Hivi udini wa Samia Suluhu uko wapi? Tuzungumze ukweli

Hivi udini wa Samia Suluhu uko wapi? Tuzungumze ukweli

Mtu mwenye hofu ya Mungu na mshika dini asingeruhusu watu wauliwe kinyama na baadhi miili yao kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki…

Hivi nyie Waislamu mnaomtetea kwa vigezo vya dini, ndio dini inavyosema hivi?

Uislamu unasemaje kuhusu kusitiri miili ya watu waliotangilia mbele ya haki? Wanatakiwa kulundikwa kwenye stretchers kama digidigi?
Tuoneshe makaburi ya halaiki
 
Udini wa Samia ni kumteua Philip Mpango kuwa Vice President wakati Philip Mpango ni Imam wa masjidil Majungu, kumteua Emanuel Nchimbi kuwa Vice President wakati nae ni Sheikh wa Madrasatul Fitna, kumuweka Mwigulu Nchemba kuwa PM wakati ni Maamuma wa masjidil Chuki

Mbaya zaidi kamteua Jacob bin Mkunda kuwa CDF na Camilius Bin Wambura kuwa IGP wakati hawa wote ni waislam wafia dini.

Sisi wavaa madera wa TEC wametuacha hawajatupa nafasi hata moja kama vile wakatoliki hatustahili kushika nafasi yotote ameona tunafaa tu kuvaa madera kama Padre kitima
 
Hili swali ulilo uliza ni la kweli au unatania tu ? Kwa sababu Samia si mdini tu bali ni zaidi ya mdini ...
Tundu lissu yupo ndani hadi leo anatuhumiwa kwa uhaini pasipo siraha wala bomu wala kuchinja mtu ....ila ana shitakiwa kuwa ni Haini kwa sababu alisema kitawaka .....mashekh wamesikika wazi hadi mmoja katamka mbele ya Rais na mbele ya wakristo tena ndani ya kanisa kwa watu wachinjwe akiwalenga wakristo, hakuna shekhe aliye kamatwa wala kuhojiwa...Samia kafungia makanisa kisa ngwajima kauliza watekaji ni kina nani? na kupinga watekaji? Samia ana ajenda zaidi ya udini ...nayo ni kuamini kuwa tanganyika ni koloni halali la WAARABU.
Nakuambia mwaka jana wakati samia ni rais kuna kama mashekhe 3 wamepotezwa na hii nimeshuhudia live bila chenga,
 
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?

Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?

Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?

Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
We hizo kelele za udini umezisikia kwa nani?
Nani amempinga Samia kwa sababu ni Muislam?
Yeye mwenyewe madhaifu yake anataka kuyaficha kwenye dini ndiyo maana kila anayemkosoa asiyekuwa dini yake anamuangalia kwa jicho la dini.
 
Udini wa Samia ni kumteua Philip Mpango kuwa Vice President wakati Philip Mpango ni Imam wa masjidil Majungu, kumteua Emanuel Nchimbi kuwa Vice President wakati nae ni Sheikh wa Madrasatul Fitna, kumuweka Mwigulu Nchemba kuwa PM wakati ni Maamuma wa masjidil Chuki

Mbaya zaidi kamteua Jacob bin Mkunda kuwa CDF na Camilius Bin Wambura kuwa IGP wakati hawa wote ni waislam wafia dini.

Sisi wavaa madera wa TEC wametuacha hawajatupa nafasi hata moja kama vile wakatoliki hatustahili kushika nafasi yotote ameona tunafaa tu kuvaa madera kama Padre kitima
Hoja nyepesi sana hizi mkuu, ebu jaribu kushirikisha ubongo wako
 
We hizo kelele za udini umezisikia kwa nani?
Nani amempinga Samia kwa sababu ni Muislam?
Yeye mwenyewe madhaifu yake anataka kuyaficha kwenye dini ndiyo maana kila anayemkosoa asiyekuwa dini yake anamuangalia kwa jicho la dini.
Warioba alisema teuzi za Samia Zina harufu ya udini
 
Udini wake up
-Udini
-Nepotism
-Uzanzibari
Just cut the hypocrisy hilo liko katika kila nyanja na humu JF lilishajadiliwa kwa kina na mifano halisi, muhimu hapa kwanza ni kuuvunja huu muungano unaofaidisha upande mmoja yanayobaki tutayamaliza wenyewe kama Watanganyika. Mizanzibari imejazana kila sekta na katika mambo hata yasiyohusu muungano, inamiliki ardhi everywhere ukijaribu kwao hawawezi kukukubalia hivyo tuunvunje huu muungano wa kikanjanja Samia akatawale kwao huko tuone kama watamkubali.
o wapi?
 
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?

Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?

Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?

Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
Kwanza hongera kwa swali hili, pili jf ya sasa imebadilika sana, mtu unatoa hoja, badala ya watu kujibu hoja kwa hoja au kwa hoja mbadala, watu wanajibu hoja kwa viroja!.

Kwenye hizi hoja za Udini, Tanzania tuna tatizo la mazoea ya kitu kinachoitwa Mfumo Kristu, unaoshikiliwa na Kanisa Katoliki Tanzania kupitia TEC, ambapo it's is systematic rais wa Tanzania akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki!. Hii haijaandikwa popote ila ndio hivyo!. Juliasi ni Mkatoliki, Benyamin ni Mkatoliki, Yohana ni Mkatoliki, anayefuata ni Emanueli!.

Hii imewafanya Wakatoliki kujisikia kuwa na an upper hand kwenye utawala wa nchi hii!.

Kwa sababu pia ni ukweli usiofichika, idadi ya wasomi Wakristo ni kubwa zaidi ya wasomi Waislamu, automatically kwenye teuzi nyingi lazima kutajaa Wakristo, hii ikapelekea Wakristo kujiona wao ni deserving kutawala idadi ya teuzi zote.

Tuhuma za Udini zikaanzia kwa Mwalimu Nyerere kuwa amejaza Wakatoliki kwenye serikali yake, Waislamu wakaanza kuita ni Mfumo Kristo, Father Sivalon ameandika kitabu kuhusu Kanisa Katoliki na Siasa za Tanzania.

Wakati wa Nyerere, kuwapata Waislamu wenye sifa za kuteuliwa ilikuwa ni wa kutafuta kwa tochi.

Mfano Benki Kuu ya Tanzania, ilihitaji kuwa na Naibu kutoka Zanzibar, sifa ni awe na Ph.D ya uchumi +10 years experience post Ph.D, mtu huyo hakuwapo, hivyo wa kwanza kupatikana ni enzi za JK.

Tanzania tuna ma CDF 8, kati ya hao mwenye jina la Kiislamu ni mmoja tuu, Abdullah Twalipo tena usikute ni jina tuu kama Jaji Mkuu Saidi au Jaji Ramadhani, majina ya Kiislamu, wenyewe Wakristo.

Samia akiteua CDF Muislamu sasa hivi utasikia kelele jeshini!, hii ndio mara ya kwanza Mnadhimu Mkuu ni kutoka Zanzibar!, kelele!.

Hakuna rais alukuwa na mkabila, mdini na nepotism kama JPM, kwa vile alikuwa Mkatoliki, hakuna kelele, sio tuu aliteua kabila lake tuu, ndugu zake, rafiki zake hadi something zake!, watu kimya.

Samia kateua tuu mtoto na mkwe, kelele!. Kiukweli Samia hana udini wowote, tatizo ni
1. Ni Mwanamke
2. Muislamu
3. Mzazibari mwenye nywele za singa

Enzi za Mwinyi hakukuwa na kelele hivi, hivyo huyu Mama wanamuonea tuu kwa uanamke wake!, dini yake na asili yake.

Tusiruhusu

P
 
Back
Top Bottom