Hivi Sigara kama hizi nazipata wapi hapa Bongo

Hapo Hellenic club bei yake kiasi gani??
Sio Hellenic club bali duka lipo ndani ya Viva Towers, mjini. Bei zake zinafanana na hadhi ya mjengo.

Cigar huwa ghali. Hio 40K ni rahisi sana.
Kuna za hata laki 2 na kuendelea.

Cigar za Fidel Castro ndio zenye bei duniani. Kwa mfano, Cohiba Behike 54 inaanza $125 moja.

Mimi navuta Romeo y Julieta , no.3. Zipo Bongo kwa $20 moja japo nje utazikuta ni $10.

Ndio maana mvuta cigar anaonekana tajiri fulani japokuwa kuna cigar za bei rahisi vile vile. (Ninavuta pia cigar za Villiger za Uswisi, ni 4000 moja lakini hazipatikani Bongo).
 
Kuna mdau ananiambia kwamba zipo ambazo zinauzwa 5000 zinakaa tano au kanifunga kamba
 
Cigar zipo za kila bei kama nguo au magari.

Hajakufunga kamba lakini Bongo cigar ni kitu kipya.

Nishawahi kukamatwa na askari kanzu. Alifikiri navuta ganja pale Oysterbay Beach. Hajui tofauti ya harufu. Nikampa somo akaondoka.
 
Mkuu hayo makitu unaonekana unayajua vema[emoji4] [emoji4]
 
Cigar zipo za kila bei kama nguo au magari.

Hajakufunga kamba lakini Bongo cigar ni kitu kipya.

Nishawahi kukamatwa na askari kanzu. Alifikiri navuta ganja pale Oysterbay Beach. Hajui tofauti ya harufu. Nikampa somo akaondoka.
Hahaaa!!!! Mwanang inaonekana wewe kwenda ughaibuni kawaida sana
 
Raha ya cigar ni kuvuta huku unakunywa scotch whiskey pole pole.
20180321_181802.jpg
 
Kuna mdau ananiambia kwamba zipo ambazo zinauzwa 5000 zinakaa tano au kanifunga kamba
.
hajakufunga kamba mkuu, nkiwa tz hua nazitumia na mm mkuu, ukbeba hiz cheap za kutosha kbongo bongo ukachil km mikoa ya barid na red label yako mdomdo inapendeza ..
vijijn unamix na ulanz taratiiibu hhh
 
Attachments

  • IMG_20180321_204044.jpg
    IMG_20180321_204044.jpg
    88.9 KB · Views: 112
.
hajakufunga kamba mkuu, nkiwa tz hua nazitumia na mm mkuu, ukbeba hiz cheap za kutosha kbongo bongo ukachil km mikoa ya barid na red label yako mdomdo inapendeza ..
vijijn unamix na ulanz taratiiibu hhh
Hizo kwa bongo huwa unanunua wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom