Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

Unauliza kudinda ibadani.?

Watu wanadindisha hadi ibadani, wanaume wanadindisha bila sababu ya msingi na mazingira yoyote. Watu wanashindwa kupeleka sadaka(ule mda wa kufoa sadaka) kisa dhakar imedinda!! Acha utani mjukuu 😅
So uume unaweza kusimama hadi muda wa sadaka hii ni maajabu🙌
 
Sio ushua. Kenya, Uganda, Rwanda, South Africa, Zambia, Zimbabwe, Angola na nchi nyingine nyingi tu za Africa wanawake karibia wote wanajiachia na mini skirts tu kila mahali na wala hakuna shida.
Ooh sawa sawa
Huku Tanzania baadhi ya maeneo mwanamke ukivaa hivyo unaonekana huna maadili
 
Back
Top Bottom