Hatutaki kupendewa hela, nakutongoza leo kesho unaniomba hela, obviously inaonesha hunipendi na hujavutiwa na mm kimapenzi, ndo maana tunakuja huku jf kulalamika na kuanzisha thread.
Yani mdada anavokuomba hela kwenye 6th sense, mwanaume unahisi hapa hamna mapenzi, unahisi huyu mwenza wangu mpya hanipendi, hana hisia na mm, na unahisi kutumika kipesa tu
NISIELEWEKE VIBAYA: NI HIVI
Wanaume wote tunapenda kuwapa hela za bure wanawake tunaowapenda, na naamini kusaidiana kipesa ni muhimu kwenye mahusiano ya kimapenzi, na sipingi wanaume kuwapa hela wapenzi wao pale wanapoombwa msaada wa kipesa.
NA:
Mdada unaejua anakupenda kwa dhati hata akikuomba hela, unajua kweli huyu ana shida na unaitoa kwa moyo mweupe tena unampa zaidi ya hela aliyoomba, ila kuna scenario nyingine mwanaume ukiombwa hela, moyoni unahisi kabisa kuwa hapa hamna mapenzi na hupendwi, unahisi kuchunwa tu na kutumika kipesa..ndo maana tunakuja kulalamika humu jf