Hivi Sigara kama hizi nazipata wapi hapa Bongo

Hivi Sigara kama hizi nazipata wapi hapa Bongo

Hahaaa!!!! Na Mimi ndo walewale sigara na crack cocaine kwa sana tu
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Kitu cha American siger hicho tunavutaga ma cowboys huku kiuno kimezungukwa na mkanda wenye bastola Matata ukizingua umelamba ya Shingo.Daah u cowboys raha sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu kichwani una booonge la kofia supaflai ya kimalboro
 
cigar zina mzuka wake...sema zinaharibu mapafu ile mbaya,siku ya kwanza kulivuta asubuhi yake kifua kiliniuma sana
 
Mkuu nlijaribu ngisugii ikanishinda. Yan nkiweka mdomoni tu naskia jivi limebana, nkaona starehe gani hii sasa stimu zinakuja na kubanwa mavi?
Ugoro kuna siku nilitumia kidogo nitapike, nikivuta sigara kama SM nakuwa na nyege balaa naweza hata kubaka,

hii cigar naiskia ila limefanana na bangi ukipita nalo road polis hawawezi kusanuka na wew kweli
 
Lile unaweza ukadandiwa kweli maana puyo lake kama vile LA ganja. Dah ila ugoro nyoko sana mwanang yan kama ni amateur Kila ukiweka mdomoni lazima ubanwe mavi. Bora hata pariki
 
Kali jamani. Nilivutaga moja nililewa nikajua imeekwa weed.
Wewe kila kitu unahisi umewekewa weed, hata ukipewa keki utasema zinaweed...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom