Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,941
- 31,906
urudi sasaHuo mkono nimekumiss kishenz wakati wa asubh ukiiwa unanisugua mgongoni red black wake up bu
urudi sasaHuo mkono nimekumiss kishenz wakati wa asubh ukiiwa unanisugua mgongoni red black wake up bu
kulekule maa tabataaa🤣🤣Location pulizzzzzz
Sasa ipo haja ya mimi kuwa na bodyguard.wakati nimekuvunja taya sjui utachekeje aise 😁
August 15 niko hapourudi sasa
Shauri yakoSasa ipo haja ya mimi kuwa na bodyguard.
Haya bana nakubari hivyo hivyo😅😀😀😀 Mkuu kama wew ni kada mtiifu wa JF wew ni grit thinka 🙌🏿
Haiyaaa bolt onkulekule maa tabataaa🤣🤣
Nakubari ndio niniHaya bana nakubari hivyo hivyo😅
Hakuna mwanamke anayetembea nusu uchi barabarani, labda beach.Hata mwanamke anaevaa kwa kujisitiri mwili wake unakua na thamani na mvuto wa kipekee kuliko anae vaa nusu uchi.
So the key is to consider what serves us well and what holds us back👏Dogo mada zako huwa ni simple kwa nje ila zinaweza kumfanya mtu a dive mbali sana hasa psychologically na even other aspects of existence..
I believe each thing we see and do is part of human conditioning... Ndo maana huwa napenda kuwaambia hawa watu wanaon'gang'ania psychology waache mambo ambayo nature haipingi ni kujitesa tu. Kuvaa kumetustaarabisha na mifumo umetufanya tu progress as a species.
Tungekuwa kama wanyama hata tusinge fika hapa kimaendeleo.. Ila tena tukitukuza sana huko tutageuka kuwa nihilistic.
So ni kuangalia kipi Kina serve vizuri na kipi kinaturudisha nyuma
nimesahau labda nitafute reply nyingineEnheee ulisemaje mwanzo🤣
😅😅 ila wewe haya bananimesahau labda nitafute reply nyingine
💯So the key is to consider what serves us well and what holds us back👏
Ingeuma lakini kuomba kuna mawili upewe au unyimweBora kuvaa tu,imagine mtu angekunyima alafu unaiona live ungejiskiaje
nakungojeaHaiyaaa bolt on
Sawa swiiiiitii japo kuna sehemu umeniacha🤣nakungojea
mbaliiii bora secretarybird akusaidie mpaka urudiAugust 15 niko hapo
nikumbushe kesho 🤣🤣🤣Sawa swiiiiitii japo kuna sehemu umeniacha🤣
Wewe wa ki shua mzee😅Hakuna mwanamke anayetembea nusu uchi barabarani, labda beach.
Mwanamke akishajifunika uke, matiti na makalio ameshavaa tayari.