Noma
Haswa kwenye sector ya usafiri, siti zingekua zinanuka na siyo kunukia...Noma
Dah umewaza nini mkuu😆😆Haswa kwenye sector ya usafiri, siti zingekua zinanuka na siyo kunukia...
Okay thanks 😊Mimi naona uanze wewe kutokuvaa nguo tuone itakuwaje.
Huyu mbona anaongea kama yule braza wa Singapore!Mbona shega tu .
View attachment 3627288
Kuna wahindi wekundu amazon hawavai nguoNi wapi huko mpka leo watu wanaishi uchi?
Kipindi cha baridi je?Kuna wahindi wekundu amazon hawavai nguo
Makubwa haya sa si bora wangevaa juuKunanwengine waafrica wapo india upande wa chini hawavai nguo