Mwanaume ukiwa handsome, habari ya kuombwa pesa muda mfupi baada ya kutongoza utaisikia kwa wenzako

AlphaMale

JF-Expert Member
Oct 26, 2019
613
1,400
Naposema mwanaume ukiwa handsome, namaanisha mwanaume ukiwa na sura nzuri ya kiume, mrefu, na mvuto kama wote, asilimia kubwa ya wadada utakaowatongoza hawatakuomba hela muda mfupi baada ya ww kuwatongoza, na papuchi utapewa kirahisi sana..

Ukimwambia aje gheto, hautazungushwa mwezi mzima na kupewa masharti na visingizio vya Mara ooh Niko busy, cjui kuna mahali inatakiwa niende, sms atajibu kwa wakati, ukimwambia njoo gheto cku flani bhas atakuja cku hiyo hiyo, baada ya wiki au siku 4, au hata siku hiyo hiyo baada ya kumtongoza, mdada atajileta gheto mwenyewe kidume unakula mzigo.

Mdada anaeweka ugumu na kukupa masharti na visingizio kwenye kutoa papuchi, baada ya ww kumtongoza, Mara nyingi 98% of the time, huyo mdada hastahili muda wako..

Fikiria baadhi wale wadada waliokupa papuchi kirahisi baada ya ww kuwatongoza walikuonaje, probably kwenye mahusiano walikuwa wanajipendekeza sana kwako, na wanakupa heshima kama zote, tena wanakwambia flani you are so handsome, sometimes na pesa wanakupa..

Kwa wale mafamba wa humu jf wanaojitoa ufahamu na wanaosema mwanaume kuwa na sura nzuri ni ushoga, mnakaribishwa
 
Don't chase womens kijana, be attractive,work hard, jiheshimu na kua mwaminifu..Watakuja wenyewe hadi uwakimbie.
The people who belong to you will find you, will come and stay forever. Usijisumbue sana au kutumia nguvi nyingi.
Play smart and laylow...
 
Na thread yangu haihusu ku-chase wanawake, nimetoa hii post ili wanaume wenzangu wasipoteze muda na pesa, wanapoona hizo ishara mbaya nlizoandika kwenye hii thread yangu Da'Vinci
 
😂😂😂😂 Naona umekua msemaji wa wanaume ma handsome ila kuwaelewa hawa viumbe ni kazi sana afu kingine zama hizi tunazo ishi kula papuchi ni kazi nyepesi sana sio kwa handsome wala konk master

Siku hizi mahandsome wana chapiwa san na hawana la kufanya hebu kasome kwnz kula tunda kimasihara
 
I can.. My Destiny will decide.
With tremendous ambition, everything is possible man.
I used to be like you when i was in my late 10's. Believing in the so called "destiny" till i realized that its what i decide thats really in control of where im going. Stop relying too much on whats written by others, you have yourself and path. Just make tiny decisions and act on them seriously. Nothing on your target 'll become impossible easily
 
Wangapi umewala papuchi mpaka sasa kwa sababu ya u handsome wako?
Naposema mwanaume ukiwa handsome, namaanisha mwanaume ukiwa na sura nzuri ya kiume, mrefu, na mvuto kama wote, asilimia kubwa ya wadada utakaowatongoza hawatakuomba hela muda mfupi baada ya ww kuwatongoza, na papuchi utapewa kirahisi sana..

Ukimwambia aje gheto, hautazungushwa mwezi mzima na kupewa masharti na visingizio vya Mara ooh Niko busy, cjui kuna mahali inatakiwa niende, sms atajibu kwa wakati, ukimwambia njoo gheto cku flani bhas atakuja cku hiyo hiyo, baada ya wiki au siku 4, au hata siku hiyo hiyo baada ya kumtongoza, mdada atajileta gheto mwenyewe kidume unakula mzigo.

Mdada anaeweka ugumu na kukupa masharti na visingizio kwenye kutoa papuchi, baada ya ww kumtongoza, Mara nyingi 98% of the time, huyo mdada hastahili muda wako..

Fikiria baadhi wale wadada waliokupa papuchi kirahisi baada ya ww kuwatongoza walikuonaje, probably kwenye mahusiano walikuwa wanajipendekeza sana kwako, na wanakupa heshima kama zote, tena wanakwambia flani you are so handsome, sometimes na pesa wanakupa..

Kwa wale mafamba wa humu jf wanaojitoa ufahamu na wanaosema mwanaume kuwa na sura nzuri ni ushoga, mnakaribishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom