Mimi ni nani katika elimu ya Saikolojia?

Mimi ni nani katika elimu ya Saikolojia?

Bin Shaib

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,432
Reaction score
1,361
Wakuu habari ya majukumu,,,,natumai Mungu anawapigania sana katika mapito yote hapa chini ya jua.

Mimi niende kwenye maada,,nimekaa siku moja nikaanza kujihoji Mimi ni nani kwenye hili?

Maana ni toka zamani sana navuta kumbukumbu nasema waooh mbona ipo hivi?
Yaani huwa nikianzisha jina au msemo fulani lazima uwe trending saaana,naweza kuanzisha jina la utani kwa mtu watu wote wanalifuata ,,,yaani hivyo vitu huwa vinakuja Automatically tu,, kama hapa mtaani nikianza kumuita mtu jina kwa mfumo wowote lakini ni rafiki na hilo ndo jina tutakaloanza kuitana karibia mtaa mzima,Watoto,
Wanawake kwa wanaume na kuna watu wengi tu hata kanisani siwaiti majina lasimi nayanapita yanakubalika nikimpa mtu jina linapita karibia wote wataanza kumuita hivyo

Hii wakuuu imekaaje kisaikolojia kwanini naweza kupitisha kitu kikapita na wengine unashaanga wananiiga ninavyo yaita baadhi ya mjina? Mfano badala ya kuita mother naweza kuita madheri,na kuna baadhi anaanza kuita hivyo hivyo,
Nawasilisha wakuu.
 
Back
Top Bottom