Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

Binadamu kapewa akili tatu
1.inayojua mema na mabaya

2.akili isiyojua mema na mabaya

3.akili ya kiungu

Akili ya kwanza ndo inayojua nipo uchi kipindi kile cha bustan ya eden Mungu aliwafunga akili ya kwanza isifanye kaz walipokula tunda ikafanya kaz wakajua wapo uchi
 
Hata mwanamke anaevaa kwa kujisitiri mwili wake unakua na thamani na mvuto wa kipekee kuliko anae vaa nusu uchi.
Haya mambo pia ni ya kisaikolojia wakati mwingine. Siku hizi kutokana na wanawake wanaivaa vibaya kuwa wengi watu wanaume wamekuwa hawana hamu kama hapo awali. Enzi hizo nilikuwa nikiona tu paja la binti...
 
Binafsi naona bora nguo, kwa sababu tusingekuwa na nguo binadamu wengi wasingefurahia au wasingepata kabisa fursa ya kufanya tendo la ngono kwani wale wenye nguvu pekee ndio ambao wangetawala katika sekta hiyo.

Angalia mfano kwa wanyama kama kuku, mbuzi, Simba n.k.
Ooh sawa kaka kuna ka ukweli hapa mwenye nguvu ndio angekula dah
 
Back
Top Bottom