Hivi Sigara kama hizi nazipata wapi hapa Bongo

Hivi Sigara kama hizi nazipata wapi hapa Bongo

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
7,328
Reaction score
6,656
images%2858%29.jpeg
images%2858%29.jpeg
images%2859%29.jpeg
images%2857%29.jpeg
 
mi naomna kujuzwa material yanayotengeneza hilo karatasi la juu(sina uhakika kama ni karatasi kama hizi za kawaida) hayana madhara kwa afya ya mtumiaji? tukitoa madhara ya sigara yenyewe..
 
Nyie watu mnaoitwa Pablo aisee...sigara + ngada huwa mnapiga sana!
Yupo rafiki yangu anaitwa pablo, aisee anapiga sana fegi, bangi na hata shisha, now yupo canada sijui maisha yake yatakuwaje huko!
Yupo mwingine nae Pablo, alikuwa classmate chapombe, bangi +ubabe...sasa huyu huku jf sijui ni yule wa mexico..!!?!!
 
Hahaaa!!!! Na Mimi ndo walewale sigara na crack cocaine kwa sana tu
 
Kila nikiona hizi Siga namkumbuka sana Rafiki yangu Hayati Makame Rasheed Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa mstaafu ilikuwa popote alipo lazima awe nazo!

Allah AMPE kauli thaabet
Vipi sababu ya kifo ilikuwa nini??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom