Hivi Sigara kama hizi nazipata wapi hapa Bongo

Hivi Sigara kama hizi nazipata wapi hapa Bongo

.
hajakufunga kamba mkuu, nkiwa tz hua nazitumia na mm mkuu, ukbeba hiz cheap za kutosha kbongo bongo ukachil km mikoa ya barid na red label yako mdomdo inapendeza ..
vijijn unamix na ulanz taratiiibu hhh
Hiyo ulioishika naipata wapi kwa hapa bongo
 
Kila nikiona hizi Siga namkumbuka sana Rafiki yangu Hayati Makame Rasheed Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa mstaafu ilikuwa popote alipo lazima awe nazo!

Allah AMPE kauli thaabet huko aliko!
Umenikumbusha.
Kuna Mzee wangu mmoja aliniambia akiwa Jkt Makutupora kuna nyakati Makame alikuwa akija halafu anaagiza mabinti (hasa wawili).

Mzee anasema wakiwa lindo walikuwa wanapeana zamu kupiga chabo ila akikumbuka anaona ilikuwa risk sana
 
Nina pure Cuban Cigars aina ya COHIBA, kutoka Havana Cuba. nimebakiza box moja (zipo cigar 25). bei maelewano. Tuwasiliane 0754891545 (WhatsApp). napatikana airport na Sea Cliff hotel Masaki.
 
Umenikumbusha.
Kuna Mzee wangu mmoja aliniambia akiwa Jkt Makutupora kuna nyakati Makame alikuwa akija halafu anaagiza mabinti (hasa wawili).

Mzee anasema wakiwa lindo walikuwa wanapeana zamu kupiga chabo ila akikumbuka anaona ilikuwa risk sana
Daaah..! Kwetu tunaita Patunza..! [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
zimekaa kama soseji
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom