Hivi udini wa Samia Suluhu uko wapi? Tuzungumze ukweli

Hivi udini wa Samia Suluhu uko wapi? Tuzungumze ukweli

Unasema Zanzibar ikiwa na mammlaka kamili itapata misaada ya miundombinu Kama anbavyo kwa Sasa Tanzania inapata?
Hii hoja umeiotoa wapi au unasoma kwa kurudi nyuma?

Soma vizuri kwa utulivu uelewe nilichosema kwenye comment yangu sina haja ya kurudia

Kuhusu Somalia na Sudani hizo sio miongoni mwa hoja zangu hoja yangu hapa ni Zenji, nakuhakikishia ukiipa mamlaka kamili Tanganyika wataomba misaada kutoka Zenji kama waombavyo China na falme za kiarabu kwa sasa

Zenji hakuna ufisadi wa kiwango cha Tanganyika kama upo basi unaletwa na kuwepo kwa muungano

Ustaarabu mmoja wapo wa Zenji ni kutoendekeza ufisadi na ubadhilifu wa Mali za umma hata kwa kidogo wanachogaiwa kutoka kwenye Muungano wanakitumia vizuri la si hivyo Zenji ingekuwa kama mkoa wa Tanga kimaendeleo hadi sasa
 
Hili swali ulilo uliza ni la kweli au unatania tu ? Kwa sababu Samia si mdini tu bali ni zaidi ya mdini ...
Tundu lissu yupo ndani hadi leo anatuhumiwa kwa uhaini pasipo siraha wala bomu wala kuchinja mtu ....ila ana shitakiwa kuwa ni Haini kwa sababu alisema kitawaka .....mashekh wamesikika wazi hadi mmoja katamka mbele ya Rais na mbele ya wakristo tena ndani ya kanisa kwa watu wachinjwe akiwalenga wakristo, hakuna shekhe aliye kamatwa wala kuhojiwa...Samia kafungia makanisa kisa ngwajima kauliza watekaji ni kina nani? na kupinga watekaji? Samia ana ajenda zaidi ya udini ...nayo ni kuamini kuwa tanganyika ni koloni halali la WAARABU.
Kuna mashehe walikaa ndani miaka nane 8
 
Ustaarabu mmoja wapo wa Zenji ni kutoendekeza ufisadi na ubadhilifu wa Mali za umma hata kwa kidogo wanachogaiwa kutoka kwenye Muungano wanakitumia vizuri la si hivyo Zenji ingekuwa kama mkoa wa Tanga kimaendeleo hadi sasa
Unasema ustaarabu uliopo zanziba sababu hakuna ufisadi.
Wasikilie hawa, huyu ni raisi mwinyi anassma ndani ya mwezi mmoja aligundua ufisadi mkubwa sana Zanzibar
Screenshot_20251222-154003_1.jpg

Huyu ni jussa akizungumzia ufisadi Zanzibar

Huyu ni othman masoud akizungumzia ufisadi Zanzibar

View: https://www.youtube.com/watch?v=wQfzovW6D5Q

Ufisadi banadrini Zanzibar

Mwinyi akiahidi kupambana na mafisadi Zanzibar

Hizo ni rejea chache kati ya nyingi. Au una Zanzibar yako ambayo sio hii?
 
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?

Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?

Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?

Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
Pitia wakurugenzi wa halmashauri na wakuu wa wilaya ndio utajua na makatibu wa ccm
 
Unasema ustaarabu uliopo zanziba sababu hakuna ufisadi.
Wasikilie hawa, huyu ni raisi mwinyi anassma ndani ya mwezi mmoja aligundua ufisadi mkubwa sana Zanzibar
View attachment 3519098

Huyu ni jussa akizungumzia ufisadi Zanzibar

Huyu ni othman masoud akizungumzia ufisadi Zanzibar

View: https://www.youtube.com/watch?v=wQfzovW6D5Q

Ufisadi banadrini Zanzibar

Mwinyi akiahidi kupambana na mafisadi Zanzibar

Hizo ni rejea chache kati ya nyingi. Au una Zanzibar yako ambayo sio hii?

