Mpenzi wangu alikuwa akifanya maongezi ya ngono na majirani nikamuadhibu hivi

Mangole Valles Michael

JF-Expert Member
May 30, 2021
333
671
Kuna binti ambaye ni mpenzi wangu bado hajawa official wife ila natarajia atakua mke wangu soon.

Wakati nimelala ndani getho yeye akiwa na marafiki zake wawili wa kike wakiendelea na story zao mie nikapitiwa isingizi nikalala. Baadae nakuja shituka baada ya masaa mawili nasikia sauti ya kiume ikipiga story na huyu mke matarajiwa pamoja na mdada mke wa mtu chumba cha jirani ila wote walikua nje.

Nilipo amka nikachukua sm yangu nikaanza kuperuzi kuna baadhi ya sauti/ maneno yakawa yanagonga maskion pangu, nikasikiliza sauti ile ya kiume nikagundua ni mshikaj mmoja pia ni mpangaji hapa tulipo kahamia mm nikiwa sipo, niliporudi nikakuta kahamia kwahiyo hatujazoeana na Mshikaji tofauti na salam ila kazoeana na wadada wa hapa.

Mshikaji alianzisha mada wakawa wanachangia mada yenyewe inahusiana na maswala ya sex tu mala ukikutana na ndushee kubwa na ndogo, mala kuna wanawake wana mbunye ndogo, nikawa siwazingatii lakini kadri ya story zao nikaweka umakini kujua hasa wanacho kijadiri kina nini ndani yake ??

Kwa nje kulikua na watoto wakicheza so sauti zao zili corrupt maongezi ya huyu Mshikaji kuna mda watoto waliwashawishi kuwahamisha ki story hawa watu (jamaa, wife tobe na dada jirani ) wakajikuta wanawajadiri watoto kulingana na michezo yao. Cha kushangaza jamaa akawa ana komaa na mada zake yan ni kwamba hakutaka watoke nje ya mada yake aliyo ianzisha.

Mshikaji akaanzisha tory kwa kuita jina la mwanamke wangu. " Unaskia flani ukikutana na iliyo pinda sasa afu umekuoa hela ya mtu inakua hivi.... Mwanamkr wangu na yule dada chumba jirani wakaanza kuchangia tena mada Jamaa akafanikiwa kuwarejesha kwenye ajenda yao. Nikaona huu sasa ni upuuzi nilikua nimevua shati nipo zangu kitandani nikalivaa nikatoka nje.


Nilipo toka nje nikakuta mwanamke wangu kakaa nje ya mlango wangu, yule mwanamke jirani kakaa kwenye mlango wake huku jamaa akiwa kakaa karibu yake,.

Mimi: Oya bro, unawezaje kupiga story za ajabu ajabu na wake za watu isitoshe Mimi nipo ndani?

Jamaa: aah asee samahani skujua kama upo ndani.

Mimi: hujui kama hawa ni wake za watu unapataje ujasiri wa kuanza kujadiri mboo za wanaume na wake za watu Target yako hasa nini kwa hawa wanawake?

Unazani nimwanaume gani anaweza kuruhusu upige story za kijinga nikataja kabisa za kut*mbna na mke wake?

Nikamwambia kuanzia leo nimarufuku kupiga story za hivi na mke wangu, isitoshe waheshimu hawa wake za watu kama unataka kupiga stror za hovyo nenda kajadiri na wanawake wa nje huko wa humu waheshimu kama wake za watu.

Wakati huo nimejaa hasira hatari.

Nikamgeukia huyu mke wangu mtarajiwa, nikamwambia. "Nawewe Flan unawezaje kupiga na kuchangia mada za kijinga namna hii tena nikiwa ndani !!! Nidhamu gani unayo nioneshea? Akala kofi la shavu moja tu nikamwambia hapa nakupa onyo nikamwambia nimarufuku kupiga story za namna hiii na mtu yoyote yule kama unataka kuendelea kua na Mimi, huku ni kunikosea nidhamu, nipo ndani afu manaanza kujadiri size za mb** seriously??

