Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,656
- Thread starter
- #21
SAS ndo nani?Muulize SAS ni mvutaji mzuri wa Cigar
SAS ndo nani?Muulize SAS ni mvutaji mzuri wa Cigar
Ni soseji...zimekaa kama soseji
atakuwa anamaanisha S Ahmed SSAS ndo nani?
Kali jamani. Nilivutaga moja nililewa nikajua imeekwa weed.Kama wewe si mzoefu,yaani unavutaga sport ama sm,
ukivuta cigar ukafikia nusu yake basi wewe kiboko.
Ilinichukua mwezi kumaliza cigar moja,ni kali,
kwa ubishoo zinafaa ila nilipomaliza pakiti ya cigar,
huwa ziko 6 tu,sikuwahi kurudia tena kununua.
Pakiti enzi hizo 2007 ilikuwa tsh elfu kumi
Wee mtoto una laana ujue...hahahaaazimekaa kama soseji
Wacha ushamba na ufala hizo sio sigara hiyo ni siga
Nenda Karambezi cafe zipoooo. Pia shoppers plazza zipooo
Nakukumbuka wewe ni pacha wake Pablo Escobar yule mfalme wa ngàda.Hahaaa!!!! Na Mimi ndo walewale sigara na crack cocaine kwa sana tu
Mzigua na wewe kwenye haya mambo upo??? Ali alikuvutisha yule mkuryaKali jamani. Nilivutaga moja nililewa nikajua imeekwa weed.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hi chai kabisa hiiKitu cha American siger hicho tunavutaga ma cowboys huku kiuno kimezungukwa na mkanda wenye bastola Matata ukizingua umelamba ya Shingo.Daah u cowboys raha sana
Shoppers plaza ya wapi?Nenda Karambezi cafe zipoooo. Pia shoppers plazza zipooo
Hahaaa!!!! Nimefurahi sana mkuuNakukumbuka wewe ni pacha wake Pablo Escobar yule mfalme wa ngàda.
Mimi Boss wangu kutoka Italy sababu ya kifo chake ilikuwa Ni hizo Siga, jamaa walivyosikia hivyo wakaacha Kama siku mbili hivi wakarudia tena kuyavuta, sisi tuliziita "goso"Vipi sababu ya kifo ilikuwa nini??
Majani ya tumbakumi naomna kujuzwa material yanayotengeneza hilo karatasi la juu(sina uhakika kama ni karatasi kama hizi za kawaida) hayana madhara kwa afya ya mtumiaji? tukitoa madhara ya sigara yenyewe..
Nunua mojazimekaa kama soseji