ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,443
- 49,763
- Thread starter
- #301
Huna kifua binti😅😅nikumbushe kesho 🤣🤣🤣
Huna kifua binti😅😅nikumbushe kesho 🤣🤣🤣
Angalia idadi ya single mothers na wanawake wenye watoto ndio ujue kama wanaume hawana hamu kama hapo awali.Haya mambo pia ni ya kisaikolojia wakati mwingine. Siku hizi kutokana na wanawake wanaivaa vibaya kuwa wengi watu wanaume wamekuwa hawana hamu kama hapo awali. Enzi hizo nilikuwa nikiona tu paja la binti...
SijuiNakubari ndio nini
friji haligandishi🤣🤣🤣🤣Huna kifua binti😅😅
Nakufatilia kwa ukaribu😎friji haligandishi🤣🤣🤣🤣
Hakuna codes zozote, zile ni myths na hadithi tu za Wayahudi na watu wengine wa mashariki ya Kati.Kuna codes nyingi Sana kwenye biblia hata Yesu alikuwa anafundisha watu kwa kutumia coded language.
Na ndo maana watu wengi huwa wanamisinterpret maandiko ya kwenye biblia.
sina madhara 🤣🤣🤣Nakufatilia kwa ukaribu😎
Aliyewaza mbali ni mleta mada, ukishavua watu nguo hakuna limitations za scenario.Duh umewaza mbali
ingekua mwanamke akiwa period hatoki ndaniVuzi lisingepigwa topaz, yaani nyeti zingefunikwa na vuzi mwanzo mwisho...
Sema sasa, wanawake wangeingiaje period yaani kungekuwa na mechanism gani ya wao kujiweka vizuri wakiwa period?
Halafu, mwanaume ukisimamisha wakati upo mtaani, kijiweni, ibadani...ingekuwaje. Mbona naona bila kujivika mavazi ingekuwa balaa lingine!
Hata mimi sina madhara mbona tena mimi dota first born 🤗sina madhara 🤣🤣🤣
no comment🤣Hata mimi sina madhara mbona tena mimi dota first born 🤗
Heh harikaaaa🤣🤣🤣Vuzi lisingepigwa topaz, yaani nyeti zingefunikwa na vuzi mwanzo mwisho...
Yaani naona hakuna kutoka njee ni ndani kwa ndaniSema sasa, wanawake wangeingiaje period yaani kungekuwa na mechanism gani ya wao kujiweka vizuri wakiwa period?
Unawaza kudindia ibadani babu duh🤣🤣🤣Halafu, mwanaume ukisimamisha wakati upo mtaani, kijiweni, ibadani...ingekuwaje. Mbona naona bila kujivika mavazi ingekuwa balaa lingine!
🤣🤣🤣 mtumeeee acha basi mkuuAliyewaza mbali ni mleta mada, ukishavua watu nguo hakuna limitations za scenario.
🫂🤗no comment🤣
Vuzi lisingepigwa topaz, yaani nyeti zingefunikwa na vuzi mwanzo mwisho...
Sema sasa, wanawake wangeingiaje period yaani kungekuwa na mechanism gani ya wao kujiweka vizuri wakiwa period?
Halafu, mwanaume ukisimamisha wakati upo mtaani, kijiweni, ibadani...ingekuwaje. Mbona naona bila kujivika mavazi ingekuwa balaa lingine!
Unauliza kudinda ibadani.?Heh harikaaaa🤣🤣🤣
Yaani naona hakuna kutoka njee ni ndani kwa ndani
Unawaza kudindia ibadani babu duh🤣🤣🤣
Lazima kuna kitu umewaza kikakupa mshtuko.🤣🤣🤣 mtumeeee acha basi mkuu
