Hivi udini wa Samia Suluhu uko wapi? Tuzungumze ukweli

Maalim seif nawenzie waliwekwa ndani muda mrefu kwa kosa la uhaini
Na huyo shekhe aliyetoa agizo kwamba Waislamu nchi nzima wawachinje Wakristo, kwa nini mpaka sasa hajakamatwa? Hali hii inatufanya tujiulize na kutaka kuelewa kama kauli hiyo ilitolewa kwa makusudi au kulikuwa na dhamira fulani nyuma yake.
 
Watu wengi wanashindwa kutofautisha kati ya uongozi mbovu na udini.

Mambo yasipokwenda sawa wanakimbilia kusema ni udini, huku wanasahau kama uongozi mbovu huleta impacts kwa wote bila kujali wewe ni dini gani.
Uongozi mbovu unaupimaje?..mlifungiwa kufanya mikutano ya kisiasa,akawaruhusu kufanya mikutano na maandamano,alikuta mna kesi za kubumba akazifuta,
Mikopo elimu ya juu hadi diploma
Alikuta hakuna ruzuku ya pembejeo,akaweka
Alikuta hakuna kuajiri,akaajiri,akapandisha madaraja na mishahara
Kajenga shule na hospital za kutosha na kutia ruzuku kwenye matibabu
Alikuta bwawa la umeme na sgr vikidema kwa kukosa pesa,kakamilisha
Barabara za lami kajenga na anaendelea
GDP ndani ya muda mfupi kaiongeza pakubwa
Uchumi ukuaji uliporomoka,kaupandisha
Mnachotaka nini toka kwake?!
 
Ingekua hivyo angekua anateka watu? Anaua watu?
sasa hivi hii nchi kama Somalia
 
Uwe unasoma, kuelewa na kuzingatia,ilianzishwa lini na nani,wapi,siyo issue, nimekwambia hoja ya agha Khan kuwa shia Ismailia aliileta nyerere wakati wa zogo,akaulizwa inamhusu nini!?
Shia Ismailia,sunni,bohora wote wanaamini Muhammad mtume wa Mungu na Quran ni maneno ya Allah sw,wote huswali kuelekea Makkah,hufunga ramadhani
Nani alimuuliza Nyerere EAMWSI inamhusu nini? Alimuulizia wapi? Acheni hadithi za vibarazania zisizo na ushahidi wowote.
Mashariki ya Kati chuki kati ya wa shia na wasunni ni kubwa mno. Wa sunni wamewachinja sana washia. Hayo ya kuwa wanaimba pamoja Kumbaya ni ndoto za mchana.

Amandla...
 
Soma uelewe kuku wewe
 
Uongozi mbovu unaupimaje?..mlifungiwa kufanya mikutano ya kisiasa,akawaruhusu kufanya mikutano na maandamano,alikuta mna kesi za kubumba akazifuta,
Mikopo elimu ya juu hadi diploma
Alikuta hakuna ruzuku ya pembejeo,akaweka
Alikuta hakuna kuajiri,akaajiri,akapandisha madaraja na mishahara
Kajenga shule na hospital za kutosha na kutia ruzuku kwenye matibabu
Alikuta bwawa la umeme na sgr vikidema kwa kukosa pesa,kakamilisha
Barabara za lami kajenga na anaendelea
GDP ndani ya muda mfupi kaiongeza pakubwa
Uchumi ukuaji uliporomoka,kaupandisha
Mnachotaka nini toka kwake?!
Kama nyerere alivyosema ujinga hakika ni janga la Taifa.

Ngoja nikupe elimu nikutoe ujinga:
— Kuruhusu mikutano au kufuta kesi ni haki inayotolewa kikatiba wala siyo sifa ya kiongozi bora, na wala siyo achievement ya kupigiwa makofi.
– Kuajiri, kupandisha mishahara, kujenga shule na hospitali ni kazi ya serikali duniani kote zingatia "duniani kote".
– Miradi mikubwa, barabara, SGR, bwawa, GDP kukua… hiyo kila taifa ipo.

Baadhi ya sifa za uongozi mbovu ni hizi hapa:
— Gharama za maisha zinapanda kuliko kipato,
— Taasisi nyingi zinazidi kuwa dhaifu,
— Deni la taifa kuongezeka,
— Maamuzi yanategemea sana mtu mmoja na
— Sauti tofauti zinazopambania hilo huwa zinanyamazishwa kwa jina la “uhalifu”.

Zingatia: Jenga hoja bila kutaja jina kama nifanyavyo mimi
Hapo tunakuwa tunajadili systems za world wide.
 
– Miradi mikubwa, barabara, SGR, bwawa, GDP kukua… hiyo kila mahala ipo.

Baadhi ya sifa za uongozi mbovu ni hizi hapa:
— Gharama za maisha zinapanda kuliko kipato,
— Taasisi nyingi zinazidi kuwa dhaifu,
— Deni la taifa kuongezeka.
— Maamuzi yanategemea sana mtu mmoja na
— Sauti tofauti zinazopambania hilo huwa zinanyamazishwa kwa jina la “uhalifu”.

Zingatia: Jenga hoja bila kutaja jina kama nifanyavyo mimi
Hapo tunakuwa tunajadili systems za world wide.
Tazama uharo huu!
 
Kama nyerere alivyosema ujinga hakika ni janga la Taifa.

Ngoja nikupe elimu nikutoe ujinga:
— Kuruhusu mikutano au kufuta kesi ni haki inayotolewa kikatiba wala siyo sifa ya kiongozi bora, na wala siyo achievement ya kupigiwa makofi.
– Kuajiri, kupandisha mishahara, kujenga shule na hospitali ni kazi ya serikali duniani kote zingatia "duniani kote".
– Miradi mikubwa, barabara, SGR, bwawa, GDP kukua… hiyo kila taifa ipo.

Baadhi ya sifa za uongozi mbovu ni hizi hapa:
— Gharama za maisha zinapanda kuliko kipato,
— Taasisi nyingi zinazidi kuwa dhaifu,
— Deni la taifa kuongezeka,
— Maamuzi yanategemea sana mtu mmoja na
— Sauti tofauti zinazopambania hilo huwa zinanyamazishwa kwa jina la “uhalifu”.

Zingatia: Jenga hoja bila kutaja jina kama nifanyavyo mimi
Hapo tunakuwa tunajadili systems za world wide.
Great
 
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?

Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?

Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?

Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
Toa ushahidi wa udini humu jukwaani
 
Huwezi kupata majibu sahihi kwa hao unaowauliza. Wanachuki kubwa sana na huyo Mama. Mpangaji wa maisha ni Mungu. Ingekuwa elimu ndiyo inatoa nafasi za juu kwenye nchi za hapa duniani, nchi nyongi zingekuwa zinaongozwa na Maprofesa.
 
Back
Top Bottom