hawa sio kama wa obama na shemejiiii huoni tafawiti nnBasi wako viongozi wengi kama hivyo ....... huyu wa IRAN
hawa sio kama wa obama na shemejiiii huoni tafawiti nn
hawa wako wanabusiana kama kawaida tu........mi hua naona waarabu wengi hufanya ivo wakikutana kila mara wanabusiana mashavuni na si midomoni loh!
Ngoja nianze kutengeneza njia ya kuanza kuhama sayari hii,.....pumbafuuuuuuuuuuuuuuuume pia cjaamini kama baba anaweza kua hivi loh!
ngoja wapewe haki zao hapa tz ndio mtawajua hadi mawaziri na wabunge nao wamo kumbe loh!
mtasonyajeeeeeeeeee