Hizo ni miongoni mwa athali za muungano hasa kutoka chama cha mapinduzi

Wanavyofanya huku hata Zenji wanafanya hivyo hivyo ukiwapa mamlaka kamili hizo sarakasi za ccm hazitakuwepo
 
Hizo ni miongoni mwa athali za muungano hasa kutoka chama cha mapinduzi

Wanavyofanya huku hata Zenji wanafanya hivyo hivyo ukiwapa mamlaka kamili hizo sarakasi za ccm hazitakuwepo
Umesema moja ya ustaarabu wao ni Hakuna ufisadi, sasa hivi unakiri ufisadi upo Ila sababu ya muungano. Huo ustaarabu uliona lini ikiwa tayari walishathiriwa na muungano tokea 1964?? Au wakati wa ukoloni?

Ni nani anapaswa kuwapa hayo mamlaka? Wao kwa sasa hawayahitaji? Wanasubiri kupewa lini? 2050 au 2100 au 2200?? Nilikuulizia pia hayo mamlaka wanayo Sudan, somalia,comoro, Madagascar n.k mbona bado ni maskini wa kutupwa? Amka usingizini
 
Ni zaidi ya mdini huyo Bibi

ana ajenda nyingi mbaya dhidi ya Tanganyika

Ameshatimiza baadhi

Kufungia makanisa
kuuza raslimali kwa waarabu amenza na bandari misitu hifadhi nk

Nipo nafanya utafit kuhusu ajira hasa wazanzibar waliojirwiwa jeshin polis magereza uhamiaji nk

Fanyen pia utafit kuhusu matokeo ya kidato Cha nne Zanzibar yalipanda gafla toka aingie

Kuna uchafu mwingi ni swala la muda tu kila kitu kitswekwa hadharan
 
Umesema moja ya ustaarabu wao ni Hakuna ufisadi
Shida unasoma kwa jazba comments zangu nenda kasome tena comment ya mwanzo utaona nilisemaje

Mamlaka kamili inapewa na Tanganyika iliyoitawala Zenji miaka na miaka kwa jina la Tanzania huku ikinyimwa Uhuru wa kuwa na kiti Umoja wa mataifa, Bank kuu ya Zanzibar na jeshi la nchi ya Zanzibar na hayo ameyafanya nyerere baada ya kuinjinia mapinduzi huku akimueka kibaraka wake Abeid karume ambae baadaa ya akili kuja kumkaa sawa akamgeuka Nyerere na kumuambia muungano ni kama koti

Kwa sasa mnaitawala Zanzibar halafu nyie ndio mnajifanya kulia lia wakati hata rais wa Zanzibar mumemuweka mtanganyika
 
Tukivunja muungano Zanzibar inatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo; look

1. Kiti cha UN
2. Jeshi
3. Benki kuu
4. Mahakama kuu

Hivi vitu Zanzibar ikiwa navyo Tanganyika wasubiri kupewa misaada kutoka Zanzibar baada ya miaka 20 tu
Dreams sometimes become realities, keep dreaming. La muhimu kwa sasa kila upande ukae kivyake, ujitegeme(mbeleleko hazitakiwi tena), Abdul na mama yake wakatawale kwao huko na Bakhresa and the likes wakitaka kuendelea na biashara kama wawekezaji wa nje it’s well and good vinginevyo warudi kwao.
 
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?

Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?

Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?

Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.

..Udini wa Samia hauko ktk teuzi anazozifanya.

..Udini wa Samia uko katika mitizamo yake kwamba wanaokosoa maamuzi yake wanafanya hivyo kwasababu ya dini yake, na sio ubovu na madhaifu ya maamuzi yake.

..hakuna Rais amewahi kuhutubia taifa na kudai kuwa wanaomkosoa wanasukumwa na Udini, Samia ndiye wa kwanza kufanya hivyo.
 
Kuna mashehe walikaa ndani miaka nane 8
Hivi unajua maana ya udini keeli au unaropoka tu ...shekh au padri kukas ndani diyo hoja kuna maladri hadi sasa wapo jela kwa ubakaji nk .....tatizo la waislamu kuwaelimisha ni kazi sawa na kumwelimisha nguruwe....
 
Shida unasoma kwa jazba comments zangu nenda kasome tena comment ya mwanzo utaona nilisemaje

Mamlaka kamili inapewa na Tanganyika iliyoitawala Zenji miaka na miaka kwa jina la Tanzania huku ikinyimwa Uhuru wa kuwa na kiti Umoja wa mataifa, Bank kuu ya Zanzibar na jeshi la nchi ya Zanzibar na hayo ameyafanya nyerere baada ya kuinjinia mapinduzi huku akimueka kibaraka wake Abeid karume ambae baadaa ya akili kuja kumkaa sawa akamgeuka Nyerere na kumuambia muungano ni kama koti

Kwa sasa mnaitawala Zanzibar halafu nyie ndio mnajifanya kulia lia wakati hata rais wa Zanzibar mumemuweka mtanganyika
Kiswahili kinakupiga chenga? Wapi nimesoma kwa jazba?

Nimekuuliza hayo mamlaka kamilii mnapewaje? Mnapewa lini? Mnataka kuyadai lini? Msipopewa mnafanyaje?

Nyerere alishakufa toka 1999, waliobaki ni nyie chukueni hayo mamlaka au muyadai mpaka mpewe wala hakuna kujificha kwenye kichaka cha nyerere

Mimi sio sehemu ya utawala hivyo siitawali Zanzibar, pia sijawahi kulialia kuhusu zanzibar. Sijawahi kuona faida wala hasara ya muungano na Zanzibar. Matokeo yoyote kwangu ni sawa. Hoja yangu kwako ilikua pale uliposema Zanzibar ni wastaarabu ndio nikaja na hizo hoja
 
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?

Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?

Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?

Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
udini hana. ila yawezekana ni rahisi kupotoshwa na wajanja, na hiyo ndio imemgarimu hadi kufikia hapa. kwa vipimo vya udini, kwa kweli ukisema ni mdini utakua unatenda dhambi. mimi ni mkristo na sijaona kama nimebaguliwa au harufu ya udini sijaiona. hata aliyemshauri issue ya gwajima alimpotosha, though it is obvious hata ile ya gwajima unaona iliingia kisiasa, gwajiboy alikuwa tishio ila haikupigwa kwa minajili ya dini moja kwa moja. huu ndio ukweli.
 
Swali langu lipo kwenye udini najua anafanya mambo ya kutisha sana ila kusema ni udini ni uongo mkubwa
Ulimsikia akikemea wale mashehe ubwabwa waliotangaza hadharani kuwa watakata watu vichwa?

Kama wale mashehe hawakamatwi, hawahojiwi wala kushtakiwa, Unadhani walitumwa na nani?

Hivi hayo maneno ya vitisho vya kuuwa watu yangesemwa kwa jinsi ile na mchungaji fulani angekuwa bado yupo huru uraiani?
 
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?

Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?

Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?

Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
Waulize BAKWATA na wahadhiri na wahadhiri wa kiislamu wanaolalamika kila siku kuwa Samia anachukiwa kwa dini yake.
 
Kuna watu humu jukwaani wanasema ni mdini udini wake uko wapi?
Mnauweza sana unafiki! Samuya ameshutumiwa kwa kukosekana haki na usawa. Watetezi wake mkazusha kuwa anapingwa kwa sababu ya dini yake! Samuya ana dini?! Dini gani inayoruhusu wizi wa haki za raia? Na siyo samuya tu, hata hao wakina nchimbi, mkunda, wambura wote hao ni genge la wezi wa mali za nchi na wauaji. Mauaji waliyofanya hawakuuliza dini za wahanga. Msitake kupenyeza udini kwenye mambo yaliyo wazi kabisa.
 
Swali je udini wake uko wapi?
Samia kaonyesha udini kwa kuwaachia masheikh kutoa kauli za uchochezi wa vurugu za kidini, kutoa kauli za vitisho zenye kuhatarisha amani na mbaya zaidi anawaachia masheikh wanamshambulia hadi Makamu wa rais kwa tuhuma za kutumika na viongozi wake wa kidini wa katoliki. Hayo yasingewezekana kufanyika na rais akanyamazia tu ila yeye nae akaenda kulaumu TEC tu kama vilevile wafanyavyo masheikh.
 
Back
Top Bottom