Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Mkuu,hii ni ktk kuthamini mchango wa kila mchangia au mtoa mada na kuheshimiana pia
 
Wakuu,
yaan najiuliza ni nani aliyeanzisha kutumia neno hili hapa Jf. Yaani linasuit ile kwa sana kuliko kumuadress mtu kwa id yake, it was very creative of that person. Japo hata mtu akijiunga Jf leo bado tutamuita mkuu (ukuu wake upo wapi sasa?) Haha, just messing with y'all. Nawatakia mchana mwema!
 
Nilianzisha mimi , na nimefikia kuona nataka niliwekee hakimilimiki , naendelea michakato na wanasheria wangu .
Vinginevyo nawezapiga prohibit lisitumike hapa Jf .
Sema machache
 
Nilianzisha mimi , na nimefikia kuona nataka niliwekee hakimilimiki , naendelea michakato na wanasheria wangu .
Vinginevyo nawezapiga prohibit lisitumike hapa Jf .
Sema machache
aisee hongera mkuu kweli inabidi uwe na patent rights
 
Kule forum ya Tech hili jina ndo linatumika effectively, kwa sababu hakuna kuuumbuana kama wana siasa zaidi ya kuombana maujanja ya technologia

Thanks kwa Mkuu paje na IDM yake plus TG

Thanks kwa mkuu njunwa mavoko na Mwl wazee wa PD Proxy


hahaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom