zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,408
- 27,238
hahhahaha acha(ga) ujinga "eti kama unatubu" imenifanya kujaribu kitendo cha kupiga kifua huku nakohoa kidogo kama nimepaliwa na moshi wa sigaraHahahahaaa!Inabidi awe ngangari,avute huku anapigapiga kifua kama anatubu.