Watu wote kimya kulikua na dada mmoja mpangaji kidogo age imeenda miaka kama 35 kajikalia zake pembeni yupo kmya yeye hakushiriki kabisa haya maongezi. Aliishia kuangalia tu kinacho endelea

Nikaingia ndani nikiwa bado mwenye hasira, mda mfupi mwanamke wangu akaingia ndani pia, nikaanza kumwambia Nisha kuonya nikakwambia wanaume hua tuna akili na mbinu za kuwakamata kuliko mnavyo dhani, nilikwambia kua mwanaume anaweza kuanzisha mada kwa nia ya kukusoma saikolojia ajue anakukamata kwenye engo gani, kwanza huku ni kunivunjia heshima. Unadhani unaweza mkuta mama ako anapiga story za kupuuzi kama hizi na mtu jirani baba ako awaangalie tu? Kama Mama ako hawezi wewe kwanini unathubutu? Unataka kua mke wa aina gani?

Akanambia kwaio ndo unanipga wakati naumwa.? Hapa nikweli alikua anaumwa tumbo na usiku alidai anaumwa kichwa.

Nikamwambia kama ukiwa unaumwa univunjie heshima nikuangalie? Unapataje ujasiri wa kujitetea kwa hoja ya kipuuzi? Ka a ulikua unaumwa si kitanda hiiki hapa.

Ashumu tungekua na mtoto, yan mtoto awe anacheza karibu yako huku mama unapiga story za kijinga mbele ya mtoto wetu?

Aaaloo alinipandisha hasira nikamwambia au nikuongeze kipigo ndo ujue kua ulicho kifanya umekosea.? Dem akanywea ...

Baada ya mda akawa anatoa machozi nikamwambia kwangu Mimi option hua ni mbili. Kama unahisi nimekuonea unaweza fanya maamzi yoyote yale ukasepa kwenu sasaivi. Kama unaona sjakuone maana yake umetenda kosa naomba futa machozi yako na uombe msamaha. Nafanya hivi kwakua nakupenda nataka niwe na mwanamke aliye nyooka.

Nikamwambia na huyu ndio Mimi sasa, kama utaendelea na na ujinga jua utapokea kipigo kama utajiheshimu na kuniheshimu tutaishi kwa amani na upendo.

Kifupi Mimi ni kijana mwenye itikadi za kikoloni hasa kwenye swala la mahusiano, kwa nguvu zozote zile mwanamke ninaye kua nae option ni mbili tu afate misimamo yangu au kama anaona hawezi asepe zake. Sitaki kabisa ujinga ujinga kwenye usimamizi wa familia kuanzia mke mpka watoto tukibahatika kuwa nao.

Ni hayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimpige Mwanamke ni hatari kwa maisha yako na yake!!

Pia, Tutafute pesa mkuu! Kuna Story zinaendana na maeneo husika tunayoishi.

Ukiishi Uswazi story za hivyo ni zakawaida sana!
Huwezi pingana na Nature!!
Bahati mbaya msimamo wako na wangu ni tofauti mkuu.

Kwangu mie asipo jiheshimu option ni mbili Kipigo au kuachwa. Akiendelea upuuzi anakutana na vyote kwa pamoja.

Nimekua nimelelewa na mama na baba kwa nidhamu kubwa sana. Nitakua mtu wa ajabu kwangu Mimi kuruhusu ujinga ndani ya familia yangu.

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kiongozi si ungemuelekeza tu kwa maneno angekuelewa kuliko kumpiga ama ndio tabia yake?
Nimefanya vyote kwa pamoja.

Nimempiga: ili kusisitiza kua sitaki na sihitaji mambo kama hayo.

Lakini nimeongea nae baada ya hapo kumpiga kwa kumfundisha zaid aelewe target za wanaume. Lakini pia nimempa option kama anahisi nimemuonea afanye maamuzi yake anayo ona ni sahihi.

Nimempga kwakua nampenda. Nina wivu na staki arudie hii tabia mbovu kwa manufaa yetu sote na watoto wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Of course mkuu ndo hao hao. Bahati nzuri nimempa semina azijue mbinu za wanaume na viji mada vyetu tunavyo vianzisha kwa mbinu zote ili tule tunda ki masikhara.

Akirudia au akini cheat asije sema alipitiwa kwa bahati mbaya.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza kila kitu mkuu. Jamaa inaonekana amepanga na alikopanga ni uswahilini.
Umempa suluhisho murua kabisa!!
Mimi nipo mkoa nature ya maisha ya mkoa asilimia kubwa ni uswahilini. Lakini haimpi kibari mke wangu kupiga story za kijinga tena nikiwepo. Atapiga story hizo akiwa nje ya mipaka ya nyumba yangu kama atataka.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom