Hivi udini wa Samia Suluhu uko wapi? Tuzungumze ukweli

..inawezekana baadhi ya waliokuwa wakimpinga Mzee Mwinyi walikuwa wakisukumwa na udini.

..na inawezekana baadhi ya waliokuwa wakimuunga mkono Mzee Mwinyi walisukumwa pia na udini.

..kwasababu Watanganyika tumechangamana kidini basi tunapaswa kupima hoja kwa uzito wake, na sio kuangalia dini ya mtu.

..Na viongozi wanapohojiwa au wanapokosolewa wasitumie dini kama kichaka cha kujitetea.
 
Ni chuki tu dhidi ya Uislam na Waislam ukichanganya na husda.
Sasa mtu awachukie waislam kwa sababu zipi cha zaidi huwa mnasemwa kwa mienendo yenu ambayo inaleta shida katika maendeleo ya jamii.

1. Mfano kubagua dini zingine, waislam kwa hili mnaongoza,mkisemwa mnasema mnabaguliwa.

2. Ajizi na uvivu. Familia nyingi za kiislam huwa zinapenda maisha ya ajizi kwa kisingizio cha kufuata mifumo ya dini na kumbe dini hutumika kama kichaka cha kuficha uzembe binafsi na uvivu wa kujiendeleza.
Mfano, mtu utaendeleaje kwa kuswali mara 5 hadi 7 kwa siku,yaani wewe kila dakika ushasepa unaenda masjidi,kazi unafanya saa ngapi, mwezi wa Ramadan, unashinda na njaa ina athiri ufanisi wako kwa siku 30 zote maana usipokula unawezaje kufanya kazi ambayo hufanya mwili utafute chakula?

Hampendi kusoma mambo mengi ni ya kuambiwa na maostadhi ambao wengi nao shule aidha hawajaenda au wamegusa juu juu hadi form six,nadra kukuta ostadh ana degree au masters akashinda masjid kufanya dini, sababu akili inafunguka anaona ajizi kila sehemu.

Kule Zanzibar taasisi kama benki hadi zinaajiri wasiokuwa waislam ili kupata watendaji serious wanakuwapo kazini muda wote maana wavaa kobazi kila saa ni masjid wanaacha wateja wanasubiria huduma au wanafunga maduka. Hii ni kero na kufelisha jamii na uchumi.

3. Husuda na kususa susa, mnapenda sana husuda na kususa kwa mlengo wa dini. Mfano mwaka huu maostadhi eti wanawaambia waumini wa kislaam kususia Christmas wasile wala kupokea mualiko,sasa wewe hiyo kwako imekaa sawa kweli,ususie pilau ya jirani yako ambaye yeye yako anakula bila shida?😂

Nyama mabuchani mnasusa eti hamtaki achinje mtu ambaye si muislam haya tunawaachia mchinje ninyi sisi tunaila kama kawa mbona wenzenu wakristo,wapagani, waabudu mizimu hawasusii chochote,wanashiriki hadi misiba bila husuda wala kisirani.

4. Mnapenda kubagua kwa misingi ya dini na sio sababu za msingi. Mfano kwenye ajira,unaweza kuwa hauna vigezo ila ukaona umebaguliwa kwasababu aliyepo juu sio dini yako. Sasa tabia hii huwa ninyi ndio mnayo na inadhihirika mkishika nafasi za maamuzi utaona mnafosi kabisa kuwekana bila merit yoyote kitaifa.

Wekaneni but kwa misingi ya kiutengaji na muwe vichwa vya kiutendaji kweli kweli. Kwasababu dini tunaamini ni uadilifu na ukiongezea na elimu then tunakuwa tumepata mtendaji bora dini haiwezi kuwa criteria kuu ya uteuzi au kupewa nafasi,maana huendi kufanya ibada kazini. Ila loooh😂😂 wenzetu mkiwekana mnageuza ofisi inakuwa masjid al kero kwa raia wazalendo. Kama lile zee lilikuwaga NSSF jinga moja lile,lilikuwa linataka kugeuza NSSF masjid al mufilis. Yaani muda wote ni kuswali na kufunga ofisi, ukienda ajiriwa anakutazama kwa jicho la yaani wewe ingekuwa amri yangu usingetia mguu hapa.

5. Hampendi kuchangamana mna umimi sana mnahisi dunia ni ya pekee yenu na hakuna imani zingine a.k.a ubaguzi wa kidini. Mkivaa baragashia,kanzu safi nyeupe,mzuzu kidevuni na kobazi mguuni mnaamini ninyi ni wajumbe wa mbinguni ambao mpo ziarani duniani,muda wote story zenu ni kuwaza mnamna mtakufa na kuwahi viwanja peponi. Ndio maana hamnaga mipango endelevu most of the times mnakuwa mnawaza kufa na kwenda peponi sababu duniani ni pa kupita tu.

Sasa imagine watu wa hivi uwape serikalini nafasi kuna kitu kitaenda zaidi ya ubadhirifu na uzembe na ajizi. Tazama sasa serikali ilivyolala kama mchuzi wa jana wa samaki. Haina mipango serious, miradi yote imelala,uharibifu wa pesa maana nyingi wanachezea sana kwa kugawana na kupeleka sadaka kwenye nyumba za ibada especially misikitini na vituo vya watoto yatima.

Lakini yote kwa yote sisi sote ni watanganyika na ni jamii moja tusiwe watu wa kuvimba bali tuwe watu wa kujifunza na kukubali ukweli sio kujitetea na kutaka kuonekana hatukosei muda wote. Jamii ni vema kuwa na watu tofauti ili iwe rahisi kukosoana na kurekebishana, ni hatari zaidi kuwa na jamii ya dini moja sababu nyote mnajihisi mpo sahihi na kila m'moja anajiona anajua kumshinda mwenzake so mizozo na kupigana ni lazima. Ila dini tofauti kunakuwa na mipaka mtu anajua kabisa hii sio dini yangu pengine kuna vitu sivijui kundani kuhusu wengine.

Ni kama ndugu wa familia moja kugombania urithi hutokea sana ila ndugu wa familia moja na wa nje kugombana ngumu sababu ya mipaka.

One love.
 
siku ile amejitwalia madaraka salamu ya kwanza ya pongezi ilitoka Oman au haukuwa ukifuatilia?
Ulitaka salamu ya kwanza itoke Vatican?.

Upo udini mwingi huku bara kibaya zaidi kanisa katoliki linaishiriki hii dhambi ya fitina dhidi ya urais mzima wa SSH.

Tupo wakatoliki wengi nchini lakini inatupasa kutambua kwamba uwepo wetu ni sehemu tu ya makundi mbalimbali ya kidini.

Rais na wasaidizi wake hahitaji kuwa mtii wa kundi moja kisa linao wafuasi wengi miongoni mwa wapiga kura, hiyo inaitwa political blackmailing marais wachache wenye kukubaliana nayo.
 
Swali langu lipo kwenye udini najua anafanya mambo ya kutisha sana ila kusema ni udini ni uongo mkubwa
Udini unatumika ukiwa hoja ya msingi ambayo inatengeneza chuki ya awali kabla mengine mabaya hayajaanza kuongelewa. Utasikia mjomba wake yupo Oman, hivyo anachokifanya ni kupendelea visiwani kwao.

Tunachosahau ni ukweli kwamba Rais Mwinyi kaweza kuminya mianya yote ya upigaji sawa na alivyokuwa hayati JPM, sio kwamba SSH anaipendelea Zanzibar.

Kuna roho ya kibaguzi inaenezwa miongoni mwetu sisi wakristo wakatoliki huku bara, madhara ya dhambi inayoletwa na roho za aina hii huwa maumivu kwa hao hao wanaoona fahari kuhubiri chuki dhidi ya asili ya SSH.
 
Sasa mtu awachukie waislam kwa sababu zipi cha zaidi huwa mnasemwa kwa mienendo yenu ambayo inaleta shida katika maendeleo ya jamii.

1. Mfano kubagua dini zingine, waislam kwa hili mnaongoza,mkisemwa mnasema mnabaguliwa.

2. Ajizi na uvivu. Familia nyingi za kiislam huwa zinapenda maisha ya ajizi kwa kisingizio cha kufuata mifumo ya dini na kumbe dini hutumika kama kichaka cha kuficha uzembe binafsi na uvivu wa kujiendeleza.
Mfano, mtu utaendeleaje kwa kuswali mara 5 hadi 7 kwa siku,yaani wewe kila dakika ushasepa unaenda masjidi,kazi unafanya saa ngapi, mwezi wa Ramadan, unashinda na njaa ina athiri ufanisi wako kwa siku 30 zote maana usipokula unawezaje kufanya kazi ambayo hufanya mwili utafute chakula?

Hampendi kusoma mambo mengi ni ya kuambiwa na maostadhi ambao wengi nao shule aidha hawajaenda au wamegusa juu juu hadi form six,nadra kukuta ostadh ana degree au masters akashinda masjid kufanya dini, sababu akili inafunguka anaona ajizi kila sehemu.

Kule Zanzibar taasisi kama benki hadi zinaajiri wasiokuwa waislam ili kupata watendaji serious wanakuwapo kazini muda wote maana wavaa kobazi kila saa ni masjid wanaacha wateja wanasubiria huduma au wanafunga maduka. Hii ni kero na kufelisha jamii na uchumi.

3. Husuda na kususa susa, mnapenda sana husuda na kususa kwa mlengo wa dini. Mfano mwaka huu maostadhi eti wanawaambia waumini wa kislaam kususia Christmas wasile wala kupokea mualiko,sasa wewe hiyo kwako imekaa sawa kweli,ususie pilau ya jirani yako ambaye yeye yako anakula bila shida?😂

Nyama mabuchani mnasusa eti hamtaki achinje mtu ambaye si muislam haya tunawaachia mchinje ninyi sisi tunaila kama kawa mbona wenzenu wakristo,wapagani, waabudu mizimu hawasusii chochote,wanashiriki hadi misiba bila husuda wala kisirani.

4. Mnapenda kubagua kwa misingi ya dini na sio sababu za msingi. Mfano kwenye ajira,unaweza kuwa hauna vigezo ila ukaona umebaguliwa kwasababu aliyepo juu sio dini yako. Sasa tabia hii huwa ninyi ndio mnayo na inadhihirika mkishika nafasi za maamuzi utaona mnafosi kabisa kuwekana bila merit yoyote kitaifa.

Wekaneni but kwa misingi ya kiutengaji na muwe vichwa vya kiutendaji kweli kweli. Kwasababu dini tunaamini ni uadilifu na ukiongezea na elimu then tunakuwa tumepata mtendaji bora dini haiwezi kuwa criteria kuu ya uteuzi au kupewa nafasi,maana huendi kufanya ibada kazini. Ila loooh😂😂 wenzetu mkiwekana mnageuza ofisi inakuwa masjid al kero kwa raia wazalendo. Kama lile zee lilikuwaga NSSF jinga moja lile,lilikuwa linataka kugeuza NSSF masjid al mufilis. Yaani muda wote ni kuswali na kufunga ofisi, ukienda ajiriwa anakutazama kwa jicho la yaani wewe ingekuwa amri yangu usingetia mguu hapa.

5. Hampendi kuchangamana mna umimi sana mnahisi dunia ni ya pekee yenu na hakuna imani zingine a.k.a ubaguzi wa kidini. Mkivaa baragashia,kanzu safi nyeupe,mzuzu kidevuni na kobazi mguuni mnaamini ninyi ni wajumbe wa mbinguni ambao mpo ziarani duniani,muda wote story zenu ni kuwaza mnamna mtakufa na kuwahi viwanja peponi. Ndio maana hamnaga mipango endelevu most of the times mnakuwa mnawaza kufa na kwenda peponi sababu duniani ni pa kupita tu.

Sasa imagine watu wa hivi uwape serikalini nafasi kuna kitu kitaenda zaidi ya ubadhirifu na uzembe na ajizi. Tazama sasa serikali ilivyolala kama mchuzi wa jana wa samaki. Haina mipango serious, miradi yote imelala,uharibifu wa pesa maana nyingi wanachezea sana kwa kugawana na kupeleka sadaka kwenye nyumba za ibada especially misikitini na vituo vya watoto yatima.

Lakini yote kwa yote sisi sote ni watanganyika na ni jamii moja tusiwe watu wa kuvimba bali tuwe watu wa kujifunza na kukubali ukweli sio kujitetea na kutaka kuonekana hatukosei muda wote. Jamii ni vema kuwa na watu tofauti ili iwe rahisi kukosoana na kurekebishana, ni hatari zaidi kuwa na jamii ya dini moja sababu nyote mnajihisi mpo sahihi na kila m'moja anajiona anajua kumshinda mwenzake so mizozo na kupigana ni lazima. Ila dini tofauti kunakuwa na mipaka mtu anajua kabisa hii sio dini yangu pengine kuna vitu sivijui kundani kuhusu wengine.

Ni kama ndugu wa familia moja kugombania urithi hutokea sana ila ndugu wa familia moja na wa nje kugombana ngumu sababu ya mipaka.

One love.
Pumbas
 
Kapiga mulemule kazi yenu kushinda vijiweni kwenye vijiwe vya Ghahawa hayo maendeleo mtayapata wapi ? cheki mlkoa ya pwani inayopata mvua misimu miwili inategemea kupata chakula toka maeneo kame yenye msimu mmoja wa mvua kwa mwaka..
 
Still pumbas, great thinkers hawezi kuongelea weak stories kama hizi,
So double pumbas
 
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?

Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?

Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?

Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
Nyinyi waislamu kwa kukimbilia kulialia kuwa mnaonewa! Hamjiulizi kuwa pale Ikulu akiwa tu muislamu basi lazima ahakikishe kamuweka DGIS muislamu na katibu wake muislamu. Kikwete ilikuwa hivyo; na Samia ndiyo usiseme. Toka ameanza kuwapangua DGISs kila anayekuja kobazi; Katibu wake waislamu na wasemaji wa Ikulu waislamu. Hata wizara ya mambo ya Nje ni hivyo hivyo. Haya bana nyie mmesoma sana Quran endeleeni na Jihadi yenu. Ambacho mjue kuwa hamtafanikiwa ni kutusilimisha; labda muwasilimishe hao akina kabudi
 
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?

Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?

Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?

Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
kajaza wazanzibar hata sehemu ambazo sii za kimuunano
 
Hakuna haja ya kubishana na fanatic. Unabisha kuwa EAMWS haikuanzishwa 1945 na waismailia
Mombasa chini ya uongozi wa Aga Khan?
Hebu zitaje hizo flaws zilizoonyeshwa na Jaji Musa ( ambae kuwepo kwake kama mteule wa Nyerere na kusikilizwa na Nyerere kunaonyesha kuwa Nyerere hakuwa mdini) ambazo zilimfanya Nyerere arudi nyuma.

Lengo la EAMWS lilikuwa kuwaunganisha waislamu wa Afrika Mashariki na mfadhili wake mkuu alikuwa Aga Khan. Kama lengo lilikuwa kuwaunganisha waislamu si ajabu baadhi ya sehemu za uongozi zilishikwa na wasuni kama wakina Fundikira.

Kiongozi wa nchi ana wajibu wa kuhakikisha usalama wa nchi bila kujali dini yake. Mvutano wa waislamu ndani ya EAMWS ulitishia amani ndio maana baadhi ya waislamu wakaona heri kifutwe ili waanzishe Bakwata.

Ni wazi kuwa wako ambao hawakupendezwa na hatua hiyo lakini uamuzi haukuwa wa Nyerere peke yake. Nyerere alihusika kama kiongozi wa nchi.

Amandla..
Acha kuandika pumba wewe mzee

Soma hapa

Wewe mwenyewe umesoma na kutafakari unachotaka nisome? Umejihakikishia mwenyewe ukweli wake? Au ni mtu wa kutafuniwa na kulishwa tu?

Amandla...
Aiseee
Nyinyi ndio eti wazee wenyewe halafu unajibu kama mzee Wassira
Sikulaumu, hii ndio tabia ya maisha ya wazee wa kibongo, kufokafoka na kujihami
 
Sasa hapa anaefoka nani? Jifunze kufikiria mwenyewe bila kutegemea mtu mwengine akufikirie. Kasome ulichotaka mimi nisome, fanya utafiti upime ukweli halafu ndio uje ujadiliane na wenzako. Wakati huo huo soma upya nilichoandika. Unawakandia wazee wa kibongo huku unamuabudu mzee wa kibongo. Kweli hamnazo.

Amandla..
 
Back
Top Bottom