Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,941
- 31,905
si ndio we ndo una nusu ya moyo wangu na hata nlobaki nayo yote inakupenda wewe tuKwa hiyo ni kama chain, siyo? Sasa nimefurahi kusikia hivyo.
Jamaa anashika mapembe mi nakamua, right?
si ndio we ndo una nusu ya moyo wangu na hata nlobaki nayo yote inakupenda wewe tuKwa hiyo ni kama chain, siyo? Sasa nimefurahi kusikia hivyo.
Jamaa anashika mapembe mi nakamua, right?
Sasa sijui kwa wanaume tu naangalia makebo au tunda lenyewe, au mtindiau sio🤣🤣🤣
Dah! Haya maneno yameniingia rohoni hadi machozi ya furaha yananitoka 🥲si ndio we ndo una nusu ya moyo wangu na hata nlobaki nayo yote inakupenda wewe tu
imagine napita na malapa yangu ya saa 12 jioni 🤣🤣🤣🤣 na hips mbonyeo🤣Sasa sijui kwa wanaume tu naangalia makebo au tunda lenyewe, au mtindi
Enjoy babe😍Dah! Haya maneno yameniingia rohoni hadi machozi ya furaha yananitoka 🥲
🤣 We Mzee 🙌Mngekuwa mnatazamana uchafu wa wavivu wa kujitawaza. Mwalimu anafundisha akigeuka ubaoni mavitu ya njano njano yameganda.
Mimi naona nguo zimetustaarabisha sana. Kusingekuwa na ndoa, mtu anajichapia live. Tena tungekuwa na vita sana kisa mapenzi. Huoni wanyama kama simba lazima wapigane mpk kifo kisa mmoja achukue territoryUkweli ni kwamba maisha yangekuwa ya kweli sana, mtu asingeweza kuficha kama ana makovu, au kama ana maumbile tofauti, kuna wale wenye jinsia mbili hawa sasa sijui ingekuaje but uongo wa kijamii ungepungua sana.
Upande wa biashara, sekta ya mavazi (fashion industry) ambayo inaajiri mabilioni ya watu duniani ingepotea kabisa na uchumi ungetetereka vibaya mno.
Kifupi kama tungeishi bila nguo, binadamu asingekuwa na siri na dunia isiyo na siri ni dunia ambayo ingebidi tuishi in total transparency jambo ambalo mwanadamu wa sasa aliyejawa na unafiki hawezi kulimudu kabisa.
Lahaula! Nilichelewa wapi miye 😋🥰😋🥰Enjoy babe😍
Huyo watakuachia mwenye kibamia type zero yaani wa kuendana na soko lakoimagine napita na malapa yangu ya saa 12 jioni 🤣🤣🤣🤣 na hips mbonyeo🤣
Ni kina nani hao ma Great Thinker mkuu🤣🤣Grit thinka Wana thinki dipu sana🙌🏿
Hakupendi huyo kuna mwenzio pia aliwahi kumdanganya hivyo hivyo mbn nilipiga risasi mbili kuhestateNiachie tu mkuu. Anasema hana hisia nawe.
Duh umewaza mbaliMngekuwa mnatazamana uchafu wa wavivu wa kujitawaza. Mwalimu anafundisha akigeuka ubaoni mavitu ya njano njano yameganda.
usijali babe ni wakati wako😍❤️🥰Lahaula! Nilichelewa wapi miye 😋🥰😋🥰
We acha tu hiii tamaduni ya kustiri mwili ni nzuri sanaYaani unainama kuokota kitu mwanaume tena mbele ya mama mkwe loooh hapna
Mkuu, haya yatakuwa kama yale ya 'Ufoo Saro' na bwana wake mjeda. Chunga sana!Hakupendi huyo kuna mwenzio pia aliwahi kumdanganya hivyo hivyo mbn nilipiga risasi mbili kuhestate