaarabu wao
 
Back
Top Bottom