Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

Napenda kujiangalia kwenye kioo nikiwa naked 😜.
Nilijuaaaaaaaaaaa lazimaaaa🤣
Nikitoka Job kitu Cha kwanza ni kuvuq Kila kitu nikae mwepesi kwanza
una saulaaa sauwaa
Utupu ni mtamu sana jamani.
weee acha basi binti kisura😅
Nguo ni nzito zinachosha sana.
kwa kweli zinachosha
So maisha bila nguo yangekuwa matamu sana.
Tunapeta makebo njee njee
 
Wewe utakua una fikiria mambo mazito mazito but nakupenda hivyo hivyo na mshangao wako kwangu🤗😊🤣
Hapana mi sipendi kuchoka kwahivyo fikra zangu ni nyepesi nyepesi sana.

Sitaki kuteseka.

Fikra zako ziko deep…. hii issues ni dipuuu (kwa sauti ya Da Mange)

Anyways nachojua wanaume wangechekesha sana 😂🤦🏻‍♀️
 
Una miaka mingapi mamaa? Ingekuwa poa tu wala isingekuwa ajabu kutembea uchi. Miaka ya hivi karibuni si mbali sana hapo 1980s watu walikuwa wanatembea uchi wa mnyama na haikushangaza. Unakuta binti mkubwa tu hajavaa nguo chuchu saa sita zimesimama, tako hilo!, kijana wa kiume hajavaa nguo mkia umening'inia na hakuna matamanio ya kubakana. Wazee ilikuwa ni kawaida kuona mitulinga imening'nia chini huku juu kavaa mgolole/shuka anatembea hana wasiwasi. Fasheni za kuvaa nguo zikaanza na baadae chupi zikaja mtu anavaa nguo huku ndani kavaa chupi. Zikaja anda na chupi kwa wanawake baadaye taiti, mwanamke anavaa chupi na taiti kwa pamoja huku nje kavaa nguo nyingine ni ngumu kuona uchi wake. Wazee nao wakaanza kuvaa chupi ndani na nje wanavaa kaptula/suruali mikia ikaacha kuonekana. Sasa hivi ni ngumu hata kuona chupi ya mwanamke alijisahau kukaa ukaona mapaja yake. Ni fasheni tu ya kufunika mwili ili uchi usionekane na kujikinga na baridi
 
Kwani hujawahi kuona kichaa mtu mzima anatembea uchi wa mnyama hajavaa nguo, jamii haimshangai, tena mkia unaonekana wazi hasa vichaa wa kiume! Kichaa wa kike ni nadra sana kuonekana akiwa uchi wa mnyama ila wa kiume imezoeleka na hakuna anayejali kumvika nguo. Kuna mzee mmoja ni kichaa mwaka wa kumi sasa namuona havai nguo anarandaranda tu mtaani kwake watu wamezoea kumtazama wanaona ni kawaida tu, mpaka watoto humtazama na kuona mkia wake. Enzi zetu ilikuwa ni mwiko kabisa kuona na kutazama uchu wa mtu yeyote hata kama ni kichaa, unafumba macho apite/upite usione uchi ule
 
Back
Top Bottom