Hivi Sigara kama hizi nazipata wapi hapa Bongo

Kila nikiona hizi Siga namkumbuka sana Rafiki yangu Hayati Makame Rasheed Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa mstaafu ilikuwa popote alipo lazima awe nazo!

Allah AMPE kauli thaabet huko aliko!
Haswaaa allah amrehem meja jenerali makame Rasheed

Nami nikiona kiko na sharubu namkumbuka memba machachari wa G55 Sebastian Kinyondo(mzee wa kiko) mbunge wa zamani nadhani muleba,akijulikana sana kwa ucheshi wake ndani ya bunge la spika msekwa.

Aaaaaaa wapiii....!! wema hawadumu.
 
Huyu Sebastian Kinyondo alikula Ngumi za Muhidin Ndolanga mbele ya Mzee Ally Hassan Mwinyi kwenye sakata la Ngorongoro

Nikimkumbuka Sebastian Kinyondo na Tuntemeke Sanga naona sasa hivi hatuna 'Mwanasiasa Machachari'
 
Kila nikiona hizi Siga namkumbuka sana Rafiki yangu Hayati Makame Rasheed Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa mstaafu ilikuwa popote alipo lazima awe nazo!

Allah AMPE kauli thaabet huko aliko!
shikamoo babu
 
Ni baba yako ?

Hapana , alikuwa Rafiki na Mzee wangu wa ushauri Kwa Miaka mingi sana plus vizinga vya hapa na pale!

Ilipotajwa Siga ndio imesababisha nimkumbuke, sina nasaba nae kabisa

Akiwa Balozi wetu Malawi aliwahi kuialika Timu yetu Moja ya Kariakoo kule Malawi na akatupa mapokezi ya juu ya hadhi yetu
 
Hii inaitwaje?
2001433.jpg
 
Kama wewe si mzoefu,yaani unavutaga sport ama sm,
ukivuta cigar ukafikia nusu yake basi wewe kiboko.

Ilinichukua mwezi kumaliza cigar moja,ni kali,
kwa ubishoo zinafaa ila nilipomaliza pakiti ya cigar,
huwa ziko 6 tu,sikuwahi kurudia tena kununua.
Pakiti enzi hizo 2007 ilikuwa tsh elfu kumi
Hizi sindo zile ukivuta pafu mbili lazima ubanwe na kubwa hata kama hujatia kitu chochote tumboni?
 
Naomba nielekeze kidogo sijawahi fika mbezi mbeach
Kuna duka la cigars viva towers, mjini, opposite na hellenic club.

Wao ni professional. Wanauza cigar za Cuba na zilizokuwa katika humidor ili zisiharibike au kuwa kavu.

Usinujue cigar zilizowekwa nje nje, hizo zimeharibika tayari. Kuna supermarket msasani nimezikuta nje.
 
Ngoja nitafika,then nitaleta mrejesho
 
Cigar huvuti kama sigara. Unavuta moshi kidogo na ku taste jani mdomoni kabla ya kutoa moshi.

Kama ukiingiza moshi kama sigara utatapika haraka sana.

Kama magari, cigar zina viwango, aina ya jani , ukali ukubwa na bei.

Kuna zenye flavor za vanilla na kahawa vilevile. Kuna cigar ndogo ndogo kama sigara zinaitwa cigarillo.

Ninazozifahamu na kuzivuta ni za Cuba zinaitwa Romeo y Julieta, number 3. Zinauzwa Tshs. 40,000 kwa moja.

Pia Villiger za Uswisi ni rahisi, kama 5000 moja. Waswisi wanatengeneza na tobacco ya Cuba.

Wadachi wanauza cigarillo sana. Hizi ni rahisi na zenye flavor kama cafe na vanilla. Brand ni cafe creme. Ziko kumi ndani. Bei ni kama 15000 hivi.
 
Huyu Sebastian Kinyondo alikula Ngumi za Muhidin Ndolanga mbele ya Mzee Ally Hassan Mwinyi kwenye sakata la Ngorongoro

Nikimkumbuka Sebastian Kinyondo na Tuntemeke Sanga naona sasa hivi hatuna 'Mwanasiasa Machachari'
Hivi huyo tunteneke Sanga namsikia sana,ila sijawahi kujua alikuwa ni nani serikalini
 
Cigar huvuti kama sigara. Unavuta moshi kidogo na ku taste jani mdomoni kabla ya kutoa moshi.

Kama ukiingiza moshi kama sigara utatapika haraka sana.

Kama magari, cigar zina viwango, aina ya jani , ukali ukubwa na bei.

Kuna zenye flavor za vanilla na kahawa vilevile. Kuna cigar ndogo ndogo kama sigara zinaitwa cigarillo.

Ninazozifahamu na kuzivuta ni za Cuba zinaitwa Romeo y Julieta, number 3. Zinauzwa Tshs. 40,000 kwa moja.

Pia Villiger za Uswisi ni rahisi, kama 5000 moja. Waswisi wanatengeneza na tobacco ya Cuba.

Wadachi wanauza cigarillo sana. Hizi ni rahisi na zenye flavor kama cafe na vanilla. Brand ni cafe creme. Ziko kumi ndani. Bei ni kama 15000 hivi.
Duu!!! Hizo za 40k nomaa!!!!
 
Kuna duka la cigars viva towers, mjini, opposite na hellenic club.

Wao ni professional. Wanauza cigar za Cuba na zilizokuwa katika humidor ili zisiharibike au kuwa kavu.

Usinujue cigar zilizowekwa nje nje, hizo zimeharibika tayari. Kuna supermarket msasani nimezikuta nje.
Hapo Hellenic club bei yake kiasi gani??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom